MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,752
- 5,497
Barua iliyoandikwa 15/08/1871 na mtu huyu Albert Pike akimuandikia mwanamapinduzi wa kiitaliano Giuseppe Mazzini.
Barua hii imeandikwa na kunukuliwa na vyombo mashuhuri vya mashariki na magharibi ikiwemo gazeti la Kiingereza, THE SUN, kitabu Descent into Slavery na kunukuliwa na gazeti la daily mail UK la 16:46GMT, 7 March 2016, http://www.dailymail.co.uk/news/article-3480720/Letter-written-Confederate-officer-150-years-ago-predicted-two-World-Wars-said-Islamic-leaders-West-just-hoax.html#comments pamoja na vyanzo lukuki mitandaoni imeibua utata mkubwa na wenda ikaandika upya historia ya dunia.
Mambo yanayoibuka katika barua hiyo;
1: VITA VYA KWANZA VYA DUNIA NA LENGO LAKE
Vita hivi vilitengenezwa ili kuusambaratisha utawala wa kifalme wa Czar huko urusi na kupandikiza u communism. RUSSIA hii ya kicommunist iliandaliwa kwa shughuli maalumu hapo baadae kubalance power Kati ya West na East. Mwaka 1917 mapinduzi makubwa ya kijeshi yalitokea urusi inasemekana yalikuwa financed na matajiri wakubwa duniani waliojificha nyuma ya mpango huu na kuwaweka madarakani wasoviet au wakomunist.
Kama ilivyotabiriwa na barua ya nguli huyu mwenye kuhusishwa na chama cha siri cha kiiluminati.
2: VITA VYA PILI VYA DUNIA NA LENGO LAKE
Vita hivi vililenga rasmi kuchochea chuki Kati ya wayahudi na wanazi. Na baadae lianzishwe taifa la kisiasa la kizayuni au israel kwa ajili ya mpango maalum na ndio matokeo ya vita hivyo. Pili ni kuiinua urusi ya kicommunist kuwa na nguvu ya kutosha na kuifanya dunia yenye mataifa mawilli yenye nguvu duniani ili kwa baadae yatumike kwa mpango maalum.
3: VITA HIVI VINAVYOENDELEA SASA VITA DHIDI YA UGAIDI /EXTREMESTS
Vita hivi vinahusishwa na matukio yote ya kigaidi, vita vya Iraq, Afghanistan, matukio kama ya September 11th, na fukuto linaloendelea Sasa huko middle east na mengine mengi yajayo ya aina hiyo. Vita hivi lazima vichochee uhasama Kati ya waarabu na wayahudi wachukiane kiasi cha kila mmoja kumuaribu kabisa mwenzake.
Vita hivi vitaijumuisha dunia nzima, Visambae kimwili, kimaadili, kiroho na kiuchumi kuwaandaa wakazi wa dunia kuwa kitu kimoja na kuwa socially minded. Na ikiwezekana hata kubomoa sheria za nchi yoyote Ile ili kupambana na adui gaidi au mtu yoyote hatarishi kwa ufafanuzi za wahusika.
Hii barua na huu mpango wengine wanaona ina ukweli ndani yake, wengine wanaona ni kitu cha kutungwa na kubuniwa. Na wengine wanabaki katika dilema.
Hii ndio dunia yetu.