WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

Mseza mkulu na eiyer,mie naomba ufafanuzi kuhusu pembe kumi katika kichwa cha mnyama na kung'oka tatu na kuibuka pembe moja ndogo yenye kunena,je hayo mataifa kumi ni yepi na hayo saba yaliyobaki katika dunia ya leo ni akina nani?
Na pia naomba kueleweshwa kwa nini marekani inahusishwa na unabii wa siku za mwisho ilhali wakati wa mipango hiyo haikuwa superpower?
Ndugu mseza mkulu,huwa napata hisia chanya kuhusu existence ya hawa machotara ya shetani na binadamu kutokana na hoja za eiyer kwa sababu kuu moja. Ukiangalia mtiririko wa huo mpango wao wa kuitawala dunia haionyeshi unufaikaji wa hawa viongozi wa dunia (katika hali ya kiuanadamu) kutokana na end point ya huu mpango,lakini kwanini wanashiriki kama sio kweli nao ni sehemu ya hiyo jamii inayopingana na Mungu? Hii inanipa wasiwasi kama wao ni sehemu ya hawa machotara ndio maana mwanzo 6 Mungu anasema hatawaangamiza hadi pale watakapouona uharibifu waliouleta duniani.
 
Umekuwa ukisema tu jambo fulani kibiblia linatia mashaka lakini tukija kwenye hiyo biblia mara zote imekula kwako kwenye mjadala huu,sijaona mtazamo wako hata mmoja ambao umekuja kuwa sahihi kwenye mjadala huu.Kwasababu hiyo hata jambo hili nalitilia mashaka kwa asilimia nyingi tu.....

Si hivyo tu,bali hata kwenye Biblia yenyewe kuna ushahidi pia kuwa Suleiman alikuwa mweusi,Yesu alikuwa mweusi n.k...

Kuhusu Wabantu kuwa ni Waisraeli hili nalo kuna maeneo kwenye Biblia linaonesha hivyo....

Mkuu,hili halihusiano moja kwa moja na mada yako,lakini pia ni kweli nimeshajadili jambo hili hapa lakini kwenye mada hizo hukuwepo,nilijadiliana na watu wengine na mkuu Wickama atakuwa anakumbuka sana jambo hili vizuri sana maana hadi Biblia tuliijadili kule na pia ulikuwepo ushahidi kuonesha hawa wanaoitwa Waisraeli leo siyo wenyewe.....

Sijaona sababu ya kulijadili hili sasa kwakuwa linahitaji maandalizi,tumalize hili la mada yako kisha tutajadili siku nyingine suala hili....
Mkuu Eiyer, za siku tele nakuona bado unakomaa na mada hahahaah....
 
It's all true and is about new world order, religion unification for sake of fake peace and unity!! And roman catholism under papacy are match maker and the master mind! But the Bible warns about this,through the Revelation,,!!
 
Binafsi ninaamini vita vinavyoendelea vinamahusiano makubwa sana maisha ya kiroho ya wakazi wadunia na hatima ya dunia,,kweli vs truth , uovu(dhambi) vs mema!
 
Hili nimelifuatilia kidogo mkuu na ninachotaka kusema ni kwamba kwa namna ndogo nijuavyo ni kwamba vita hii itatokea muda mfupi baada ya miaka 1000 ya Yesu kutawala dunia wakati shetani atakuiwa kifungoni na nabii wa uongo atakuwa kwenye ziwa la moto....

Hiki bndicho ambacho nimekijua kwa uchache japokuwa kuna wengine wana mitazamo tofauti tofauti.....

Ieleweka kwamba vita hii kwa namna nijuavyo mimi siyo baina ya binadamu na binadamu bali ni kati ya wanadamu,Aliens,Nephilims na Jeshi la Mungu.....

Hiki ndicho ninachokijua kwa ufupi sana mkuu na niko tayari kukosolewa maana hapa sijatafiti sana mkuu....
Mimi kuna kitabu Fulani nilisoma kinasema ni vita kati ya binadamu wafuasi wa mpinga kristo ambao ni malaika wa kuzimu na malaika wa mbinguni na vitapigana muda wa siku moja tu katika bonde la Megiddo sasa sikuelewa uwezo wa binadamu kupigana na viumbe wa ajabu utakuwaje na huyu mpinga kristo ni binadamu au? Na atakuwepo lini
 
Sawa mkubwa, naomba nikuhoji wewe. Tofauti na Plato,umeshamsoma mwana falsafa mwingine mkubwa yupi?
Unafahamu Aristotle alikua mwanafunzi wa Plato lakini anapingana nae kwa zaidi ya 90%?
Ukisoma post yangu ya kwanza utapata jibu la hili swali lako....

