dagaa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 290
- 379
mpaka sasa unaang
alia mavaziWadau amani iwe kwenu.
CHADEMA, CUF na UKAWA kwa ujumla ni washari. Wanadhihirisha kuwa hawapo tayari kwa suluhu japo wanajifanya wao ndio wanachokozwa Bungeni. Wanajifanya wastaarabu kumbe si lolote. Wamejiandaa kwa mapambano Bungeni ambayo kwa hakika hawatayaweza.
Nimewaona wabunge wa Upinzani wote wakiwa wamevalia suti nyeusi. Nimeongea na mmoja wa wabunge wa UKAWA ambaye ni source wangu akaniambia kuwa wanaomboleza kifo cha demokrasia nchini. Akasema kuwa wamepania bunge hili kuhamishia harakati za UKUTA ndani ya Bunge. Akasema kuwa wamepewa maelekezo na Edward Lowasa na Maalim Seif kuwa katu wasikubali muafaka wowote na wabunge wa CCM. Akasema kuwa Lowasa na Maalim Seif wameafikiana kuwa sasa hakuna suluhu bali jino kwa jino.
Hakika nimetafakari sana kauli hizo na nimeziona kuwa hazina tija kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Hii ni kutokana na ukweli kwamba CCM tutaendelea kuutumia wingi wetu na wao wataendelea kuathirika kwa uchache wao.
Kwa tabia za hawa wabunge wa Upinzani, tumuache Rais Magufuli awaambie ukweli