Would you marry a non believer?

Kama mzazi wako akikwambia usioe au usiolewe na mvuta bangi ...is he/she discriminating?
Asiyea amini kuwa kuna amri jeshi mkuu ,kuna utaratibu wakufuatwa ktk life battle ,,,,,, hana guarantee huyu mtu...

You hit de point mkuu....

Mtu asiye na imani anaweza kukuua hata kwa sumu....

si anajua kuwa akisha kufa na yeye hakuna tena hukumu
 
Hello Kiranga ....in red are my response as per your questions:

Kanuni "zilizothibitishwa" kuwa bora ni zipi? bora zaidi ya nini? bora zaidi ya zipi?

Usiue,usizini,usiseme uongo,.......................
Je ww unazionaje ?
Bora zaidi ya zipi ? zaidi ya opposite ya hizi

Nani ana clean conscience kati ya, kwa upande mmoja, believer kasisi wa Roman Catholic au Maalim wa madrasa anayeviharibu vitoto vidogo na atheist ambaye anafuata kanuni za secular humanism ambaye sio tu hawezi kufanya ushenzi kama huo, bali pia hata nyama hali kwa sababu anaona kula kiumbe chenye damu kama wewe ni unyama?

Labda hapa tunatofautiana ...naona wewe unaongelea vegetarian wanao kula nyama.Sizungumzii wanao zisingia na kuzijua ...nazungumzia wanao zinjua na kuzishika "washika imani"
Mara nyingi ktk maongezi mkipishana kutafsiri key words mnaweza msielewane hata kama bottom line mnamaanisha kitu kimoja .Paul anasema imani bila matendo imekufa....so if you are not walk the talk .....simple your non-believer
Talking about priest...waliokalia kitu cha Musa ..wana amini kama kuna Mungu lakini matendo yao yamejaa uchafu na aina yote ya unyanganyi ...wanao safisha kikombe nje na kuacha uchafu ndani,wanaopenda kutukuzwa na kuitwa baba mtakatifu,rabi n.k...SI WASHIKA IMANI...
Anyway mwazisha thread ana maana yake and more likely tofauti na yangu so siwezi tetea what its mean in others dictionaries

Unaongelea kuhusu "inner sense of what is right or wrong in one's conduct or motives", kuna watu wana inner senses zao zinawaambia wanawake ni watu wa kupigwa, kukabwa na kubakwa tu, kwamba hata wao (wanawake) wanafurahia hayo. Ukimkuta mtu inner sense yake ya right or wrong iko hivyo, utasemaje?

Dhamila inajengwa na kuzoezwa kwa mafundisho na makuzi .......kuna dhamila zilizo kufa na dhamila hai....(you just need to know as prerequisites to qualify for this discussion
 
sio wote wasemao Rabi Rabi wataurithi ufalme wa mbinguni...
Kuamini peke yake hakumfanyi mtu kuwa mwema/mzuri

Wapo watu si waumini and yet they uphold high moral standards...
 
This topic touches me kweli kweli...

I am an Atheist and the girl that I really love is born again Christian. Because my mother is a devoted Christian like her, She thinks I am a just "a negligent Christian" who doesnt go to church.

All in all, imani ni kitu muhimu sana. Hata mtu ambaye hana dini (kama mimi) bado tuna imani zetu ambazo zinatuelekeza nini cha kufanya na nini si cha kufanya ingawa hazijaandikwa popote na hakuna rewards kama mbingu na moto kama wengine. It is all in the conscious of the man. Inashangaza watu wengine wanadhani mtu kutokwenda kanisani au msikitini basi unachofanya wewe ni "dhambi" tupu. Kuna mtu hapa JF amewahi kusema kuwa watu wanaosema hakuna Mungu wanafanya hivyo ili wafanye dhambi. Believe me, kuna atheists wengi sana ambao mienendo yao ni mizuri sana kuliko hao watu wa Mungu. Hata kutoamini uwepo wa Mungu nayo ni imani.
 
Hello Kiranga ....in red are my response as per your questions:

Kanuni "zilizothibitishwa" kuwa bora ni zipi? bora zaidi ya nini? bora zaidi ya zipi?

Usiue,usizini,usiseme uongo,.......................
Je ww unazionaje ?
Bora zaidi ya zipi ? zaidi ya opposite ya hizi

Nani ana clean conscience kati ya, kwa upande mmoja, believer kasisi wa Roman Catholic au Maalim wa madrasa anayeviharibu vitoto vidogo na atheist ambaye anafuata kanuni za secular humanism ambaye sio tu hawezi kufanya ushenzi kama huo, bali pia hata nyama hali kwa sababu anaona kula kiumbe chenye damu kama wewe ni unyama?

Labda hapa tunatofautiana ...naona wewe unaongelea vegetarian wanao kula nyama.Sizungumzii wanao zisingia na kuzijua ...nazungumzia wanao zinjua na kuzishika "washika imani"
Mara nyingi ktk maongezi mkipishana kutafsiri key words mnaweza msielewane hata kama bottom line mnamaanisha kitu kimoja .Paul anasema imani bila matendo imekufa....so if you are not walk the talk .....simple your non-believer
Talking about priest...waliokalia kitu cha Musa ..wana amini kama kuna Mungu lakini matendo yao yamejaa uchafu na aina yote ya unyanganyi ...wanao safisha kikombe nje na kuacha uchafu ndani,wanaopenda kutukuzwa na kuitwa baba mtakatifu,rabi n.k...SI WASHIKA IMANI...
Anyway mwazisha thread ana maana yake and more likely tofauti na yangu so siwezi tetea what its mean in others dictionaries

Unaongelea kuhusu "inner sense of what is right or wrong in one's conduct or motives", kuna watu wana inner senses zao zinawaambia wanawake ni watu wa kupigwa, kukabwa na kubakwa tu, kwamba hata wao (wanawake) wanafurahia hayo. Ukimkuta mtu inner sense yake ya right or wrong iko hivyo, utasemaje?

Dhamila inajengwa na kuzoezwa kwa mafundisho na makuzi .......kuna dhamila zilizo kufa na dhamila hai....(you just need to know as prerequisites to qualify for this discussion

Imani/dini haina monopoly ya ethics.

Kuna wasio dini wenye ethics kubwa kuliko wenye dini.

Kwa maana hiyo, kuna wenye dini wenye ethics ndogo kuliko wasio dini.

Kufikiri kwamba dini ndiyo ina monopoly ya ethics ni kukosa upeo,
 
Atheists wapo wengi, kuna wengine Neo-Nazis na wengine secular humanists, so kutuweka wote katika fungu la "mlikuwa" kama vile tuna organization moja ni kutulundika, wengine hatutaki kulundikwa.
 
Hii habari ya kuwapo mungu miaka 1,000 ijayo vitukuu vyetu vitaisoma na kucheka kama sie kunavyocheka watu walioishi kabla ya Galileo walioamini kwamba jua linazunguka dunia.
 
Si kila mwenye dini ni mtu mzuri
na si kila asiye na dini ina maana ni mtu mbaya.

Ndo maana mie sioni changamoto katika kuishi naye bali kulea watoto, tunawarithisha nini.

Na asiyeamini atakubali niwarithishe hichi nachoamini? Na nitaweza kukifanya peke yangu maana kulea na kurithisha ni jitihada za wazazi wote wawili.

Na nitaweza kuwapa kwa umuhimu naohitaji wauone?

Imani/dini haina monopoly ya ethics.

Kuna wasio dini wenye ethics kubwa kuliko wenye dini.

Kwa maana hiyo, kuna wenye dini wenye ethics ndogo kuliko wasio dini.

Kufikiri kwamba dini ndiyo ina monopoly ya ethics ni kukosa upeo,
 
Si kila mwenye dini ni mtu mzuri
na si kila asiye na dini ina maana ni mtu mbaya.

Ndo maana mie sioni changamoto katika kuishi naye bali kulea watoto, tunawarithisha nini.

Na asiyeamini atakubali niwarithishe hichi nachoamini? Na nitaweza kukifanya peke yangu maana kulea na kurithisha ni jitihada za wazazi wote wawili.

Na nitaweza kuwapa kwa umuhimu naohitaji wauone?
Unarithishaje watoto dini yako/imani yako?
 
kwenda nao huko nakoamini, kuwashirikisha kwenye ninayoamini kwa matendo kama sala.
Kuwaeleza umuhimu wa nianchoamini kwa matendo na shuhuda.

Hujaishi kwenye jamii ya wachawi??
Hujui wanavyorithishana??

Imani inarithishwa asilimia kubwa, wachache wanaoitafuta ukubwani.

Swali dogo, unaamini tofauti na imani ya wazazi wako kwa sasa?
Au ni kwa nini tunajikuta tuko kwenye imani tulizonazo kwa sasa kama si kupitia wazazi wetu?

Kwa hiyo kuwafundisha unachoamini kiwazuie na wao kufumbua macho na akili zao kuchimbua kuhusu wanachoamini wengine? Ukiwa unamfundisha hizo nyendo zako na imani na sala na Mungu wako utamwambia huyo ndo wa kweli pekee na wengine wamepotea so your kids shouldnt even bother?

Fortunately wazazi wangu walikuwa waumini wa kanuni ya independent investigation of the truth therefore I was exposed to the teachings of other religions other than theirs...
 
Si kila mwenye dini ni mtu mzuri
na si kila asiye na dini ina maana ni mtu mbaya.

Ndo maana mie sioni changamoto katika kuishi naye bali kulea watoto, tunawarithisha nini.

Na asiyeamini atakubali niwarithishe hichi nachoamini? Na nitaweza kukifanya peke yangu maana kulea na kurithisha ni jitihada za wazazi wote wawili.

Na nitaweza kuwapa kwa umuhimu naohitaji wauone?

Tatizo letu wengi hata "secular humanism" ni msamiati, sasa kuelewa idea nzima inakuwa mgogoro.
 
Hizo sifa sio mutual exclusive.
Sio kila Atheist ni mtu mwema na sio kila muamini Mungu basi ni mbaya.

Lakini kwangu ni bora kuwa asieamini Mungu kama ni mtu mwema, kuliko mwenye dini kisha anachuki na binaadamu wengine

Dini or lack of, haitoi majibu ya mhusika ni mtu wa aina gani
 
He/ She is such a good person but does not believe in God....

someone without a religion...Would you marry him or her?

It depends how you define marriage. Marriage (fx) = Physical + Spiritual
 
Tatizo letu wengi hata "secular humanism" ni msamiati, sasa kuelewa idea nzima inakuwa mgogoro.

Mkuu Kiranga hayo mambo ya secular humanism and all those irreligion philosophies bado hayajatia mizizi huku kwetu ndio maana mijadala inakuwa migumu kuendeshwa kwa hizo grounds.
Hata standpoint ya morality imeshaanza(au ilishatofautiana long time ago)kutofautiana kati ya mataifa yetu ya Third World na ambako such ideas zinatokea.
Wakati mtanzania anaongelea uhalali wa kuvaa nguo fupi na zenye kubana wao wa mataifa ya magharibi wanaongelea kwa nini watu wenye jinsia moja hawaruhusiwi kufunga ndoa kwenye majority ya nyumba za ibada.

Kwa msingi wa secular humanism mwanadamu ana uwezo wa kutumia utashi wake mwenyewe kuamua maswala ya maadili na mambo mengine ya maisha ya kila siku bila kutegemea muongozo wa utii au 'hofu' ya uwepo wa Mungu au dini.Kitu ambacho kinaleta taabu sana kwenye vichwa vya watanzania waliolelewa kwenye mazingira ya kidini yenye kumhofu Mungu angalau mara nyingi inakuwa kidesturi tu.
 
Hapo sioni tatizo kabisa mmoja ni believer mwingine ni non believer, hivyo mwache watoto watafundishwa kuamini (nothing wrong with faith) sababu asiyeamini hana cha kuwafundisha..

Watoto wakikua wenyewe watachagua njia kutokana na watakavyoona au kuguswa

Atawafundisha kutokuamini. Sio kweli kwamba hana cha kuwafundisha watoto.
 
Back
Top Bottom