Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Mimi binafsi sioni maono yoyote ya kiuongozi kutoka kwa Lowasa zaidi ya kubebwa na mihemko na hasira za watu waliochoshwa na utawala huu dhalimu wa CCM.......na nadhani baadhi ya wanachadema wenye kutumia akili zao wanalielewa hilo......

NB;
Kwenye ulimwengu wa vipofu hata chongo anaonekana mfalme........
Ueleweki umefundishwa kulalamika zaidi kuliko kushulikia tatizo tupe mwelekeo kama sio lowassa ni nani? Au ndio chuki binafsi
 
Mwenyezi Mungu tunaomba mjalie Rais wa mioyo yetu afike salama eneo la tukio na kusema neno kwa nguvu zako Baba
 
Mahafali yanafanyika kwenye vyuo husika au kwenye vyama vya siasa?
Labda iitwe sherehe ya kuwapongeza wahitimu italeta maana kidogo.
Lowassa ni Chancellor wa Chuo kipi?
 
Back
Top Bottom