Pia,ungekuwa unawafuatilia hawa "watu" ungeelewa hicho unachokiita "kupingana" kwa Aristotle na mwalimu wake kuwa ni danganya toto tu,ni kama vile unavyoamini kuwa kuna vita na kutokuelewana kati ya Urusi na Marekani....
Unafahamu watu wawili pekee waliopewa cheo cha "Father of knowledge" katika historia ya dunia?
Sijui,lakini pia sioni umuhimu wa kujua hili kwasababu najua sana hii mipango na lengo lake....

Ni sawa na unioulize kama nawajua matajir watano wa dunia wakati nijuavyo mimi huo ni uongo tu....
Unafahamu Plato alikua hapendi kujihusisha na siasa (mathalani hapa tuongelea siasa za anga tofauti ambayo jamii zetu hazitambui)?
Hata kama nikijua,hili sijaona lina umuhimu gani kwangu kwasababu ambazo nimeshakueleza hapo juu....

This world is full of lies mkuu....
Wewe una amini nini kuhusu vita, United Nations(na vitengo vyake), IFM na World Bank?
Soma mada utapata jibu la hili swali lako mkuu....
 
Ukiisha iita historia fake maana yake uiite bibilia pia fake.
Kabla hujaniambia niseme hiki unachonitaka niseme unachopaswa ni kuunganisha ukisemacho na biblical prophecies ndipo uniambie haya.lakini unapodai tu haya madai yako bila kufanya ninachokutaka ufanye ni kupoteza tu muda....
Kisha unakubaliana na uwepo wa utawala wa Babeli chini ya nebuchadnezer, Umedi na uajemi chini ya koreshi ambaye Mungu alimtaja hadi jina miaka 150 kabla hajazaliwa (isaya 45:1), Inabidi uite na archeolgical findings huko middle east na iraq ni fake.
Unatoa madai bila hata kusema ni kivipi unasema hivyo....

Huo mtiririko wa unabii wa Biblia kwenye Danieli 2 unahusiana nini na unachokisema hapa?
Katikati ya Roman Empire Alizaliwa yesu. Evidence Luke 2:1 Kaisali Agustus alipotoa agizo sensa ifanyike kote duniani enzi hizo palipokuwa chini ya Roma ikiwepo na Middle east.
Hii sensa ilifanyika dunia nzima mkuu?

Mbona unaongeza chumvi sana?

Pia,haya nayo yanahusiana nini na unachokisema?
Ukisema Ni uongo itabidi useme pia Kama baada ya Babylon, Akaja Medo-persia, Akaja Greece chini ya alexander ni Ufalme gani uliofuata kama Mungu alitabiri kupitia daniel na falme zilikuwa sequential?
Hakuna mahali ambapo Mungu alisema kutakuwa na tofauti ipi ya miaka baina ya ufalme mmoja na mwingine...

Kama kutakuwa na tofauti ya wiki moja au hakutakuwa na tofauti hata ya siku moja baina ya ufalme A na ufalme B hii haimaanishi pia itakuwa hivyo baina ya ufalme B na C au C na D,hili ndilo tatizo kubwa sana kwa ninyi ambao mnauhusisha unabii huu na Rumi....
Unataka kujua kama Roman empire Ilikufa lini kama sio 476 BC hili sio suala la dini wala kiroho, Hata ukienda Itali au Constantinopole (ISTANBUL) kuna Museam Utakuta yote hayo kama utaona Uvivu kwenda roma. Kabla haijafa Iligawanyika vipande Viwili Mashariki Byzantine Empire na Magharibi Au western roman empire (Ndio maana daniel 2, ufalme wa chuma ulikuwa upo kwenye miguu miwili). Ukiona Shida sana Watafute wananzuoni wa kiislam wakwambie jinsi walivyopambana na Byzantine empire miaka ya 600. Ni rahisi kujua miaka Mia au miambili nyuma kulikua na nini. Expand your research chief wenda ukawa unaresearch vitu ambavyo havipo.
Kitu kingine unaomba Ushahidi wa Vitu ambavyo tayari unasema havipo? Njia pekee ya Kuamini vilikuwepo iliyobaki ni kuvisit physically eneousika ukajionee archeological remainings wenda ukaamini. Ila ukweli Roman empire tena Western roman empire ilianguka rasmi AUGUST 476 baada ya kumuangusha Romulus Augustus akiangushwa na Odoacer Mheluli kutoka sasa hivi ujerumani. Wewe unapopinga naomba uniambie ukweli ni upi chief. Hapo utakuwa umefanya uungwana uliotukuka. Pia kama utakubali Uwepo wa falme tatu za mwanzo ukakataa ya nne ambayo haikutajwa jina ili ujumbe uexist hadi leo maana bibilia inasema Hawataondoka wataendelea kuwepo hadi Mwish/Hukumu (Soma detailed story daniel 7).

