Would you marry a non believer?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409

He/ She is such a good person but does not believe in God....

someone without a religion...Would you marry him or her?
 
He/ She is such a good person but does not believe in God....

someone without a religion...Would you marry him or her?

My friend... If you look closely, about 85% of the world population are either pretending to "believe in God" or are using faith to hide the devil in them.

If you look for a true believer..God Almighty,,!! You wont have a wide choice, I promise you..
 
Ni ngumu sana kuelewana.Ni vizuri wote muwe na beliefe ya aina moja. Hapa jeiefu watu huwa wanataka kutoana ngeu kwa ajili ya kutofautiana kiimani wakati hamjuani ndio iwe ya watu mnaishi pamoja???
 
Its just Faith..., Why not I will marry her and will respect her beliefs as she will respect mine, after all who told you what you believe is right and what she believes isn't.

When in relation there are things which binds you together and there things which don't. The trick is to agree on what you both agree on and agree to disagree on what you don't.
 
inategemea 'dini' unaipa umuhimu kiasi gani.
Pamoja na mapungufu yangu, Siwezi hata kudate naye achia mbali kuoa.
 
Kama hamuamini Mungu aliyekuumba wewe TANMO

Vipi ataweza kuku trust wewe??

Wapo wanaomini Mungu lakini siyo wema,
hivyo kama haamini Mungu lakini nimeridhika naye, i would rather prefer kuwa naye kuliko Believer "Mnafiki"
 
I would marry a non-believer as long as he let me to keep holding on what i believe...mapenzi ya kweli yanashinda yote
 
Ni hatari kuishi na mtu aishie bila kanuni zilizothibitishwa kuwa ni bora.
Clean conscience is a key ....is the inner sense of what is right or wrong in one's conduct or motives
 
Ni hatari kuishi na mtu aishie bila kanuni zilizothibitishwa kuwa ni bora.
Clean conscience is a key ....is the inner sense of what is right or wrong in one's conduct or motives
Ain't this discrimination ?

Sometimes I think for people who believe in loving thy neighbor, forgiveness, uvumilivu are the ones who are most discriminatory and preach discrimination and hate. Its just my observation
 
Mie naona changamoto inakuja kwenye kulea watoto.
Mtawarithisha nini? Mtawaacha wawe waamini au wasiwe waamini?
Au mtawaacha wachague wenyewe wakikua?

Kwa anayeamini kuona watoto wanakua 'heregeni' bila kufundishwa chochote cha kiimani sidhani kama ni rahisi hivi.

Hata ndoa za wanaoamini tofauti tu huwa zina changamoto zake sembuse haamini kabisa?

Kama hamuamini Mungu aliyekuumba wewe TANMO

Vipi ataweza kuku trust wewe??
 
Mie naona changamoto inakuja kwenye kulea watoto.
Mtawarithisha nini? Mtawaacha wawe waamini au wasiwe waamini?

Au mtawaacha wachague wenyewe wakikua?

Hapo sioni tatizo kabisa mmoja ni believer mwingine ni non believer, hivyo mwache watoto watafundishwa kuamini (nothing wrong with faith) sababu asiyeamini hana cha kuwafundisha..

Watoto wakikua wenyewe watachagua njia kutokana na watakavyoona au kuguswa
 
Dini huchagui tu.

Ni kitu unafundishwa na familia na mazingira unayoishi.
Na umuhimu wa dini wa wanaokufundisha na wewe unairithi kwa umuhimu huo huo.

Angalia baadhi ya watu wako tayari kufa kwa imani yao.
Kama mmoja anaamini, na mwingine haamini huo umuhimu unaotaka kuwarithisha wanao utapatikana kweli.

Back
Top Bottom