RGforever JF-Expert Member Apr 3, 2011 6,878 5,424 Apr 26, 2012 #1 Salam wakuu Hivi hizi email na Attachment za Lottery zina ukweli wowote wa kuwin hizo Pesa wanazoziandika au ni Usanii wa Internet..? Asanteni.
Salam wakuu Hivi hizi email na Attachment za Lottery zina ukweli wowote wa kuwin hizo Pesa wanazoziandika au ni Usanii wa Internet..? Asanteni.
S Sometimes JF-Expert Member Dec 28, 2010 4,536 1,126 Apr 26, 2012 #2 Kama ulishiriki kuzicheza itakuwa sio usanii!
K Kagalala JF-Expert Member Oct 31, 2010 2,403 1,132 Apr 26, 2012 #3 Hata usijaribu ndugu yangu. Honyo kali nakupa