206px-RomulusAugustus.jpg

Hapo juu ni sarafu ya Romulus Augustus aliyefurushwa August 476 na ndio ukawa mwisho wa roman empire na ulaya ikagawanyika vipande 10 kama sanamu ile inavyoonyesha, videole 10 vilivyo mchanganyiko wa udogo na chuma au pembe zile kumi za kwenye Yule mnyama wa Daniel 7, na Majina yote nizo falme kumi yapo ukitaka nakuwekea, na ukienda nchi hizo sasa mfano UK (angro-saxon) au Portigal (Suevi) utaelezwa kila kitu.
Moja:Unapaswa uwe makini sana kwenye maswali ninayokuuliza kwasababu sikuulizi kwasababu sijui bali nakuuliza ili nipate ufafanuzi kwako kuhusu suala husika ili nione kama unatumia mantiki au sivyo hivyo usidhani kwamba nauliza kitu nisichokijua...

Mbili:Ishu ya kuhusishwa kwa ufalme wa nne kwenye sanamu ya Danieli 2 na miguu miwili ni assumtion tu na jambo hilo halipo kwenye maandiko.Mungu anapotaka kukitolea kitu maelezo huwa anakuwa wazi,tazama Danieli 2:42,hivyo kwasababu Mungu hakutaja suala la miguu kuhusiana na ufalme ule wa nne basi hili suala la wewe na wenzako mnaokubaliana na hiyo fasiri yenu ya unabii siyo sahihi ni asumption yenu tu na tunawaachia ninyi wenyewe....

Tatu:Kosa kubwa kabisa ambalo huwa mnalifanya wewe na hao wanaokubaliana na hii fasiri ya unabii wenu wa Danieli 7 na 2 ni kudai kwamba Rumi ilianguka mwaka 476 wakati ufalme ulioanguka mwaka huo ni Rumi ya Magharibi tu.Rumi ya mashariki haikuanguka mwaka huo na iliendelea hadi karne ya 13 huko ikaja kuangushwa na Ottoman Empire kule Istanbul Constantinople] hivyo madai yenu hayapo sahihi...

Rumi ya mashariki ilianguka mwaka 1453 soma hapa Byzantine Empire - Wikipedia

Nne:Unabii wa Danieli 7 kuhusu mnyama wa nne na pembe zake unazungumza kinyume na usemacho.Malaika alipokuwa akimpa ufafanuzi Danieli juu ya pembe za mnyama wa nne alisema "hao ni wafalme watakaoinuka kwenye ufalme huo" hakusema "hizo ni falme" zitakazoinuka katika ufalme huo kwa sababu unaposema pembe zile ni nchi unakuwa unamaanisha hizo ni mamlaka ambazo kiunabii ni falme na hazihusiano kabisa na ufalme husika wakati siyo kweli kama unabii unavyosema....

Danieli 7:24

24 Na habari za zile pembe kumi, katika ufalme huo wataondoka wafalme kumi; na mwingine ataondoka baada ya hao; naye atakuwa mbali na hao wa kwanza; naye atawashusha wafalme watatu.


Kwa context ya ufafanuzi huo wa unabii kutoka kwa malaika ni kwamba hao wafalme kumi ndiyo watakuwa wanaongoza ufalme huo wa nne na mmoja ataibuka ambaye atakuwa tofauti na wengine ambapo atawaangusha wafalme watatu na siyo kuobndoa falme tatu kama tafsiri yako inavyosema,kwa maana hii ni kwamba haupo sahihi kabisa mkuu....
 
Tangu niliposoma na kujua alichokuwa anakimaanisha Plato kwenye kitabu chake cha Republic hasa kwenye story yake ya Allegory of the Cave ndiyo nilianza kuelewa kabisa hasa tunaishi kwenye dunia ya namna ipi....

Kimsingi,watu wote ambao leo tunawachukulia kama "majiniaz" walipata ujuzi waliokuwa nao kutoka mahali fulani,Mesopotamia huko.Pythagoras,Socrates,Galileo,Alexander the Great,Plato na hadi hawa akina Sir Francis Beacon na John Dee ni watu ambao walipata elimu hizi tofauti kabisa na wanafunzi wengine waliikuwa kwenye madarasa ya watu hawa....

Socrates aliwahi kumueleza mwanafunzi wake mmoja aitwaye Plato kwenye madarasa yao kwamba,elimu anayowapa ni elimu iliyoko kwenye makundi mawili.Kunsi la kwanza ni lile la kawaida ambalo wanapewa elimu ya kawaida kuhusu mafuzo waliyokuwa wanapewa na kundi la pili ni lile ambalo linapewa elimu maalum na nyeti ambayo hakupaswa kupewa mtu yoyote na ni elimu maalum ambayo ndiyo lengo kuu la wao kufundishwa....

Kwenye darasa maalum ambalo walipewa elimu maalum ambayo Socrates alimueleza Plato,miongopni mwa wanafunzi waliokuwemo ni Plato mwenyewe.Utaratiobu huu ambao Plato alielezwa na mwalimu wake ulikuwepo tangu Socrates mwenyewe alipopata ujuzi huo kutoka kwa Pythagoras na Plato aliendelea kuwa nao na hata wanafunzi wake waliofuatioa kama akina Alexander The Great waliendelea nao....

Hapa sasa dipo tunakuja kupata maana mbili za hadithi ya Allegory of the Cave inayopatikana kwenye kitabu cha Plato kiitwacho The Republic.....

Hadithi ile inazungumzia watu waliokuwa kwenye pango ambao walikuwa wamefungwa kwa minyororo kwenye miguu yao wakati huo huo nyuma yao kukiwa kuna mto unaowaka.Watu hawa waliishi kwenye pango hili kwa miaka mingi sana,wakiwa wameelekezea nyuso zao kwenye ukuta wa pango lile wakitazama vivuli vyao ukutani na waliamini ule ndiyo ulikuwa uhalisia [the dancing shadow became their reality]....

Kwao maisha na dunia ilikuwa ni ile waliyokuwa wakiiona kwenye pango lile.vivuli ndiyo mazingira yaliyowazunguka na huo ulikuwa ni ukweli mkubwa sana kwao....

Uhalisia ule ambao ulikuwa wazi kabisa kwenye macho yao ndiyo ulikuwa ukweli.Haikuwa rahisi kabisa kuja kumueleza mmoja wao au wote kwamba ule hukuwa uhalisia kwakuwa walikuwa wakiona kwa macho yao.Waliamini kila walichokuwa wakikiangalia kilikuwa ndicho halisi...

Bahati mbaya kabisa ni kwamba hawakujua kwamba uhalisia ule ulikuwa umetengenezwa tu,haukuwa halisi.Waliamini kila walichokuwa wanakiona ni halisi.Waliamini hakuna anayeweza kutengeneza kitu halafu kikaonekana kuwa halisi hadi siku mmoja wao alipokata mnyororo na kutoka nje na kuuona uhalisia halisi na kurudi ndani kuwafungua wenzake minyororo ile na wao kuja kuuona uhalisia ambao hata kwa bunduki wasingekubali kuwa upo kama mtu angeenda kuwaeleza hili.....

Ukiangalia au ukitaka kujua maana ya hadithihii ndipo utakuja kuona kile ambacho kinaendelea duniani.Plato aliwaeleza maana halisi ya hadithi hii watu wachache sana wanaitwa "the elect ones",watu ambao walikuwa wakielezwa haya kwa sababu maalaum ili waje kutawala dunia....

