Insensitive Prof.I never respect insenstive professors hata nikiwa Chuo kikuu nilikua na-walk out ninapokumbana na maprofesa competent academically but insenstive maana senstivity inaingiliana na critical thinking na emotional appeal.Sipendi mind yangu ifanyiwe mazoezi na intellectual Dwarfs.Na wewe ulienitaja hapa usikurupuke
Dah kweli Vijana wetu wanaenda chuo lakini Uwezo wa kujieleza ni Mdogo
Lisu ni mwanaharakati au ni mwanasheria by pf.nimemnukuu prof mkuu. kosa langu lipi? au husikilizi
Nilitaka afanyeje?Nchimbi anajifanya kama ana take notes magilini tu
Kama kawaida LISSU amewapa changamoto wasomi katika mjadala huu wa Amani na pia anawatahadharisha wachangiaji kuhusu kufuatwafuatwa na POLISI. Amani ya nchi na uhusiano wake na POLISI Ni agenda nzito sana inayohitaji kuandaliwa mjadala mzito pia siku zijazo...
Atakua kapigiwa simu na kimada wakeDr. Slaa katoka! Naamini atarudi aongee kidogo
mtekelezaji wa maazimio ya hapa ni nani??
naamini umesikia vilevile lissu alivyo mchana mwl nyerere. kasema kipindi chake kilitawaliwa na ubabe, udikteta na mauaji. tuko pamoja?Kama kawaida LISSU amewapa changamoto wasomi katika mjadala huu wa Amani na pia anawatahadharisha wachangiaji kuhusu kufuatwafuatwa na POLISI. Amani ya nchi na uhusiano wake na POLISI Ni agenda nzito sana inayohitaji kuandaliwa mjadala mzito pia siku zijazo...
Ameingia mgonjwa wa akili kuchafua kongamano lissu
karibuni sana wale watakaokuwepo wawe wanatujulisha live.
Kongamano litarushwa pia live na itv na radio one kuanzia saa nane mchana huu.
Kupata updates kwa kitakachojiri fuatilia topic hii (comments)
Taja waliouliwa,lakini sikia mchangiaji anakwambia mfumo wa vyama vingi ni mbovu.tundu lissu amemchana mwalimu nyerere. ameonesha mauaji na udikteta wa hali ya juu uliokuepo kipindi cha nyerere. hongera lissu kwa kuliona hili!
Ameingia mgonjwa wa akili kuchafua kongamano lissu