Ushauri wenu: Biashara ya duka la reja reja

Kv-london

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,823
4,826
Wakuu natarajia Mwezi June 2024 nichukue mkopo wa 7ml kutoka saccos

Malengo ni kufungua duka ya reja reja hapa kijijini kwetu Moshi Kilimanjaro plus vinywaji vya barid na moto hasa nyakati za ucku
Ntaweka hapo

Gas
Mpesa
Tigo pesa n.k

Profit at least 15000 per day
Shop ntamuweka hapo wife mm ntaendelea na shunguli zangu

Any comment au USHAURI wowote kwenye wazo langu hili
 
Duka la reja reja ili ufanye vizuri kubali iwe ni ni lockup yako kila siku lazima uwepo hapo hiyo ndo sheria ya kwanza na ya muhimu yaani usitoke , alafu usiweke huko mtaji wote anza taratibu usije ukanunua bidhaa nyingi ambazo hazitoki haraka

Return on investment huwa nzuri baada ya uvumilivu wa muda mrefu na kulisoma soko vizuri
 
Usije ukapigwa tena kisa kama hiki ulicho kileta hapa mkuu. 😃

Faida ya laki na nusu kwa siku kwenye duka unaichukuliaje mkuu??
 
Wakuu natarajia Mwezi June 2024 nichukue mkopo wa 7ml kutoka saccos

Malengo ni kufungua duka ya reja reja hapa kijijini kwetu Moshi Kilimanjaro plus vinywaji vya barid na moto hasa nyakati za ucku
Ntaweka hapo

Gas
Mpesa
Tigo pesa n.k

Profit at least 15000 per day
Shop ntamuweka hapo wife mm ntaendelea na shunguli zangu

Any comment au USHAURI wowote kwenye wazo langu hili
Yaani unajiandaa kabisa kupata faida ya laki nne unusu kwa mwezi bwaashee? Kama ni hivyo hakikisha hiyo faida ni baada ya kutoa gharama zote ikiwa ni pamoja na kujilipa wewe na mkeo, unainvest milioni 7 ya Mkopo wa saccos ujue! Rejesho siyo chini ya laki 5 kwa mwezi ujue
 
Duka la reja reja linalipa sana....kama utaweza kuweka genge kwa pembeni itakusaidia sana....changamoto ninayoiona kwako ni kuweka pombe na kumfanya mkeo muhudumu...hiyo ni balaa kubwa sana sana.
 
Usije ukapigwa tena kisa kama hiki ulicho kileta hapa mkuu.

I grow up and now with experience
 
Yaani unajiandaa kabisa kupata faida ya laki nne unusu kwa mwezi bwaashee? Kama ni hivyo hakikisha hiyo faida ni baada ya kutoa gharama zote ikiwa ni pamoja na kujilipa wewe na mkeo, unainvest milioni 7 ya Mkopo wa saccos ujue! Rejesho siyo chini ya laki 5 kwa mwezi ujue
Hapo nimekuelewa brother ndio mana natak nimuweke wife ila mm ntakuwa suppler wa mizigo Kwa wateja Kwa kutumia pikpik yang
 
Back
Top Bottom