Kinachoendelea duniani leo sicho kilichopo kwenye uhalisia,siyo uhalisia bali ni uhalisia uliotengenezwa tu.Wengi na nadhani hata wewe unaamini kuna ugonjwa unaosababishwa na kirusi fulani kinachoitwa HIV,unaamini kuna ugonjwa unoitwa EBOLA unaoua kikatili kabisa,unaamini kuna mafua ya ndege,unaamini kuna watu wanaotishia maisha ya watu wanaoitwa magaidi,unaamini rais wa Marekani anachaguliwa na wapiga kura kidemokrasia,unaamini kuna uadui kati ya Marekani,China na Urusi,unaamini dunia ina watu wengi sana hivyo inaweza kuja kuleta matatizo hapo baadaye hivyo tunapaswa kutumia uzazi wa mpango.Unaamini kuwa dunia ina mabilioni ya miaka,Unaamini kuwa viwanda vinaharibu hali ya hewa na kuzababisha mvua kutonyesha na kuongeza joto duniani,fake relity ziko nyingi sana....

Tunaishi kwenye pango,vivuli vilivyotengenezwa na moto ndiyo uhalisia wetu,giza lililoko ndani ya pango ndiyo ukweli wetu.Minyoror inatufanya tuamini hivyo kwakuwa hatuwezi kutoka humo....

Sasa basi pango ni nini,minyororo ni nini?Moto na vivuli ni nini? Maana za haya yote utaweza kupata angalau clue kama utanisoma hapo juu kwa makini.Hapa ndipo tunapokuja kuamini kwamba vita vinasababishwa kwasababu tunazoambiwa,lakini kuna sababu za kweli ambazo hatuambiwi....

Tunaishi kwenye dunia ambayo ukipata hata nukta kidogo ya ukweli utaogopa....

Nimesema haya ili kukufanya mkuu MSEZA MKULU uangalie tena mara mbili sababu za vita ulivyovisema hapo kwenye mada yako ili uone kama hazina chumvi au uongo.....

Ashante......
mkuu nitakitafuta hicho kitabu kwa kuwa leo umeni jibia swali langu la muda mrefu mi mwenyewe nilikuwa najiuliza maswali kuhusiana na uongozi wa marekani kwanini kila siku ni democratic,republican kila siku vyama hivi vinajirudia nahakuna siku hata moja kilichowahi kuongoza mara mbili kati ya vyama vyote hivi leo kidogo nimeelewa.ubarikiwe
 
Haujatoa ushahidi wowote usio na shaka mkuu hadi sasa.
Wanephili; Hata kama walikuwepo Kabla ya Gharika they were all wiped out na wakapona watu (Pure) wanane tu.
Wakaanan: Hawa ni wajukuu wa Nuhu walikuwepo baada ya gharika, Hata jamaa walivyoleta habari za uongo kuwa wao ni kama panzi kwao. Yoshua aliingia Kaanani, akwapiga, wakaoana hakukua na Mtu wa hiyo ratio. SO huo pia sio sahihi. Yaani kwa akili ndogo tu panzi anaweza kufanya mapenzi na mwanadamu?
Sikukupa mstari kutoka kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia kukuonesha hili na ukashindwa vibaya sana kutetea hoja yako?
GOLIATH: Kuwa mkubwa goliath hakumfanyi kuwa Chotara wa kishetani. Wafilisti waliishi GAZA miaka yote nenda gaza uniletee vitu kama hivyo. Pili Nilikwambia Juzi ITV kaonyeshwa jamaa ni extra Big haimfanyi kuwa nephili ni matokeo ya kibiolojia ndio maana congo kuna mbilikimo wa kutosha. Pili kama walikuwa machotara kwa nini wao walikuwa wazi mitaani hao wako wanajificha na hajawahikutokea Satanic hybrid wa kisukuma au wakizalamo hata mmoja twende tukamshangae maana goliath aliishi mitaani kama wanadamu wengine,
Aliyesema kuwa ukubwa wa Goliati ndiyo sababu ya mimi kusema ni Mnephil ni nani?
Phil Sneider: Kaona yeye,kasimulia yeye, mazingira yote ni uzushi,Sio usahisi ule ndio maana hata wewe unatilia shaka baadhi ya sentesi zake na umegome kuziendorse.
Hadi sasa Hujatoa ushahidi wowote mkuu.
Moja:Sikumleta hapa Phill Schneider kwaajili ya kuthibitisha Wanefili,hii inaonesha ni namna gani hauko makini na ninachoandika hapa mkuu...

Pili:Nilisema ni kwenye maelezo yapi sikubaliani naye na kwaanini na siyo kwasababu unayoileta hapa,acha kuzusha mkuu,sema tu ukweli hata kama hutaki...

Tatu:Ni uongo mkubwa kusema mazingira yote ni uzishi wakati hujafanikiwa hata kuonesha angalau jambo moja tu ambalo ni uongo,tangu umeanza kumjadili huyu jamaa umekuwa ukirusha shutuma kuwa ni uzushi na uongo bila hata kujenga hoja ya unachosema,hii ni mbaya sana mkuu...
Kama Unasema Binadamu wa sasa ni Scrap yaani ni duni kupindukia, Ni vizuri pia ukaonyesha Decaying rate ya Ubora wa Mwanadamu Bibliacally hadi useme hao wa sasa imebidi wasaidiwe na ALIENS katika design na developments ya latest techonlogies. Mwishowe utasema hata Max mero na yeye hybrid haiwezekani mtu akaja na wazo la kuunganisha watu wengi hivi hadi wengine wamekwa addicted na jf. Kama unadhani kuwa huyu wa sasa ni duni, Basi kwa uduni huohuo wametuletea hii technology na majina yapo. Nilikuuliza kwa nini Shetani atumie machotara wakati anamaraika wenye akili zaidi ya hao machotara wamezagaa tu. Mfano hayo mapepo yanayowasumbua watu kwa nini yasitengeneze hizo silaa. Tutafakari kidogo mkuu wenda kuna watu wanataka kututoa kwenye mistari ya reality.
Ujue wakati mwingine hadi napata uvivu kuandika na kujibu maana ni kama sijui husomi ninachoandika au inakuwaje...

Nilikuonesha kwa kujenga hoja namna ambayo binadamu wa kwanza na huyu wa sasa wana tofauti kubwa sana ya kiuwezo,lengo na kukuonesha hili ni kutaka uone vile ambavyo umekubali uongo wa kwamba dunia sasa ina maendeleo makubwa na maendeleo haya yameletwa na mwanadamu tu.Nikakuuliza kwamba,kama Adamu,kwa namna nilivyokuonesha,alikuwa bora mara millioni zaidi ya mimi na wewe,alishindwaje kufikia haya maendeleo halafu wewe ambaye ni dhaifu zaidi uyafikie? Hili nilikuwa nataka tu uone uongo uliopo ili uanze kufikiri zaidi...

Hapo sijazungumzia mambo mengine ambayo nayo nilikuonesha kukufabnya uelewe ninachokuambia....

Pia,pamoja na kusema yote hayo sikuwa na maana kwamba binadamu amekuwa kama kondoo asiyeweza kitu,jambo hili nimekuambia huko nyuma lakini sijui ni kwanini huelewi na unakuja kusema hapa kwamba naweza hata kumsema @Maxence Mello kuwa ni hybrid kwasababu tu amebuni hii forum.Hii niseme kabisa kutoka ndani ya moyo wangu kwamba imenisikitisha sana maana kama maelezo yote yale ndiyo unaelewa hiki siyo siri napata wasiwasi kama hata kuna ambacho unacho gain hapa...

Ninachotaka uelewe na wengine wakielewe ni kwamba,binadamu ana akili lakini siyo ya namna hii na haya maendeleo yote,kuna msaada kutoka nje ya mwanadamu huyu....
Kuhusu antichrist Yupo sio tu sasa, alikuwepo tangu enzi za wakina paul (2thesaolonian 2:1-10)sema alikuwa hajafuniliwa rasmi, Ndio maana yesu akasema hadi mtakapoliona Chukizo la Uharibifu (Abomination of dissolution) Mathayo 24:15 lililotabiriwa na nabii DANIEL 9:27 Yote hayo yanatokea before rupture (Nimegundua pia unaamini antichrist atakuja pakiwa hakuna waaminifu wa Mungu, kama ni hivyo basi Shetani na mpinga kristo wake watakuwa hawana akili maana dunia nzima ni waovu sasa anampinga kristo wa ili ilewje? weka vizuri research zako chief hapo hapahitaji mjadala mpana)
Mkuu,sasa hakuna Mpinga Kristo bali kuna roho ya Mpinga Kristo ambayo inafanya kazi ndani ya watu.Mpinga Kristo kama kiongozi mkuu wa dunia hayupo kwa sasa...

Hujanielewa kuhusu waaminifu wa Mungu na kuwepo kwao wakati wa Mpinga Kristo,hili tuliache kwanza,lakini ninachotaka kukueleza ni kwamba ulichodhania kuhusu ninachoamini juu ya hili siyo sahihi....
 
mkuu nitakitafuta hicho kitabu kwa kuwa leo umeni jibia swali langu la muda mrefu mi mwenyewe nilikuwa najiuliza maswali kuhusiana na uongozi wa marekani kwanini kila siku ni democratic,republican kila siku vyama hivi vinajirudia nahakuna siku hata moja kilichowahi kuongoza mara mbili kati ya vyama vyote hivi leo kidogo nimeelewa.ubarikiwe
Karibu sana mkuu.....

Tuendelee kujiuliza tu maswali tutapata majibu mengi sana mkuu.....
 
Hii vita ya tatu unachoongea ni uongo mtupu unaoutaja katika barua yako
Uongo ni kusema jambo fulani ni uongo bila kusema ni uongo kwa namna gani....

By the way,mtoa mada hajaandika barua yoyote ile,kusema "barua yako" ni kumzushia uongo tu na hili linakufanya uendelee kuonekana muongo na mzushi....
 
Mimi kuna kitabu Fulani nilisoma kinasema ni vita kati ya binadamu wafuasi wa mpinga kristo ambao ni malaika wa kuzimu na malaika wa mbinguni na vitapigana muda wa siku moja tu katika bonde la Megiddo sasa sikuelewa uwezo wa binadamu kupigana na viumbe wa ajabu utakuwaje na huyu mpinga kristo ni binadamu au? Na atakuwepo lini
Niliwahi kusema kwamba hizi silaha ambazo zinaundwa kwa sayansi ya kutisha kabisa siyo kwaajili ya mwanadamu,yaani siyo kwaajili ya kumdhibiti mwanadamu maana hata sasa anadhibitiwa tu.....

Kwa namna ninavyoona huyu Mpinga Kristo hatakuwa mwanadamu kamili kama mimi na wewe,hili naendelea kulifanyia utafiti mkuu....

Kipindi ambacho atakuwepo kimeelezwa kwenye biblia,ni wewe na mimi kusoma unabii huo na kufuatilia matukio ya duniani tuitajua....
 
Mseza mkulu na eiyer,mie naomba ufafanuzi kuhusu pembe kumi katika kichwa cha mnyama na kung'oka tatu na kuibuka pembe moja ndogo yenye kunena,je hayo mataifa kumi ni yepi na hayo saba yaliyobaki katika dunia ya leo ni akina nani?
Na pia naomba kueleweshwa kwa nini marekani inahusishwa na unabii wa siku za mwisho ilhali wakati wa mipango hiyo haikuwa superpower?
Ndugu mseza mkulu,huwa napata hisia chanya kuhusu existence ya hawa machotara ya shetani na binadamu kutokana na hoja za eiyer kwa sababu kuu moja. Ukiangalia mtiririko wa huo mpango wao wa kuitawala dunia haionyeshi unufaikaji wa hawa viongozi wa dunia (katika hali ya kiuanadamu) kutokana na end point ya huu mpango,lakini kwanini wanashiriki kama sio kweli nao ni sehemu ya hiyo jamii inayopingana na Mungu?
Mkuu,kwa mujibu wa ninavyojua mimi zile pembe kumi siyo mataifa kumi maana hiyo iko kinyume na unabii wenyewe,hili nimelielezea kwenye post moja hapo juu....

Sina uhakika kama Marekani ipo kwenye unabii wa siku za mwisho japokuwa wapo wanaoihusisha na unabii wa nabii wa uongo,kuna rafiki yangu mmoja anamsimamo kama huu na kila siku tukipata muda huwa tunalijadili lakini kadiri siku zinavyoenda anaonekana kuanza kuuona uongo wa jambo hilo....

Marekani haiwezi kuwa nabii wa uongo maana masuala ya kinabii yana uhusiano na masuala ya kiroho na Marekani ni nchi na hivyo inahusiana na masuala ya kisiasa...

