Ya Lamwai yaweza kumkuta Tundu Lissu!

Acha woga ndugu yangu; usimwogope mwanadamu alozaliwa na mwanamke kama wewe! Maneno hayo yalitamkwa na Mtoto wa JK - Ridhiwan huko kwao Bagamoyo! Kumbukumbu tunazo!
Mkuu kindoa changu bado kina miaka miwili tuu, hawa wanyama huwa hawaoni taabu kuua kwa maslahi ya chama hukumbuki ya Kolimba, Balali nk. Hawa watu kama siyo wanyama kweli baba yake angeweza kukubali kusaini mswaada kandamizi kiasi hiki?????????
 
lamwai na Tambwe hiza ni wanasiasa malaya ambao kazi zao ni kuhama hama vyama, kumbuka Tambe hiza aliwahi kusema hivi akijarudi ccm ni heri alale na mama yake
 
Nadhani ni mawazo yako tuu!
Personally siyaafiki ata kwa 20%
Huwezi kulinganisha Wasira na Mbowe. historia ya Mbowe ni pamoja na kuuza madawa ya kulevya baada ya kufukuzwa shule Kibaha kinyume chake wasira ni kiongozi wa kisiasa na mtu mwadilifu tangu utoto.
 
Kwa nini msijiulize nin hatima ya mdogo wake lamwai ambaye ni mbunge wa chadema mh. Joseph Roman Selasini mbunge wa Rombo? Atakua kama kaka yake au?
 
Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?

Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo

1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?

2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?

3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?

4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?

5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?

Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.

Amen!

Mkuu nimeipenda hii ila hapo kwenye red wala usitegemee hata kwa hesabu za kuchakachua kumfananisha Dr PHD Na mzee wa rejereja hapo nitake radhi....Ulale na bwana...ameni
 
lamwai na Tambwe hiza ni wanasiasa malaya ambao kazi zao ni kuhama hama vyama, kumbuka Tambe hiza aliwahi kusema hivi akijarudi ccm ni heri alale na mama yake
Kwa maana hiyo ameshalala nae?
 
Mpambanaji yeyote habadilishwi msimamo na fedha au ulaghai wowote.kama ni kumwombea 2mwombee uzima bt c kumwombea asikimbilie CCM akikimbia kwa fedha let him go coz angekuja kua mzigo.
 
Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?

Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo

1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?

2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?

3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?

4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?

5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?

Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.

Amen!
Namuona Tundu Lissu alipo Lamwai leo ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikumbuka Lamwai katika Bunge la kwanza la vyama vingi ni kweli naweza kuamini kwamba uliyoyaandika hapa yanawezekana. In politics no enemy and no friend.
Naomba Mungu awalinde hawa jamaa kwa kuwa wanapambana na baadhi ya wacommunist ambao hawataki kutambua kuwepo kwao. Ucommunist ni imani mbaya sana. Angalia China, N.korea, cuba, ni mateso tu.
Naipenda hii thread na ninaomba wahusika waliotajwa hapa waisome pia maana wananchi watavunjika moyo endapo watasikia wamerudi kwa wanaotutesa, yaani CCM.
Nafikiri wengi hawajui Lamwai alikuwa mtu wa namna gani. Ila unfortunately ubinafsi unaimaliza upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?

Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo

1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?

2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?

3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?

4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?

5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?

Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.

Amen!
Huu unabii kama umeanza kutimia hivi? Dr. Slaa na Kafulila down

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ana damu ya kimapinduzi toka kuzaliwa kwake, Lissu huwezi kufananisha na akina Dr Slaa aliyeasi utumishi wa Mungu na leo hii tunaona alivyoungana na watoa roho za watu, hatetei tena haki za watanzania zinazoporwa na watawala amebaki kula vinono tu huku jamii ya watanzania ikiteketezwa na hawa miungu watu wa nchi hii waliojivika ufalme na utukufu wa hapa duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?

Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo

1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?

2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?

3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?

4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?

5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?

Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.

Amen!
Tatizo ccm wanaona chama pinzani kama vile ni uhaini
 
Back
Top Bottom