St. had missed u!
Happy 2011...
Halafu wewe una kesi kubwa sana ya kujibu. Sijui nikushtaki mahakama ipi...chagua mwenyewe.
Nakusubiri kwa hamu zote mbili.
Nilikuwa nakusoma tu, nilijua kuna mahali utaonyesha wewe ni nani...............hamu mbili ya duniani na ya mbinguni au?Nakusubiri kwa hamu zote mbili.
unasemaje vile?Kabaila jana ingekuwa weekend ningejua ni nguvu ya valuu....lakini sio hii ni vere vere nakupa big up
Sasa ninaomba unifafanulie maana ya mahusiano ya kudumu.
Babu jana ingekuwa weekend ningejua ni nguvu ya valuu....lakini sio hii ni vere vere nakupa big up
Sasa ninaomba unifafanulie maana ya mahusiano ya kudumu.