Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Vere vere vere vere veeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeereeee true!
Naona huu mwaka 2011 una baraka za ajabu,unaanza vizuri.

Hahahaha!

Naiona Power Of Love!

Usisahau kusali kabla na baada ya hiyo pawa.

BTW nimekumisi upeo.
 
Kwa mimi mwananndoa mtiifu nichangieje? au mm siusiki kwenye thread? anywa naambara mwaka mmeku.
 
Halafu wewe una kesi kubwa sana ya kujibu. Sijui nikushtaki mahakama ipi...chagua mwenyewe.

mahakama ya kimataifa inafaa ..mahakama yetu bongo nitapewa kulipa vijisenti kama vya mheshimiwa then mambo yatakuwa mswanu..babu uko salama lakini?
 
Mmmmhhhh yaani babu naomba usilale namaliza kazi baada ya masaa 3.....hii ya leo kali. ..
 
mahakama ya kimataifa inafaa ..mahakama yetu bongo nitapewa kulipa vijisenti kama vya mheshimiwa then mambo yatakuwa mswanu..babu uko salama lakini?

Niko salama mama. Ndo ukantendaje tena?
 
Babu jana ingekuwa weekend ningejua ni nguvu ya valuu....lakini sio hii ni vere vere nakupa big up

Sasa ninaomba unifafanulie maana ya mahusiano ya kudumu.
 
Babu jana ingekuwa weekend ningejua ni nguvu ya valuu....lakini sio hii ni vere vere nakupa big up

Sasa ninaomba unifafanulie maana ya mahusiano ya kudumu.

Babu kabaila yupo kazini hapo...shtuka mjukuu....
 
Babu jana ingekuwa weekend ningejua ni nguvu ya valuu....lakini sio hii ni vere vere nakupa big up

Sasa ninaomba unifafanulie maana ya mahusiano ya kudumu.

Mjukuu nisemee hapa hadharani au utakuja chumbani nikuhadithie?
 
Babu wosia umeeleweka au wajukuu wanaleta mambo ya ten sauzend?
 
Nilikuwa nakusoma tu, nilijua kuna mahali utaonyesha wewe ni nani...............hamu mbili ya duniani na ya mbinguni au?

i am out of here.

We mchakachuaji unabana kila kona....dah!

Anyway napenda sana weupe......
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom