Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Hakuna wa kumzuia lowasa mkuu😆✌
 
Jaman tusipoteze muda Lowassa ndio rais wa jamuhur ya muungano anayesubiri kuapishwa

Mgufuli atamshinda mshikaji kiulaini sana na tutabaki tunaulizana nini kimetokea. Kura za mashibiki pekee hazitoshi mnahitaji kupata pia kura za watu makini wanaojielewa.
 
Mungu akipanga jambo mwanadam kamwe hawezi lipangua. Waache wamtusi kila aiba ya matusi ila wakae wakijua ndio wanachochea moto uzidi kuwaunguza. Lowassa go usikatishwe tamaa na vijimambo vya waliokukata.
Kwa hulka ya watanzania najua kila wanapomtusi kura za huruma zinaongezeka.
 
Mgufuli atamshinda mshikaji kiulaini sana na tutabaki tunaulizana nini kimetokea. Kura za mashibiki pekee hazitoshi mnahitaji kupata pia kura za watu makini wanaojielewa.

Ts true sipingani na mawazo yako na mitazamo yako lakini zaidi sishndani na nguvu ya umma.
 
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.
mzee wa Uhuru peak
 
11147233_401069106752360_5918539096285907200_o.jpg
 
Back
Top Bottom