Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Hii mpya.. naona lowasa amafanya.jitihada jina lake lisizidi kutokomea kwenye ulingo na historia ya siasa nchini..

Maigizo katika ubora wake
 
Chadema wajanja Sana! Wamezuia mikutano ya siasa, Leo Mkutano unafanyika kupitia mlango wa nyuma na Watanzania wote wanatega masikio yao.
 
jaman kuna channel inaonesha tukio hil muhim? tujuzane maana sis tuko mbal
 
hakuna lolote,mpaka sasa hivi hata ka picha hamna,lazima patakuwa pamedorola tu
 
Back
Top Bottom