Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

Chadema mnafurahi Magufuli anavyopopolewa mawe, sitashangaa kusikia na viongozi wakuu wanaunga mkono hili swala.

Hili swala la kujinasibisha kiukanda ni hatari kwa Taifa, mwanzo ccm ndio walikuwa wanafanya siasa za aina hiyo, ila sasa naona Chadema wameiga kila kitu toka ccm.

Tunataka Rais anaekubalika kwa wote sio wa kanda Fulani.!
 
Magufuli tangu jana alizomewa maeneo ya Karatu na leo msafara wake umepopolewa mawe Monduli.

Maeneo ya Arusha mjini, Arumeru napo hali si shwari, Magufuli anaweza kupata madhara makubwa hasa Arusha mjini.

Hayo yamesababishwa na wakazi wa maeneo haya kuchukizwa kupita kiasi na siasa za matusi na kashfa nzitonzito kutoka kwa wana kampeni wa CCM dhidi ya mgombea urais wa vyama vinavyounda UKAWA kupitia Chadema ndugu Edward Lowassa.

Wakazi hao wameonyesha hasira za wazi kwa wana CCM walio kwenye kampeni za Magufuli kutokana na lugha chafu wanazotumia kwenye majukwaa ya kampeni hasa udhalilishaji wa utu dhidi ya mgombea huyo wa Chadema anayekubalika sana maeneo haya.

Rai yangu ni Magufuli kupita kwa tahadhari kubwa maeneo haya!

Hivi na Geita wakiamua kufanya hayo kwa Lowasa nchi hii itakalika? Sipendi upuuzi kama huo na haatukuwai kua nao. Hii michezo msije mkadhani inaishia sehem moja ipo siku itaenea nchi nzima lakini kumbukumbu zitatuhukumu kua upuuzi huo umeanzia wapi.
 
Nipo upande wa kusini mwa uwanja na wanamabadiliko tunapata shoo ya bure. Tahadhari ccm mkianzisha kumtukana lowassa na ukawa tutawazomea vibaya Sana.
 
Mkumbuke watu wa kaskazini kuwa Lowasa kanda zote kote alikopita hajazomewa wala kupopolewa na mawe.TUME IMETOA RATIBA IHESHIMIWE.

Lakini kama mnapopopoa mgombea kutoka kanda ya Ziwa mjue mwosha huoshwa labda Lowasa asirudi kanda ya ziwa kufanya kampeni lazima atakutana na wenye mtoto wao magufuli

Punguza mapovu.
Mleta mada alichoandika ni wana arusha kuchukiza na lugha za matusi dhidi ya mgombea wa CHADEMA.
 
Siasa chafu ndo znawaponza that's all,
Wala si sababu lowassa anatoka uko ata Mimi nakwambia wakikatza angazangu mmmmh si waachi
 
Mkumbuke watu wa kaskazini kuwa Lowasa kanda zote kote alikopita hajazomewa wala kupopolewa na mawe.TUME IMETOA RATIBA IHESHIMIWE.

Lakini kama mnapopopoa mgombea kutoka kanda ya Ziwa mjue mwosha huoshwa labda Lowasa asirudi kanda ya ziwa kufanya kampeni lazima atakutana na wenye mtoto wao magufuli
Nani kakudanganya sisi huku hatuna ukabila wala ukanda na mkileta watu wa kutupakazia huku watakoma kulinga. Ninyi wenyewe mmekosa staha ya kampein kama wenzenu wa UKAWA hawatukani wala kudhalilisha mtu wala kutukana na kudharau watu wa kanda fulani kama mfanyavyo ninyi.
 
Mkumbuke watu wa kaskazini kuwa Lowasa kanda zote kote alikopita hajazomewa wala kupopolewa na mawe.TUME IMETOA RATIBA IHESHIMIWE.

Lakini kama mnapopopoa mgombea kutoka kanda ya Ziwa mjue mwosha huoshwa labda Lowasa asirudi kanda ya ziwa kufanya kampeni lazima atakutana na wenye mtoto wao magufuli

Ukawa hawatukani wala kufanya dharau.
Siasa safi
 
Hivi na Geita wakiamua kufanya hayo kwa Lowasa nchi hii itakalika? Sipendi upuuzi kama huo na haatukuwai kua nao. Hii michezo msije mkadhani inaishia sehem moja ipo siku itaenea nchi nzima lakini kumbukumbu zitatuhukumu kua upuuzi huo umeanzia wapi.

CCM wamechokwa sasà kutokana na hilo unakuta wakipita barabarani hakuna anayewasapoti kiasi kwamba hasira zinawajaa wanaishia kutukana matusi ya hatari na polisi wanawaangalia tu na kuwafurahia.
 
Habari wanaBodi

Ili kudhihirisha mbele ya dunia na nchi kwamba Magufuli hakubaliki kuwa Rais wa JMT basi aibu iliyompata baada ya kuzomewa kule Mbeya inategemewa kujirudia tena siku ya Leo Jijini Arusha ilipo ngome ya CHADEMA atakapokuja kufanya kampeni zake.

Mods msiuondoe huu uzi tushuhudie aibu hii ya aina yake ikijirudia tena.
 
Mkumbuke watu wa kaskazini kuwa Lowasa kanda zote kote alikopita hajazomewa wala kupopolewa na mawe.TUME IMETOA RATIBA IHESHIMIWE.