Kwenye suala hili,watakuwepo binadamu lakini hawa hawatakuwa wanajua chochote juu ya uhalisi wa end game ya hili suala,ni sawa na ukutane na Mason wa degree ya tatu halafu ajue Mason ni nini na ipo kwaajili ya nini,haipo hiyo,sanasana atakueleza juu ya sababu chanya alizoambiwa kuhusu Freemason ambazo siyo lengo halisi la Freemason...
Hii inanipa wasiwasi kama wao ni sehemu ya hawa machotara ndio maana mwanzo 6 Mungu anasema hatawaangamiza hadi pale watakapouona uharibifu waliouleta duniani.
Shukrabnn kwa kunikumbusha hili nan nitaliangalia lipo kwenye mstari wa ngapi maana hapa ndipo tunakuja kuona "creation" ya majini.....
 
Sikukupa mstari kutoka kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia kukuonesha hili na ukashindwa vibaya sana kutetea hoja yako?

Aliyesema kuwa ukubwa wa Goliati ndiyo sababu ya mimi kusema ni Mnephil ni nani?

Moja:Sikumleta hapa Phill Schneider kwaajili ya kuthibitisha Wanefili,hii inaonesha ni namna gani hauko makini na ninachoandika hapa mkuu...

Pili:Nilisema ni kwenye maelezo yapi sikubaliani naye na kwaanini na siyo kwasababu unayoileta hapa,acha kuzusha mkuu,sema tu ukweli hata kama hutaki...

Tatu:Ni uongo mkubwa kusema mazingira yote ni uzishi wakati hujafanikiwa hata kuonesha angalau jambo moja tu ambalo ni uongo,tangu umeanza kumjadili huyu jamaa umekuwa ukirusha shutuma kuwa ni uzushi na uongo bila hata kujenga hoja ya unachosema,hii ni mbaya sana mkuu...

Ujue wakati mwingine hadi napata uvivu kuandika na kujibu maana ni kama sijui husomi ninachoandika au inakuwaje...

Nilikuonesha kwa kujenga hoja namna ambayo binadamu wa kwanza na huyu wa sasa wana tofauti kubwa sana ya kiuwezo,lengo na kukuonesha hili ni kutaka uone vile ambavyo umekubali uongo wa kwamba dunia sasa ina maendeleo makubwa na maendeleo haya yameletwa na mwanadamu tu.Nikakuuliza kwamba,kama Adamu,kwa namna nilivyokuonesha,alikuwa bora mara millioni zaidi ya mimi na wewe,alishindwaje kufikia haya maendeleo halafu wewe ambaye ni dhaifu zaidi uyafikie? Hili nilikuwa nataka tu uone uongo uliopo ili uanze kufikiri zaidi...

Hapo sijazungumzia mambo mengine ambayo nayo nilikuonesha kukufabnya uelewe ninachokuambia....

Pia,pamoja na kusema yote hayo sikuwa na maana kwamba binadamu amekuwa kama kondoo asiyeweza kitu,jambo hili nimekuambia huko nyuma lakini sijui ni kwanini huelewi na unakuja kusema hapa kwamba naweza hata kumsema @Maxence Mello kuwa ni hybrid kwasababu tu amebuni hii forum.Hii niseme kabisa kutoka ndani ya moyo wangu kwamba imenisikitisha sana maana kama maelezo yote yale ndiyo unaelewa hiki siyo siri napata wasiwasi kama hata kuna ambacho unacho gain hapa...

Ninachotaka uelewe na wengine wakielewe ni kwamba,binadamu ana akili lakini siyo ya namna hii na haya maendeleo yote,kuna msaada kutoka nje ya mwanadamu huyu....

Mkuu,sasa hakuna Mpinga Kristo bali kuna roho ya Mpinga Kristo ambayo inafanya kazi ndani ya watu.Mpinga Kristo kama kiongozi mkuu wa dunia hayupo kwa sasa...

Hujanielewa kuhusu waaminifu wa Mungu na kuwepo kwao wakati wa Mpinga Kristo,hili tuliache kwanza,lakini ninachotaka kukueleza ni kwamba ulichodhania kuhusu ninachoamini juu ya hili siyo sahihi....
Dahh kaka pole, kama umeshindwa kutambua kwamba Solomon alikua na maarifa na hekima zaidi ya Adam basi bado unaamini huyo Adam alituzidi akili pia!!!!
 
Back
Top Bottom