Nawashangaa wanaoshindwa kuelewa mpaka leo kuwa siasa za Tanzania ni mchezo wa kuigiza.
Na hayo maigizo ndiyo hatuyataki kuyaona yakiendelea kama Msanii JK anavyo igiza na suala la katiba mpya.
Anasema kwamba huo mchakato ni sawa na waliofanya marais waliomtangulia akina Alhaji Mwinyi, Mkapa!
Hapa ndiyo napata wasiwasi na uwezo wa kufikiri au IQ ya JK. Hivi Mwinyi na Mkapa waliwahi kuandika
katiba mpya? Kwanini JK analinganisha madafu na maembe?
Kama hajawaiga wote hao basi alimuiga Nyerere.

Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?
Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo
1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?
2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?
3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?
4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?
5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?
Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.
Amen!

KWA TAARIFA YAKO - hayo hayawezi kutokea labda waasisi wa chama hiki wawe wamekufa kwa sababu kama ni tamaa ya pochi tuu CCM hawana pesa kama mtei, ndesa,mbowe, na wengine ambao sitaki kuwataja kwa hiyo makamanda hawanunuliki take it from me periodKuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?
Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo
1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?
2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?
3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?
4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?
5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?
Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.
Amen!
ThanksKWA TAARIFA YAKO - hayo hayawezi kutokea labda waasisi wa chama hiki wawe wamekufa kwa sababu kama ni tamaa ya pochi tuu CCM hawana pesa kama mtei, ndesa,mbowe, na wengine ambao sitaki kuwataja kwa hiyo makamanda hawanunuliki take it from me period
Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?
Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo
1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?
2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?
3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?
4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?
5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?
Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.
Amen!
Kama hajawaiga wote hao basi alimuiga Nyerere.
ZITTO KABWE na TAMBWE HIZZA naweza kuwafananisha kwa herufi za majina yao kuweza kuingiliana.
KABWE na TAMBWE
ZITTO NA HIZZA - TT NA ZZ, I NA I.
Wakati wa Nyerere sisi hatukuwepo. Hivyo mtindo huo umepitwa na wakati. Old fashion. Na huo utaratibu wa Nyerere ndio sababu kubwa ya sisi kutoka katiba mpya, ambao tuandika sisi wenyewe kama watanzania kwa ujumla wetu.
Tunataka sisi tuwe na utaratibu wetu wenyewe (new fashion). Uwezo wa kutengeza utaratibu wetu tunao.
Kuna wakati wananchi wa kigoma walikuwa wanadhana sawa na wewe juu ya mhe walid kaburu. Wanasiasa wanaingia kwenye siasa ili wanufaike wanapoona njia ya mafanikio kupitia vyama vya upinzani ni ndefu wanaamua kutumia short cut, huko wapo wanaofanikiwa kama kina Lamwai, Abbas Mtemvu na Wassira na wapo wengine wanapotea unakuwa huwasikii kama Mhe Walid Kaburu.1. Lamwai is after Money
2. Tundu Lissu is after rights