Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

kwa wanaojua uwanja wa Mpira Arusha jana ccm walishindwa kuleta mafuriko kama walivyokuwa wakiyataamka kwa kuwahadaa umma wa watazania kwa kuchukua kipande robo cha uwanja kutoka jukwaa kuu kuelekea kusini. hizi ni picha za upande wote wa uwanja kusini, mashariki, mangaribi , kaskazini.
Chuga_1[1].jpg

C[1].jpg
Ccm[1].jpg
Cc[1].jpg
Chuga[1].jpg
Chuga_1[1].jpg
hii ndo hali halisi ilivyo kuwepo uwanjani jana , ukweli uliofichwa
my take;
uwanja huu wakati lowasa anatangaza nia ulijaa wote kwa majukwaa yote na mpaka kwa ground ila kwa magufuli chali hajafikia hata nusu ya Lowasa
 
Weye mnoko kweli. Wenyewe ccm tu wanajaza uanja huu. Wale walioletwa na malori kutoka Kiteto umewaweka wapi?? Lema mwaka huu anashindwa tuuu.
Pole zako Magofuli na Mwingulu. Kaazi kweli kweli. Si Arusha tu, Mbeya, Shyinyanga, Kigoma, Ng'wanza, Bukerewe, Msoma na kwingine aongezee mwenyewe Magufuli. Vitasa vyote kaiba Lowasa. Kilichobaki ni rais mtarajiwa kucheza shoo tu jukwaani asitoke bure. Yaani mgombea yeyote wa ccm namhurumia. Tangu Diwani mpaka rais
 
ha ha ha!ngoja niishie kukucheka ,kiukwel kama ni mabadiliko bas unahtaj kayaanza wewe,kuanzia kwenye uandish mpaka kifikra...
 
Weye mnoko kweli. Wenyewe ccm tu wanajaza uanja huu. Wale walioletwa na malori kutoka Kiteto umewaweka wapi?? Lema mwaka huu anashindwa tuuu.
Pole zako Magofuli na Mwingulu. Kaazi kweli kweli. Si Arusha tu, Mbeya, Shyinyanga, Kigoma, Ng'wanza, Bukerewe, Msoma na kwingine aongezee mwenyewe Magufuli. Vitasa vyote kaiba Lowasa. Kilichobaki ni rais mtarajiwa kucheza shoo tu jukwaani asitoke bure. Yaani mgombea yeyote wa ccm namhurumia. Tangu Diwani mpaka rais
Ukisikia watu kupoteana uwanjani ndiko huku, mnapondana nyinyi kwa nyinyi. hii dhahiri kabisa kuwa MMEPIGWA BUMBUWAZI....!
 
Ndugu MIGNON

Ninashukuru kwa kunikaribisha!

Mimi nipo nikijiandaa kusherehekea ushindi wa CCM kwenye kiti cha Urais wa Tanzania na Zanzibar bila kuwasahamu wabunge na wawakilishi watakaochaguliwa kwa wingi na wananchi wapenda nchi yao ambao wanafahamu thamani ya kura yao.

Magufuli anaitegemea kura yako ya kuukataa ufisadi papa wa mgombea Urais wa Tanzania na usanii wake tokea akiwa CCM A na kwa sasa yuko CCM B!

mbona haujapost picha za monduli?,tafadhar post
 
Badala ya kufanyia kazi weakness na hiyo challenge ya kuvamiwa kambini kwako, we unajiyekenya!!! endelea kujichekesha!!! so unataka kusema statv wanatengeneza nyomi??? kwa technology gan?? au ndo mnachofanyaga wenzetu?unakomaaa na picha za saa tano ndo eti unaziita reality!!! endeleeni kujifariji!!!

CCM wakibeba watu kwenye malori ili kwenda kujaza mafuriko kwenye mikutano ya kampeni jijini Arusha jana
 
Attachments

  • 1444213191848.jpg
    1444213191848.jpg
    30.4 KB · Views: 178
  • 1444213203576.jpg
    1444213203576.jpg
    34 KB · Views: 180
  • 1444213218666.jpg
    1444213218666.jpg
    39.1 KB · Views: 173
  • 1444213231419.jpg
    1444213231419.jpg
    77.2 KB · Views: 162
Ndugu,
Usisumbue fikra zako pana kutaka kujenga hoja na watu wa aina ya huyu binadamu.

Hawa ni wale blind followers wanaotumika katika kutimiza malengo ya wajanja ndani ya vyama.

Hawezi kukuelewa hata ukitumia mbinu yoyote ya kutaka kumwelewesha.

Refuse to get involved in inane discussions as a catalyst of beget strife!

Hawa nao ni blind followers pia si ndio Nape? Maana wanabebwa kwenye malori na CCM hawa. Huo ulikuwa ni mkutano wa jana jijini Arusha
 
Watu hawaongelei kabisa tukio la jana, ni kama kuna maombolezo hivi?

Hatuhitaji kuongelea tukio ambalo tuliliona live kwenye TV., picha zile zimejieleza vya kutosha.

Sasa hivi tunajiandaa kushonesha suti za kuvaa siku Magufuli atakapoapishwa na kuendelea na kampeni za wagombea ubunge na madiwani, Magufuli tunamrudisha Chato akapumzike asubiri kuapishwa, kampeni alishamaliza jana.
 
kwa wanaojua uwanja wa Mpira Arusha jana ccm walishindwa kuleta mafuriko kama walivyokuwa wakiyataamka kwa kuwahadaa umma wa watazania kwa kuchukua kipande robo cha uwanja kutoka jukwaa kuu kuelekea kusini. hizi ni picha za upande wote wa uwanja kusini, mashariki, mangaribi , kaskazini.
View attachment 295492

View attachment 295494
View attachment 295495
View attachment 295496
View attachment 295497
View attachment 295492
hii ndo hali halisi ilivyo kuwepo uwanjani jana , ukweli uliofichwa
my take;
uwanja huu wakati lowasa anatangaza nia ulijaa wote kwa majukwaa yote na mpaka kwa ground ila kwa magufuli chali hajafikia hata nusu ya Lowasa

Una uhakika hizi picha ni za tukio la jana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom