WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

Umenifanya nicheke kabisa mkuu.....

Haya yanayosemwa hapa context yake ni nini?

Kabla au baada ya dhambi?

Ukijibu hayo nitaelewa kama unasoma Biblia kama gazeti au vinginevyo....

Mkuu nimekupa ili kukushtua. Maana naona mwanadamu unataka kumchukulia kama SCRAP Sio kweli.
Mwanadamu ni nani hata Umuangalie? Hili swali hakuuliza DAUDI tu, Ni maswali aliyuliza Hata AYUBU, Ukimsoma utajua mwanadamu ni nani na anadhamani gani, na kwa niniMungu ampe hadhi kubwa kiasi hicho
Yesu alisema Tuna thamani zaidi ya mashomoro
Mungu anasema Nimekuchora katika Viganja
Mwanadamu ni wa Thamani sana kuliko unavyodhani hadi yesu anakuja. Haijalishi ni Mdhambi au Mwema.
Mungu anajishughulisha saana na Maisha yetu. Soma Petro

Hao viumbe Wakufikirika wasio hata na protection ya Mungu, Tena wasio hata na viwango vya Mapepo hata majini hawana dhamani kabisa hata hiyo akili unayotaka kuwapa ukiachilia mbali hawapo kabisa.

Haya yanatokea ni kwa sababu Yalitabiriwa, Na lazima yatokee ili ule mwisho uje maana katikati ya haya yanayotokea na mengine mengi ya kutisha yajayo Mungu ameweka tumaini Lenye Baraka kwa mwanadamu yoyte yule atakayetaka.
 
Moja:Unaweza kufafanua ni kwa namna ipi Rumi ipo kwenye huo unabii wa Danieli?
Mbili;Roman Empire ilianguka mwana 476 kwa historia ipi mkuu?
Ushauri wangu katika hili Utulie usome, ufuatilie kama unavyojinasibu kuwa unafanya tafiti.
Daniel 2, Ina summary ya dunia hadi mwisho japo nakuona unajaribu kupenyeza hao machotara kwenye madini ya mzee daniel.
Lakini daniel 2. Ni flame work au skeleton na Daniel 7 ni nyama kamili ya kinachoelezewa. na kabla hujazama sana lazima Upate biblical dictionary ya prophetic terminologies ili uelewe unasoma nini.

Kuhusu Roman empire sio mimi,wala hao warumi wenyewe bali dunia itakushangaa. Dunia sasa haijadili Uhalali wa Roman empire.
Queen Victoria Bibi wa Ulaya Magharibi, Charlemagne, Charles V, Louis XIV, Napoleon, Kaiser Wilhelm II na Hitler. Woote hawa walikuwa wanajua Unabii Huo wa page moja Daniel Mbili, Ndio maana Kuonyesha kwamba anaweza kwenda kinyume na Unabii Huo Mfaransa KAEZER WILHELM alienda kwenye Cathedral iliyoko Mji wa Metz. Kwenye hiyo cathedral nje Kuna sanamu ya Daniel anaonyeshea unabii wake. kaagiza Kichwa cha daniel King'olewe kitengenezwe kiwekwe chaki akimaanisha alichosema daniel Kuwa masalia ya Roma hayawezi kuungana yeye anaweza lkn alifeli. Adolf Hitler alipokuja na kutaka Kuvamia France alitoa tamko kuwa hapo hapo Metz hicho kichw cha Kaizer kitolewe Kirudishwe cha Daniel akiwa anamaanisha pia ataiunganisha dunia au ulaya kivita Itabiliwe isitabiliwe.

Mkuu kwa Ufupi hapo nina mambo ya kusema mengi kuliko muda
 
Ni mambo meng yanayotokea nikitazama naona ni kama yana ukweli kua ni ya kutengenezwa.
Naomba kufahamishwa undani wa vitu hivi;

1. PROJECT BLUE BEAM, na hii kitu HAARP
Vita vya kisaikolojia, Inasemwa lengo ni kuharibu mfumo mzma wa dini zilizopo na elimu ikiwemo mitaala ilyopo, hapa nafikir hata ile dhana ya binadamu alkua nyani imetoka, na hyo project blue beam ni 3D animations ztakazo onekana ktk anga ya ulmwengu.

2. SPACE SHOW,

3. ALLIEN INVASION, Uvamizi wa alliens kutoka nje ya sayar yetu kuja ktk sayar hii, nchi ztatumia silaha zao za maangamiz kupambana na viumbe fake wakutengeneza mwsho itatoka amri watu wakusanye silaha zao na watakua under NWO

4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA, Kupatkana kwa world currency na huko kutakua na mfumo wa kielektronik kwa kila kitu.
 
Hapa ndio tunapopishania. Wavumbuzi wa kila kitu duniani unaweza kuwatraceback ukapata kujua ilikuwajekuwaje. Anza na Historia ya Dunia halisi kabla hujaingia kwenye upimwengu wa kufikirika.
Bahati mbaya kabisa ni kwamba kwangu mimi historia unayoiona halisi kwangu ni kinyume na ninayoiona halisi kwako ni fake....

Hatutaweza kuelewana kabisa....
Umeandika vingi sana; ila kati ya vyote havijasakafiwa na biblical evidences zaidi ya kutoa Mifano ya Mpira wa Miguu kuwa viwango vinatisha utadhani hujamuona yule dogo DEMBELE wa CELTIC alivyoonyesha ujuzi wa hali ya juu alivyocheza na timu ya wakubwa. Hijawahi kutokea tangu dunia iumbwe.
Mkuu,sijui kama unaweza kujua ni wapi panahitajika ushahidi wa kibiblia na wapi hapahitajiki.Nimejenga hoja ambayo ili kuweza kujua na kuelewa ninachokisema ni kwa kutumia logic,na mifano nimekupa ili uweze ku reason na hatimaye kuelewa ninachokisema na uweze kuelewa,wewe unaniambia nikupe ushahidi kutoka kwenye biblia,sasa unataka nikupe mstari wa kwenye biblia unaozungumzia mpira wa miguu au kitu gani?

Niliposema kuhusu vipaji vya soka kupotea kabisa sikuwa namaaniosha kwamba hakuna hata mmoja ambaye ana kipaji kizuri cha soka,hapana bali nazungumzia majority,hata hili nikueleze mkuu?

Unaweza kuthibitiosha kuwa huyo dogo Dembele kipaji chake hakikuwahi kuwepo duniani?
 
Mimi nimeandika nilichokisema na nimejenga hja ni kwanini nimesema nilichokisema kutoka kwenye kitabu cha Plato nikiunganisha na kinachotokea duniani.Pia,sijasema kuwa Plato ndiyo kila kitu kwenye maisha ya karne ya 18 isipokuwa nimesema kile ambacho alikisema na kinavyohusiana na maisha tunayoishi leo tena kwa mifano kabisa...

Wewe unakuja na kusema maisha hayapo kama Plato anavyosema bila hata kusema hayapo hivyo namna ipi,unataka nikuelewe namna ipi?

Nilichokisema hakukisema Palto moja kwa moja bali ni namna ambayo wale ambao hawakupendezwa na mtindo wao wa kufundisha [akina Plato,Socrates,Aristotle n.k] ambapo walikuwa wakiwa group wanafunzio wao na kundi moja kupewa elimu iliyokuwa inamaanisha kile walichokuwa wakifundishwa na wengine wakiambiwa ambayo hayakuwa kweli,wewe hapa tayari umeshamhukumu Plato kudanganya,utajisikiaje akina mtu mwingine akiyafasiri tofauti maandiko ya Plato?

Usimhukumu Plato kutokana na kile nilichokisema japokuwa kinaweza kuwa kweli na kinaelekea kuwa kweli bali unapaswa wewe unihoji mimi niliyenandika hayo...

Nadharia ndiyo msingi wa sayansi yote.Unaanza na nadharia kisha unafanya utafiti bna baadaye unapata jibu,huwezi kuanza bila nadharia hivyo kusema hatuishi bila nadharia unakuwa haupo sawa kwa kiwango chote....

Kinachozungumzwa na nani?

Kwanini ni conspiracy?
Siwezi kumpinga(its ridiculous kumpinga) Plato kwa lolote maana yeye ni muhasisi wa uraia (civilization) lakini tu maandiko yake yamepitwa na wakati, yalikua na nafasi kubwa zaidi kabla ya mapinduzi ya viwanda.

Itikadi za kisiasa ya leo zimejikita zaidi kwa (wasomi) wa karne ya 18 na si nyuma ya hapo. Hapa nazungumzia Wilhelm Hegel na wenzake. Democracy ilianzishwa anthen-Greek ambapo wahasisi wengi walichangia kujenga misingi yake lakini Democracy ya leo ina uhusiano chini na 10% ya hiyo.

Kilicho zungumzwa na Albert Pike katika barua yake (#1 post)

Conspiracy (au kula njama ili kupingana/kupindua utawala uliopo). Utawala upi? Utawala wa wananchi (democracy). Raia duniani kote wanaamini wao wana nafasi kubwa ya kuamua mifumo na taratibu zote za kitawala (hii ndio democracy ingawa nchi zingine inaminywa). Lakini limeibuka kundi la watu ambao wameanzisha "secret societies" kama Freemasonry, Skull and Bones na hata kutengeneza mitandao ya kifamilia kama Rothernchild na wengineo.

Na haya makundi kwa agenda binafsi na za siri ndio wamekua nyuma ya vita, machafuko na maanguko mengi ya kiuchumi na kiutawala duniani kote.

Ukweli upo na unapatikana, usije kusema mpaka leo bado tunaangalia vivuli ukutani na sauti kama Plato alivyodai. Maarifa yamekua mengi na yote yanajaribika na kuthibitika, shida inakuja sehemu moja au mbili; ni kiasi gani cha maarifa kinahitajika kwa kila mtu (how well educated)..pia ni elimu ipi inahitajika kila mtu awe nayo
 
Umenifanya nicheke kabisa mkuu.....

Haya yanayosemwa hapa context yake ni nini?

Kabla au baada ya dhambi?

Ukijibu hayo nitaelewa kama unasoma Biblia kama gazeti au vinginevyo....

Mkuu nimekupa ili kukushtua. Maana naona mwanadamu unataka kumchukulia kama SCRAP Sio kweli.
Mwanadamu ni nani hata Umuangalie? Hili swali hakuuliza DAUDI tu, Ni maswali aliyuliza Hata AYUBU, Ukimsoma utajua mwanadamu ni nani na anadhamani gani, na kwa niniMungu ampe hadhi kubwa kiasi hicho
Yesu alisema Tuna thamani zaidi ya mashomoro
Mungu anasema Nimekuchora katika Viganja
Mwanadamu ni wa Thamani sana kuliko unavyodhani hadi yesu anakuja. Haijalishi ni Mdhambi au Mwema.
Mungu anajishughulisha saana na Maisha yetu. Soma Petro

Hao viumbe Wakufikirika wasio hata na protection ya Mungu, Tena wasio hata na viwango vya Mapepo hata majini hawana dhamani kabisa hata hiyo akili unayotaka kuwapa ukiachilia mbali hawapo kabisa.

Haya yanatokea ni kwa sababu Yalitabiriwa, Na lazima yatokee ili ule mwisho uje maana katikati ya haya yanayotokea na mengine mengi ya kutisha yajayo Mungu ameweka tumaini Lenye Baraka kwa mwanadamu yoyte yule atakayetaka.
Hata nilichokuuliza hukukuielewa mkuu....

Lengo la kukuuliza context nilitaka uelewe kwamba maandiko uliyonionesha hayakuwa yakizungumzia unachotaka kukisema wewe hapa....

Unaposema kwamba mwanadamu ana thamani ni kweli,tena kubwa na kinachompa mwanadamu thamani hii ni kitu kimoja tu,ile hali ya Uuungu iliyo ndani yake.Yaani Mungu alichagua kuwa sehemu ya wanadamu pale alipoweka roho yake kwa mwanadamu,hii ndiyo thamani pekee ambayo inamfanya mwanadamu awe hivyo na siyo hiki ambacho wewe unakisema hapa....

Nilikuuliza,binadamu aliumbwa aje kujenga maghorofa na ndege huku duniani? Maana naona hiki ndicho kipimo chako cha uthamani wa mwanadamu.....
 
Siwezi kumpinga(its ridiculous kumpinga) Plato kwa lolote maana yeye ni muhasisi wa uraia (civilization) lakini tu maandiko yake yamepitwa na wakati, yalikua na nafasi kubwa zaidi kabla ya mapinduzi ya viwanda.

Itikadi za kisiasa ya leo zimejikita zaidi kwa (wasomi) wa karne ya 18 na si nyuma ya hapo. Hapa nazungumzia Wilhelm Hegel na wenzake. Democracy ilianzishwa anthen-Greek ambapo wahasisi wengi walichangia kujenga misingi yake lakini Democracy ya leo ina uhusiano chini na 10% ya hiyo.

Kilicho zungumzwa na Albert Pike katika barua yake (#1 post)

Conspiracy (au kula njama ili kupingana/kupindua utawala uliopo). Utawala upi? Utawala wa wananchi (democracy). Raia duniani kote wanaamini wao wana nafasi kubwa ya kuamua mifumo na taratibu zote za kitawala (hii ndio democracy ingawa nchi zingine inaminywa). Lakini limeibuka kundi la watu ambao wameanzisha "secret societies" kama Freemasonry, Skull and Bones na hata kutengeneza mitandao ya kifamilia kama Rothernchild na wengineo.

Na haya makundi kwa agenda binafsi na za siri ndio wamekua nyuma ya vita, machafuko na maanguko mengi ya kiuchumi na kiutawala duniani kote.

Ukweli upo na unapatikana, usije kusema mpaka leo bado tunaangalia vivuli ukutani na sauti kama Plato alivyodai. Maarifa yamekua mengi na yote yanajaribika na kuthibitika, shida inakuja sehemu moja au mbili; ni kiasi gani cha maarifa kinahitajika kwa kila mtu (how well educated)..pia ni elimu ipi inahitajika kila mtu awe nayo
Usichokijua wewe ni kwamba hata wale walipokuwa wakiangalia vivuli walikuwa wakiamini kuwa ukweli unapatikana kwa kiwango ambacho wewe unakiona,ukweli unafichwa kwa namna ya kustaajabisha kabisa na inawezekana wangekuua kama ungewaambia kuwa kuna ukweli mkubwa zaidi nje ya kile walichokuwa wanakijua.....

Historia ya kweli ipo lakini huijui,mapinduzi ya viwanda umeyasoma kwenye makaratasi,leo ukiamua kupindua kidogo tu unachokiamini kinageuka uongo.Ukiambiwa uanze kuhoji ukweli wa hayo ndipo utaanza kujishangaa sababu ya wewe kuwa unaamini jambo hilo....

Binadamu tuna tatizo moja kubwa,huwa tunachagua kuamini jambo na kisha sisi tunalifanya kuwa kweli bila kuruhusu mlango wa kuhoji na kibaya zaidi tuna attach mambo hayo na hisia zetu na inapofika mahali tunapingwa tunaingia kwenye hisia hasi.....

Nilichokisema kumhusu Plato sijakitoa kwenye maelezo yake,hili nimekuambia mwanzo kabisa,hii inamaana kwamba sikukuambia umpinge Plato bali ulipaswa unihoji mimi kutokana na hayo maelezo niliyoandika.....

Tatizo lako ni kwamba unachokiamini umeshakigeuza kuwa kweli wakati kinaweza kupingwa kwa hoja na logic....
 
Ushauri wangu katika hili Utulie usome, ufuatilie kama unavyojinasibu kuwa unafanya tafiti.
Daniel 2, Ina summary ya dunia hadi mwisho japo nakuona unajaribu kupenyeza hao machotara kwenye madini ya mzee daniel.
Lakini daniel 2. Ni flame work au skeleton na Daniel 7 ni nyama kamili ya kinachoelezewa. na kabla hujazama sana lazima Upate biblical dictionary ya prophetic terminologies ili uelewe unasoma nini.

Kuhusu Roman empire sio mimi,wala hao warumi wenyewe bali dunia itakushangaa. Dunia sasa haijadili Uhalali wa Roman empire.
Queen Victoria Bibi wa Ulaya Magharibi, Charlemagne, Charles V, Louis XIV, Napoleon, Kaiser Wilhelm II na Hitler. Woote hawa walikuwa wanajua Unabii Huo wa page moja Daniel Mbili, Ndio maana Kuonyesha kwamba anaweza kwenda kinyume na Unabii Huo Mfaransa KAEZER WILHELM alienda kwenye Cathedral iliyoko Mji wa Metz. Kwenye hiyo cathedral nje Kuna sanamu ya Daniel anaonyeshea unabii wake. kaagiza Kichwa cha daniel King'olewe kitengenezwe kiwekwe chaki akimaanisha alichosema daniel Kuwa masalia ya Roma hayawezi kuungana yeye anaweza lkn alifeli. Adolf Hitler alipokuja na kutaka Kuvamia France alitoa tamko kuwa hapo hapo Metz hicho kichw cha Kaizer kitolewe Kirudishwe cha Daniel akiwa anamaanisha pia ataiunganisha dunia au ulaya kivita Itabiliwe isitabiliwe.

Mkuu kwa Ufupi hapo nina mambo ya kusema mengi kuliko muda
Tatizo lako unanipa mitazamo ya watu bila kujibu nilichokuuliza....

Nilichokuuliza hujajibu halafu unaniambia akina Hitler walisema na kufanya nini.Tangu lini Hitler na wenzake wakawa ndiyo wasemaji wa Biblia?

Achana na akina Hitler na wenzake,niambie Ufalme wa Rumi uliisha mwaka 476 kwa historia ipi?

Pia, nieleze Ufalme wa Rumi upo kwenye huo unabii wa Danieli namna ipi....

Maswali rahisi kabisa haya mkuu....
 
Ni mambo meng yanayotokea nikitazama naona ni kama yana ukweli kua ni ya kutengenezwa.
Naomba kufahamishwa undani wa vitu hivi;

1. PROJECT BLUE BEAM, na hii kitu HAARP
Vita vya kisaikolojia, Inasemwa lengo ni kuharibu mfumo mzma wa dini zilizopo na elimu ikiwemo mitaala ilyopo, hapa nafikir hata ile dhana ya binadamu alkua nyani imetoka, na hyo project blue beam ni 3D animations ztakazo onekana ktk anga ya ulmwengu.
Project blue beam niliwahi kuipitia siku nyingi kidogo lakini nimesahau kuihusu nitaipitia tena ili nikiandika niandike mambo yaliyoko kwenye mtiririko mzuri na unaoeleweka....

Kuhusu HAARP ni kwamba hii ni mitambo ya kuharibu hali ya hewa au kupeleka majanga yanayofikiriwa kuwa ni ya kiasili kwenye maeneo wanayoyataka kama tukio la Tsunami.Unapoona mvua hazinyeshi kwa namna inayopaswa jua hiki kitu kinafanya kazi.Nilisema hapa kuwa tunapambana na viumbe ambao wanaijua dunia vizuri kabisa na namna ilivyotengenezwa na wa elimu ya kutisha kuhusu physics and the like na ndiyo maana wanaweza hata kumanipulate weather na mengineyo na yote haya yana sababu maalum..
2. SPACE SHOW,

3. ALLIEN INVASION, Uvamizi wa alliens kutoka nje ya sayar yetu kuja ktk sayar hii, nchi ztatumia silaha zao za maangamiz kupambana na viumbe fake wakutengeneza mwsho itatoka amri watu wakusanye silaha zao na watakua under NWO
Suala la Aliens ni kwamba wanadanganya watu tu kwamba kuna vioumbe watakaotoka nje ya sayari ya dunia na kuja kutuvamia wakati siyo kweli bali viumbe hawa wapo hapa hapa duniani,hili nalo lina lengo maalum....
4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA, Kupatkana kwa world currency na huko kutakua na mfumo wa kielektronik kwa kila kitu.
Hili nalo siyo tukio halisi bali ni la kupangwa...

Jambo hili,mitambo ya HAARP ishu ya Alien invation na mengine mengi yanahusiana na fake Masiah ambaye anaandaliwa kuja kuitawala dunia miaka michache ijayo...

Huyu fake Christ atakapokuja ataondoa majanga yote haya ambayo mimi na wewe tunaamini kwamba ni ya asili na hapo ataonekana kweli ni Christ na watu watamkubali,wale ambao watamkataa wataonekana kama adui na kutakiwa kuuawa....

Wataonekana ni maadui kwasababu wanataka kuirudisha dunia kwenye majanga na maradhi ambayo huyu ameyaondoa,hapo nadhani umepata picha....

Haya ndiyo madhara ya kuamini uongo....
 
hayo mengine yanaumana au ya napishana na siri zilizovijishwa na huyu jamaa. Kama vipi tusiende sana huko naona tutazunguka sana. Mada inazungumzia Vita hivi vilipangwa au vilitokea. Kwa maelezo yako Kuwa Mipango hii walio nyuma yake sio tu wanadamu bali Advanced Beings ambao ni machotara wa kishetani sio maraika wala majini. Naoma uzame zaidi kuthibitisha hilo kwa lugha ya kueleweka kirahisi.
Nimekupa ushahidi wa kuwepo viumbe ambao siyo wanadamu...
Nimekupa ushahidi wa kukuonesha kwamba siyo kweli kwamba binadamu wa sasa ni bora zaidi ya binadamu wa kale...

Kwa maoni yangu ni kwamba kama binadamu wa sasa siyo bora kuliko wa zamani ni wazi kwamba haya maendeleo yanaletwa na vbiumbe wengine ambao siyo binadamu,wewe unaambiwa ni binadamu ili waendelee kukudanganya kuwa matukio kama Tsumani ni matukio ya kiuhalisia wakati siyo kweli....

Lakini zaidi sana nimesema hapa kwamba mipango yote hii ikiwemo na mengine ni kwaajili ya kuiweka dunia katika mazingira ya kuja kutawaliwa na Antichrist ambaye ndiye atakayeonekana kuwa ni mkombozi kutoka kwenye majanga kama hivi vita ambavyo wewe umeviandikia mada.....
 
Siwezi kumpinga(its ridiculous kumpinga) Plato kwa lolote maana yeye ni muhasisi wa uraia (civilization) lakini tu maandiko yake yamepitwa na wakati, yalikua na nafasi kubwa zaidi kabla ya mapinduzi ya viwanda.

Itikadi za kisiasa ya leo zimejikita zaidi kwa (wasomi) wa karne ya 18 na si nyuma ya hapo. Hapa nazungumzia Wilhelm Hegel na wenzake. Democracy ilianzishwa anthen-Greek ambapo wahasisi wengi walichangia kujenga misingi yake lakini Democracy ya leo ina uhusiano chini na 10% ya hiyo.u
U
Kilicho zungumzwa na Albert Pike katika barua yake (#1 post)

Conspiracy (au kula njama ili kupingana/kupindua utawala uliopo). Utawala upi? Utawala wa wananchi (democracy). Raia duniani kote wanaamini wao wana nafasi kubwa ya kuamua mifumo na taratibu zote za kitawala (hii ndio democracy ingawa nchi zingine inaminywa). Lakini limeibuka kundi la watu ambao wameanzisha "secret societies" kama Freemasonry, Skull and Bones na hata kutengeneza mitandao ya kifamilia kama Rothernchild na wengineo.

Na haya makundi kwa agenda binafsi na za siri ndio wamekua nyuma ya vita, machafuko na maanguko mengi ya kiuchumi na kiutawala duniani kote.

Ukweli upo na unapatikana, usije kusema mpaka leo bado tunaangalia vivuli ukutani na sauti kama Plato alivyodai. Maarifa yamekua mengi na yote yanajaribika na kuthibitika, shida inakuja sehemu moja au mbili; ni kiasi gani cha maarifa kinahitajika kwa kila mtu (how well educated)..pia ni elimu ipi inahitajika kila mtu awe nayo
Mkuu unahoja. Jamaa history anataka kuelewa upside-down. Mwaka 1773 ulaya nzima na sehemu mbalimbali ikiwemo russia waliwafurusha vijana wa Ignatius loyola jesuits baada kugundulika wanajiingiza kwenye siasa. Vijana hawa wa vtcn walikuwa na mission maalum ya kuhakikisha serikali zote na demokrasia duniani ivunjwe hata kama inaonekana machoni PA watu bado ipo. Kuna kitu walisema "you chased us like wolves but we will be back like Eagles". moja ya ngome yao mahususi ilikuwa ni bavalia ujerumani. Mwaka 1776 Adam weishaupt huko bavalia anaanzisha order iitwayo illuminati au modern illuminati. Na huko ndiko mipango yote ilipangwa kw Mujibu wa conspiracy. Hata hiyo communism inasemekana Adam weishaupt ndio alimpiga Karl Marx lengo ilikuwa ni control of states ndio maana inasemekana financer wengi wa Russian revolution walikuwa ni affiliated richemen waliokuwa nyuma ya mango huu. Mfano mjerumani aliyekuwa us kuongeza nguvu ili mipango hii ifanikiwe Jacob schiff alichangia 20Mil kwenye revolution, pesa krb zote zilitoka kwa bankers wa Us ambao krb wote ni sehm ya mpngo. Leon trotsky, Nicolai Lenin na Joseph Stalin wote walikuwa Marxists na communists. Kabla ya hapo ulikuwepo utawala wa kifalme czar chini ya Alexander's. Hawa jamaa walikuwa strong na wako kinyume the ajenda hizi waliwafukuza majesuits, walipinga vitu kama league of nations au movement yoyote ya aina hiyo. The only option ni kuisafisha family au ukoo mzima, woote siku moja wakiwa wanapiga picha ya pamoja wakawa assasnated Na China nationalists wakafurushwa na communism inaingia woote wakina Mao tsetung na Deng Xiaoping walijifuza ufaransa na Russia.
US walifanikiwa kipindi Cha Rais Woodrow Wilson alipenyezwa col Edward Mendel house na kuwa kama ubongo wa Rais, ni kipindi hicho federal Reserve act iklipitishwa baada ya fake economic crisis, ikaanzishwa taasisi ambayo kuanzia kiongozi aliyefuata hadi wa kesho wao ndio humchagua, wanarun background sisi watazamaji hatujui kitu. Taasisi hiyo inapokea miongozo kutoka kwa wakuu walionyuma ya mipango. Wakina Bush inasemekana walikuwa members wa skull and bones pale Yale University. Na inasemekana matajiri hawa hawa ndio waliomfinance babu yake na Bush ili baadae vijana wake waje wale Kuku WH.

Kulingana na encyclopedia Judaica inasema na kuwatambua Rothschild kama "financers of the vtcn treasury". Na ushindi wa kwanza wa Rothschild ilikuwa uingereza baada ya kufanya manipulation na kujikuta akiwa ameingiza pesa nyingi kurun treasury ya huko. US mabadiliko mengi yalifanyika mwanzoni mwa miaka ya 1900. Walitengeneza fake economic panic ili wananchi wakubadili mambo mengi na wakina rocker feller wakawa wa kwanza kuweka pesa zao central bank. Kuna vijana walitumwa kutoka ujerumani wakawa matajiri wakubwa us ili kucontaminate real democracy na kuhakikisha system yote inaanguka mikononi wa mpngo maalum.
 
Mkuu unahoja. Jamaa history anataka kuelewa upside-down. Mwaka 1773 ulaya nzima na sehemu mbalimbali ikiwemo russia waliwafurusha vijana wa Ignatius loyola jesuits baada kugundulika wanajiingiza kwenye siasa. Vijana hawa wa vtcn walikuwa na mission maalum ya kuhakikisha serikali zote na demokrasia duniani ivunjwe hata kama inaonekana machoni PA watu bado ipo. Kuna kitu walisema "you chased us like waves but we will be back like Eagles". moja ya ngome yao mahususi ilikuwa ni bavalia ujerumani. Mwaka 1776 Adam weishaupt huko bavalia anaanzisha order iitwayo illuminati au modern illuminati. Na huko ndiko mipango yote ilipangwa kw Mujibu wa conspiracy. Hata hiyo communism inasemekana Adam weishaupt ndio alimpiga Karl Marx lengo ilikuwa ni control of states ndio maana inasemekana financer wengi wa Russian revolution walikuwa ni affiliated richemen waliokuwa nyuma ya mango huu. Mfano mjerumani aliyekuwa us kuongeza nguvu ili mipango hii ifanikiwe Jacob schiff alichangia 20Mil kwenye revolution, pesa krb zote zilitoka kwa bankers wa Us ambao krb wote ni sehm ya mpngo. Leon trotsky, Nicolai Lenin na Joseph Stalin wote walikuwa Marxists na communists. Kabla ya hapo ulikuwepo utawala wa kifalme czar chini ya Alexander's. Hawa jamaa walikuwa strong na wako kinyume the ajenda hizi waliwafukuza majesuits, walipinga vitu kama league of nations au movement yoyote ya aina hiyo. The only option ni kuisafisha family au ukoo mzima, woote siku moja wakiwa wanapiga picha ya pamoja wakawa assasnated Na China nationalists wakafurushwa na communism inaingia woote wakina Mao tsetung na Deng Xiaoping walijifuza ufaransa na Russia.
US walifanikiwa kipindi Cha Rais Woodrow Wilson alipenyezwa col Edward Mendel house na kuwa kama ubongo wa Rais, ni kipindi hicho federal Reserve act iklipitishwa baada ya fake economic crisis, ikaanzishwa taasisi ambayo kuanzia kiongozi aliyefuata hadi wa kesho wao ndio humchagua, wanarun background sisi watazamaji hatujui kitu. Taasisi hiyo inapokea miongozo kutoka kwa wakuu walionyuma ya mipango. Wakina Bush inasemekana walikuwa members wa skull and bones pale Yale University. Na inasemekana matajiri hawa hawa ndio waliomfinance babu yake na Bush ili baadae vijana wake waje wale Kuku WH.

Kulingana na encyclopedia Judaica inasema na kuwatambua Rothschild kama "financers of the vtcn treasury". Na ushindi wa kwanza wa Rothschild ilikuwa uingereza baada ya kufanya manipulation na kujikuta akiwa ameingiza pesa nyingi kurun treasury ya huko. US mabadiliko mengi yalifanyika mwanzoni mwa miaka ya 1900. Walitengeneza fake economic panic ili wananchi wakubadili mambo mengi na wakina rocker feller wakawa wa kwanza kuweka pesa zao central bank. Kuna vijana walitumwa kutoka ujerumani wakawa matajiri wakubwa us ili kucontaminate real democracy na kuhakikisha system yote inaanguka mikononi wa mpngo maalum.
Thank you brother...naona umechimba ndani zaidi kwa marefu na mapana. YOU'RE VERY INFORMED
 
Usichokijua wewe ni kwamba hata wale walipokuwa wakiangalia vivuli walikuwa wakiamini kuwa ukweli unapatikana kwa kiwango ambacho wewe unakiona,ukweli unafichwa kwa namna ya kustaajabisha kabisa na inawezekana wangekuua kama ungewaambia kuwa kuna ukweli mkubwa zaidi nje ya kile walichokuwa wanakijua.....

Historia ya kweli ipo lakini huijui,mapinduzi ya viwanda umeyasoma kwenye makaratasi,leo ukiamua kupindua kidogo tu unachokiamini kinageuka uongo.Ukiambiwa uanze kuhoji ukweli wa hayo ndipo utaanza kujishangaa sababu ya wewe kuwa unaamini jambo hilo....

Binadamu tuna tatizo moja kubwa,huwa tunachagua kuamini jambo na kisha sisi tunalifanya kuwa kweli bila kuruhusu mlango wa kuhoji na kibaya zaidi tuna attach mambo hayo na hisia zetu na inapofika mahali tunapingwa tunaingia kwenye hisia hasi.....

Nilichokisema kumhusu Plato sijakitoa kwenye maelezo yake,hili nimekuambia mwanzo kabisa,hii inamaana kwamba sikukuambia umpinge Plato bali ulipaswa unihoji mimi kutokana na hayo maelezo niliyoandika.....

Tatizo lako ni kwamba unachokiamini umeshakigeuza kuwa kweli wakati kinaweza kupingwa kwa hoja na logic....
Sawa mkubwa, naomba nikuhoji wewe. Tofauti na Plato,umeshamsoma mwana falsafa mwingine mkubwa yupi?
Unafahamu Aristotle alikua mwanafunzi wa Plato lakini anapingana nae kwa zaidi ya 90%?

Unafahamu watu wawili pekee waliopewa cheo cha "Father of knowledge" katika historia ya dunia?

Unafahamu Plato alikua hapendi kujihusisha na siasa (mathalani hapa tuongelea siasa za anga tofauti ambayo jamii zetu hazitambui)?

Wewe una amini nini kuhusu vita, United Nations(na vitengo vyake), IFM na World Bank?
 
Bahati mbaya kabisa ni kwamba kwangu mimi historia unayoiona halisi kwangu ni kinyume na ninayoiona halisi kwako ni fake....

Hatutaweza kuelewana kabisa....

Mkuu,sijui kama unaweza kujua ni wapi panahitajika ushahidi wa kibiblia na wapi hapahitajiki.Nimejenga hoja ambayo ili kuweza kujua na kuelewa ninachokisema ni kwa kutumia logic,na mifano nimekupa ili uweze ku reason na hatimaye kuelewa ninachokisema na uweze kuelewa,wewe unaniambia nikupe ushahidi kutoka kwenye biblia,sasa unataka nikupe mstari wa kwenye biblia unaozungumzia mpira wa miguu au kitu gani?

Niliposema kuhusu vipaji vya soka kupotea kabisa sikuwa namaaniosha kwamba hakuna hata mmoja ambaye ana kipaji kizuri cha soka,hapana bali nazungumzia majority,hata hili nikueleze mkuu?

Unaweza kuthibitiosha kuwa huyo dogo Dembele kipaji chake hakikuwahi kuwepo duniani?
Ukiisha iita historia fake maana yake uiite bibilia pia fake. Kisha unakubaliana na uwepo wa utawala wa Babeli chini ya nebuchadnezer, Umedi na uajemi chini ya koreshi ambaye Mungu alimtaja hadi jina miaka 150 kabla hajazaliwa (isaya 45:1), Inabidi uite na archeolgical findings huko middle east na iraq ni fake. Katikati ya Roman Empire Alizaliwa yesu. Evidence Luke 2:1 Kaisali Agustus alipotoa agizo sensa ifanyike kote duniani enzi hizo palipokuwa chini ya Roma ikiwepo na Middle east. Ukisema Ni uongo itabidi useme pia Kama baada ya Babylon, Akaja Medo-persia, Akaja Greece chini ya alexander ni Ufalme gani uliofuata kama Mungu alitabiri kupitia daniel na falme zilikuwa sequential?

Unataka kujua kama Roman empire Ilikufa lini kama sio 476 BC hili sio suala la dini wala kiroho, Hata ukienda Itali au Constantinopole (ISTANBUL) kuna Museam Utakuta yote hayo kama utaona Uvivu kwenda roma. Kabla haijafa Iligawanyika vipande Viwili Mashariki Byzantine Empire na Magharibi Au western roman empire (Ndio maana daniel 2, ufalme wa chuma ulikuwa upo kwenye miguu miwili). Ukiona Shida sana Watafute wananzuoni wa kiislam wakwambie jinsi walivyopambana na Byzantine empire miaka ya 600. Ni rahisi kujua miaka Mia au miambili nyuma kulikua na nini. Expand your research chief wenda ukawa unaresearch vitu ambavyo havipo.
Kitu kingine unaomba Ushahidi wa Vitu ambavyo tayari unasema havipo? Njia pekee ya Kuamini vilikuwepo iliyobaki ni kuvisit physically eneousika ukajionee archeological remainings wenda ukaamini. Ila ukweli Roman empire tena Western roman empire ilianguka rasmi AUGUST 476 baada ya kumuangusha Romulus Augustus akiangushwa na Odoacer Mheluli kutoka sasa hivi ujerumani. Wewe unapopinga naomba uniambie ukweli ni upi chief. Hapo utakuwa umefanya uungwana uliotukuka. Pia kama utakubali Uwepo wa falme tatu za mwanzo ukakataa ya nne ambayo haikutajwa jina ili ujumbe uexist hadi leo maana bibilia inasema Hawataondoka wataendelea kuwepo hadi Mwish/Hukumu (Soma detailed story daniel 7).

206px-RomulusAugustus.jpg

Hapo juu ni sarafu ya Romulus Augustus aliyefurushwa August 476 na ndio ukawa mwisho wa roman empire na ulaya ikagawanyika vipande 10 kama sanamu ile inavyoonyesha, videole 10 vilivyo mchanganyiko wa udogo na chuma au pembe zile kumi za kwenye Yule mnyama wa Daniel 7, na Majina yote nizo falme kumi yapo ukitaka nakuwekea, na ukienda nchi hizo sasa mfano UK (angro-saxon) au Portigal (Suevi) utaelezwa kila kitu.
 
Thank you brother...naona umechimba ndani zaidi kwa marefu na mapana. YOU'RE VERY INFORMED
Pamoja mkuu. Haya mambo yapo tu kwenye vitabu tatizo ni ufuatiliaji, na yataendelea kuaminika hivyo hadi yatakapokuja kuwa proven wrong beyond doubt.
 
Nimekupa ushahidi wa kuwepo viumbe ambao siyo wanadamu...
Nimekupa ushahidi wa kukuonesha kwamba siyo kweli kwamba binadamu wa sasa ni bora zaidi ya binadamu wa kale...

Kwa maoni yangu ni kwamba kama binadamu wa sasa siyo bora kuliko wa zamani ni wazi kwamba haya maendeleo yanaletwa na vbiumbe wengine ambao siyo binadamu,wewe unaambiwa ni binadamu ili waendelee kukudanganya kuwa matukio kama Tsumani ni matukio ya kiuhalisia wakati siyo kweli....

Lakini zaidi sana nimesema hapa kwamba mipango yote hii ikiwemo na mengine ni kwaajili ya kuiweka dunia katika mazingira ya kuja kutawaliwa na Antichrist ambaye ndiye atakayeonekana kuwa ni mkombozi kutoka kwenye majanga kama hivi vita ambavyo wewe umeviandikia mada.....
Haujatoa ushahidi wowote usio na shaka mkuu hadi sasa.
Wanephili; Hata kama walikuwepo Kabla ya Gharika they were all wiped out na wakapona watu (Pure) wanane tu.
Wakaanan: Hawa ni wajukuu wa Nuhu walikuwepo baada ya gharika, Hata jamaa walivyoleta habari za uongo kuwa wao ni kama panzi kwao. Yoshua aliingia Kaanani, akwapiga, wakaoana hakukua na Mtu wa hiyo ratio. SO huo pia sio sahihi. Yaani kwa akili ndogo tu panzi anaweza kufanya mapenzi na mwanadamu?
GOLIATH: Kuwa mkubwa goliath hakumfanyi kuwa Chotara wa kishetani. Wafilisti waliishi GAZA miaka yote nenda gaza uniletee vitu kama hivyo. Pili Nilikwambia Juzi ITV kaonyeshwa jamaa ni extra Big haimfanyi kuwa nephili ni matokeo ya kibiolojia ndio maana congo kuna mbilikimo wa kutosha. Pili kama walikuwa machotara kwa nini wao walikuwa wazi mitaani hao wako wanajificha na hajawahikutokea Satanic hybrid wa kisukuma au wakizalamo hata mmoja twende tukamshangae maana goliath aliishi mitaani kama wanadamu wengine,
Phil Sneider: Kaona yeye,kasimulia yeye, mazingira yote ni uzushi,Sio usahisi ule ndio maana hata wewe unatilia shaka baadhi ya sentesi zake na umegome kuziendorse.
Hadi sasa Hujatoa ushahidi wowote mkuu.

Kama Unasema Binadamu wa sasa ni Scrap yaani ni duni kupindukia, Ni vizuri pia ukaonyesha Decaying rate ya Ubora wa Mwanadamu Bibliacally hadi useme hao wa sasa imebidi wasaidiwe na ALIENS katika design na developments ya latest techonlogies. Mwishowe utasema hata Max mero na yeye hybrid haiwezekani mtu akaja na wazo la kuunganisha watu wengi hivi hadi wengine wamekwa addicted na jf. Kama unadhani kuwa huyu wa sasa ni duni, Basi kwa uduni huohuo wametuletea hii technology na majina yapo. Nilikuuliza kwa nini Shetani atumie machotara wakati anamaraika wenye akili zaidi ya hao machotara wamezagaa tu. Mfano hayo mapepo yanayowasumbua watu kwa nini yasitengeneze hizo silaa. Tutafakari kidogo mkuu wenda kuna watu wanataka kututoa kwenye mistari ya reality.
Kuhusu antichrist Yupo sio tu sasa, alikuwepo tangu enzi za wakina paul (2thesaolonian 2:1-10)sema alikuwa hajafuniliwa rasmi, Ndio maana yesu akasema hadi mtakapoliona Chukizo la Uharibifu (Abomination of dissolution) Mathayo 24:15 lililotabiriwa na nabii DANIEL 9:27 Yote hayo yanatokea before rupture (Nimegundua pia unaamini antichrist atakuja pakiwa hakuna waaminifu wa Mungu, kama ni hivyo basi Shetani na mpinga kristo wake watakuwa hawana akili maana dunia nzima ni waovu sasa anampinga kristo wa ili ilewje? weka vizuri research zako chief hapo hapahitaji mjadala mpana)
 
Back
Top Bottom