MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda.
Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania Yanga SC akishinda atakuwa na alama 9 na hata kwa bahati mbaya akitoka suluhu bado atakuwa na alama 5.
Mechi yao (Yanga SC) ijayo ambayo najua wataipangia mikakati ya kimaandalizi dhidi ya Monastir FC ya nchini Tunisia ambayo wataicbezea Dar es Salaam, Tanzania wakishinda wanakuwa na alama 8 na hata bado kwa bahati mbaya wakitoka sare watakuwa na alama 6 na kwa ugumu na ushindani ulioko katika kundi lao kuna uwezekano mkubwa hata mwenye alama 6 atakuwa amefuzu Robo Fainali ya CAFCC walioko.
Kwanini sijaisemea mechi yao ya mwisho dhidi ya TP Mazembe FC watakayoichezea machinjioni Lubumbashi au Kinshasa?
Ni juha (fool) tu pekee ndiyo atakataa kuwa Yanga SC hata Wafanyeje wakienda kucheza na TP Mazembe FC watafungwa tu kutokana na mazingira na fitna ambazo watakutana nazo huko kwani hata TP Mazembe FC wanaitaka mno hiyo mechi ya mwisho dhidi ya Yanga SC kwakuwa ndiyo ambayo itaamua hatima yao na sidhani kama tajiri wao Moise Katumbi Chapwe (Le Bill Gate Congole) atakubali kuiona Klabu yake ya TP Mazembe haifuzu Robo Fainali ya CAFCC.
Ndiyo maana wenye akili Kubwa na wenye PhD na Soka la Bongo (Tanzania) na Afrika tunajua kuwa Yanga SC wameweka nguvu yao kubwa kwa mechi zao tatu zijazo ya Real Bamako FC (kwao na nchini) na ile dhidi ya Monastir FC kutoka nchini Tunisia wakiamini kuwa mechi yao ya marudiano na TP Mazembe FC kwao Congo DR iwe isiwe wanaenda kupata kichapo/kipigo cha kikatili (kishalubela) cha wao pia kulipiza kisasi cha kudungwa bao/goli 3 kwa 1 wiki moja tu iliyopita.
Kwa Klabu ya Simba (ambayo naishabikia kindakindaki) wala tusizunguke sana ni kama vile hesabu zimeshakataa na hatuna chetu tena CAFCL na kinachofanyika sasa ni Kukamilisha tu Ratiba.
Kitendo cha Simba SC Kufungwa Nyumbani ( Dar es Salaam Tanzania ) na Raja Casablanca FC tayari mipango na mikakati ya kiushindi na kimahesabu ya Simba SC imeshaharibika.
Tayari mpaka sasa Simba SC ina alama 0 baada ya kucheza mechi mbili za CAFCL hivyo hesabu zetu zote za kukusanya alama za kimkakati (hasa za Dar es Salaam Tanzania) kuharibika.
Simba SC ikishinda dhidi ya Vipers FC mechi zake zote mbili atakuwa na alama 6.
Nasisitiza ni juha tu pekee ndiyo hatokubali au hatoamini kuwa Horoya FC atafungwa (nje ndani) na wanaojua na wababe Raja Casablanca FC.
Hivyo wakati Horoya FC akifungwa mechi zake mbili na Raja Casablanca FC atabakia na alama zake 4 huku Simba SC akiwa na alama zake 6.
Kwakiwa Horoya FC wameshachungulia na kuona wana nafasi ya kufuzu ni kwamba mechi yao na Simba SC jijini Dar es Salaam Tanzania watakuja wakiwa wamejiandaa kikamilifu huku wakiwa na hitaji moja tu la kupata sare (alama 1) ili wawe na uhakika wa kuwa na alama 5 huku Simba SC ikiongeza alama 1 na jumla kuwa na alama 7 kibindoni.
Faida kubwa waliyonayo Horoya FC na najua hii ndiyo inawapa jeuri ni kwamba mechi yao ya mwisho dhidi ya Vipers FC kutoka nchini Uganda wataichezea Kwao nchini Guinea na najua nao pia hii mechi watajiandaa nayo kimkakati na mipango yote hivyo kuwa katika nafasi nzuri na kubwa ya kushinda hivyo jumla kuwa na alama zao 8.
Nitasikitika kama kutakuwa na mwana Simba SC mwenye akili timamu akiamini na akijiamini kuwa mechi ya mwisho ya Simba SC dhidi ya mwamba na mafundi Raja Casablanca FC kwao machinjioni nchini Morocco Simba SC yetu itashinda.
Kama mtaalam wa kuchambua mpira kwa jicho kali (la kimkakati na kiufundi) siioni Simba SC ikiambulia hata sare Raja Casablanca FC Kwao nchini Morocco bali naiona Simba SC yangu inaenda Kufungwa goli/bao nyingi na huenda hata kuvunja rekodi ya Yanga SC kufungwa goli nyingi katika mashindamo haya ya Kimataifa miaka ya nyuma na hata rekodi zipo.
Mwisho kabisa sababu kuu inayonipa ejuri kusema kuwa kwa 200% Simba SC haitofuzu na safari yao (yetu) katika CAFCL imefika tamati (mwisho) ni huu mgogoro mkubwa ulioko klabuni na usaliti wa viongozi walioko dhidi ya kundi la wenye nguvu na hela la Friends of Simba ambalo nimetaarifiwa kuwa kwa 99% linararibu matokeo mabaya ya Klabu ya Simba kutokana na Mwenyekiti aliyeshinda Uchaguzi Mkuu wa Simba SC hivi majuzi kushinda kwa mizengwe (rushwa na wizi) Murtaza Mangungu kuwatukana matusi mabaya na dharau juu.
Ikitokea huu mtazamo wangu (hii tathmini yangu) ikakukwaza (ikakukasirisha) ushauri wangu wa haraka kwako tafuta sumu ya panya au nyongo ya mamba kisha mwambie mkeo akukorogee katika kikombe chako cha chai au kahawa ili unywe na ukapumzike mazima Kinondoni au Kisutu katika nyumba zetu za kudumu na za moja kwa moja.
Hongereni Yanga SC na poleni Simba SC.