Wydad Athletic FC wakiwa Mabingwa wa CAFCL basi Klabu ya Simba SC inapaswa Kuheshimiwa mno Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,200
110,658
Ukiwa na Akili timamu utanielewa kwanini nimesema hivi ila ukiwa Masikini wa Fikra / Akili hutonielewa kamwe.

Bado Simba SC itaendelea kuwa Klabu Kubwa na yenye Hadhi ya Juu kuliko Timu nyingine yoyote hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki nzima.
 
Simba haikucheza na Wydad ya kishingo, bali Wydad ya kocha aliyetimuliwa. Kwanini alitimuliwa? Ni kutokana na ku strugle kupata matokeo mazuri kwenye mechi kadhaa za makundi tena kwa timu za kawaida kama As vita, Petro Luanda, n k haswa wanspokuwa nyumbani
 
Back
Top Bottom