Lakini kama mnapopopoa mgombea kutoka kanda ya Ziwa mjue mwosha huoshwa labda Lowasa asirudi kanda ya ziwa kufanya kampeni lazima atakutana na wenye mtoto wao magufuli
Kama kweli kazomewa au kupopolewa mawe nampa pole lakini ni ajali ya kujitakia.

Karuhusu kuendeshwa kwa siasa chafu jukwaani kwake, kina Bulembo na Nape, Mwigulu wanawatukana watu wa kaskazini bila yeye kuwakemea.

Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kumpopoa Lowassa kwa vile yeye anaendesha siasa za kistaarabu.
 
Magufuli tangu jana alizomewa maeneo ya Karatu na leo msafara wake umepopolewa mawe Monduli.

Maeneo ya Arusha mjini, Arumeru napo hali si shwari, Magufuli anaweza kupata madhara makubwa hasa Arusha mjini.

Hayo yamesababishwa na wakazi wa maeneo haya kuchukizwa kupita kiasi na siasa za matusi na kashfa nzitonzito kutoka kwa wana kampeni wa CCM dhidi ya mgombea urais wa vyama vinavyounda UKAWA kupitia Chadema ndugu Edward Lowassa.

Wakazi hao wameonyesha hasira za wazi kwa wana CCM walio kwenye kampeni za Magufuli kutokana na lugha chafu wanazotumia kwenye majukwaa ya kampeni hasa udhalilishaji wa utu dhidi ya mgombea huyo wa Chadema anayekubalika sana maeneo haya.

Rai yangu ni Magufuli kupita kwa tahadhari kubwa maeneo haya!

Hawa wenzetu wa UKAWA watakua wamepanic maana walihisi kama CCM wameifuta Arusha na maeneo mengine ya mikoa ya kaskazini wanachokishuhudia ukichanganya na mihemko lazima warushe mawe.
 
Magufuli tangu jana alizomewa maeneo ya Karatu na leo msafara wake umepopolewa mawe Monduli.

Maeneo ya Arusha mjini, Arumeru napo hali si shwari, Magufuli anaweza kupata madhara makubwa hasa Arusha mjini.

Hayo yamesababishwa na wakazi wa maeneo haya kuchukizwa kupita kiasi na siasa za matusi na kashfa nzitonzito kutoka kwa wana kampeni wa CCM dhidi ya mgombea urais wa vyama vinavyounda UKAWA kupitia Chadema ndugu Edward Lowassa.

Wakazi hao wameonyesha hasira za wazi kwa wana CCM walio kwenye kampeni za Magufuli kutokana na lugha chafu wanazotumia kwenye majukwaa ya kampeni hasa udhalilishaji wa utu dhidi ya mgombea huyo wa Chadema anayekubalika sana maeneo haya.

Rai yangu ni Magufuli kupita kwa tahadhari kubwa maeneo haya!

Hakuna cha wakazi wala sijui kuchukizwa, hizo ni siasa chafu na vurugu zinazoongozwa na Chadema chini ya usimamizi thabiti wa Lema akifuatiwa na wenzake Sugu na Msigwa. Eti matusi, hayo matusi wameyaona Arusha tu, mikoa mingine hawakuona kama ni matusi? Tunafahamu wazi kwamba mnaandaa vikundi vyenu vya kufanya vurugu, si mbaya tupo tayari kuumizwa.
 
Hivi na Geita wakiamua kufanya hayo kwa Lowasa nchi hii itakalika? Sipendi upuuzi kama huo na haatukuwai kua nao. Hii michezo msije mkadhani inaishia sehem moja ipo siku itaenea nchi nzima lakini kumbukumbu zitatuhukumu kua upuuzi huo umeanzia wapi.
Geita ni UKAWA tupu na hata Chato CCM ina kata moja CHADEMA kata 19 serikali za mitaa.
 
Magufuli tangu jana alizomewa maeneo ya Karatu na leo msafara wake umepopolewa mawe Monduli.

Maeneo ya Arusha mjini, Arumeru napo hali si shwari, Magufuli anaweza kupata madhara makubwa hasa Arusha mjini.

Hayo yamesababishwa na wakazi wa maeneo haya kuchukizwa kupita kiasi na siasa za matusi na kashfa nzitonzito kutoka kwa wana kampeni wa CCM dhidi ya mgombea urais wa vyama vinavyounda UKAWA kupitia Chadema ndugu Edward Lowassa.

Wakazi hao wameonyesha hasira za wazi kwa wana CCM walio kwenye kampeni za Magufuli kutokana na lugha chafu wanazotumia kwenye majukwaa ya kampeni hasa udhalilishaji wa utu dhidi ya mgombea huyo wa Chadema anayekubalika sana maeneo haya.

Rai yangu ni Magufuli kupita kwa tahadhari kubwa maeneo haya!
Huu ni upuuzi na si jambo la kuchekewa hata kidogo.
Sikilizeni lakini kurusha mawe NO NO NO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbowe kemea haraka na toa ushirikiano kwa vyombo vya dola.
Two mistakes will never make one ONE right!!
 
Yes, Nadhani pia watafanya hivi,

11243638_1619925658277540_6823470039063086561_n.jpg

au hivi,

11954765_1619926598277446_7250682606156853672_n.jpg

Na pia hivi,

attachment.php
Ahsante sana mkuu kwa kuweka hizi picha, hawa jamaa ni sawa na nyani asiyeona kundule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom