Yafahamu majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na mikataba ya kimataifa

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686

UANDISHI WA SHERIA​

Uandishi wa Sheria

Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria.
  1. Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za Serikali kuhusu mchakato wa utungwaji wa sheria na masuala mengine yahusuyo sheria;
  2. Kutoa ushauri stahiki wa sheria zilizotungwa na Bunge, Sheria ndogo na maazimio mbalimbali;
  3. Kuandaa miswada sheria kwa ajili ya kuwasilisha Bungeni;
  4. Kuandaa Hati zote za kisheria na Maazimio kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;

USHAURI WA KISHERIA​

Ushauri wa Kisheria
  1. Kuishauri Serikali juu ya masuala yote ya kisheria ikiwemo Mikataba ya Kimataifa ambayo Tanzania ni sehemu ya Mkataba ama ina maslahi katika Mkataba hiyo;
  2. Kushauri na kudumisha uhusiano kati ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwa lengo la kuleta ufanisi katika suala lolote lililopo Mahakamani na katika Mabaraza;
  3. Kupokea taarifa kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Mashtaka kwa dhumuni la kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama;
  4. Kuwasimamia Maafisa Sheria na Mawakili wa Serikali wote walioko katika Wizara, Idara na Taasisi za Seriakli katika kutekeleza majukumu yao ya kisheria;
  5. Kushiriki katika kudhibiti nidhamu ya Mawakili wa Kujitegemea kupitia Kamati ya Maadili ya Mwakili; na Kutekeleza jukumu lolote linaloweza kuwa muhimu kwa utekelezaji ulio na ufanisi wa majukumu na mamlaka ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

UPEKUZI WA MIKATABA​

Upekuzi wa Mikataba

DIVISHENI YA MIKATABA NA MAKUBALIANO YA KIMATAIFA
Divisheni hii inahusika na kutoa Ushauri na kuendesha Majadilano kwa niaba ya Serikali katika Mikataba yote.

MAJUKUMU YA DIVISHENI YA MIKATABA
  • Uhakiki wa Mikataba ya Manunuzi
  • Uhakiki wa Makubaliano ya Kitaifa na Kimataifa
  • Kuhudhuria na kutoa mapendekezo ya nchi katika vikao vya kikanda na kimataifa kwa maslahi ya nchi
  • Kuhudhuria Vikao vya Majadiliano ya Mikataba mbali mbali yenye maslahi kwa nchi kila inapohitajika;na
  • Kutoa Ushauri kwenye Mikataba ya Mikopo
SEHEMU ZA DIVISHENI YA MIKATABA
Divisheni ina Sehemu Tatu (3)vinavyoongozwa na Wakurugenzi Wasaidizi. Sehemu hizo;
  • Sehemu ya Mikataba ya Ununuzi wa Umma
  • Sehemu ya Mikataba na Makubaliano ya Kimataifa
  • Sehemu ya Mikataba ya Uwekezaji, Maliasili na Fedha
 
Ni sawa, lkn hayo yapo kweny makaratasi tu!!
 
Back
Top Bottom