Je Biashara Yako Ilifikia Malengo 2023? Jipime kwa hii Sheet BURE

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,195
1,661
Bila shaka kila kitu kina malengo. Na ili kutathmini ufikiwaji wa malengo lazima uwe umekusanya taarifa sahihi(umetunza rekodi).

Pongezi kwa Google waloweka Sheet ya bure ya kutunza rekodi zako za kila siku. Na habari njema ni kwamba sheet hii unaweza kuijaza na kuisoma ukiwa popote (online).

JE NI TAARIFA GANI MUHIMU INAWEZA KUKUPATIA SHEET HII
1. Faida na hasara kwa kila mwezi

2. Kujua bidhaa inayofanya vizuri zaidi (perform) ,top 5 au top 10. Pia kujua bidhaa zisofanya vizuri

3. Kujua thamani ya biashara yako kama utaamua kuiuza mwezi huu

Na Taarifa zingine.

JE UTAIPATAJE SHEET HII ?
Kama tayari una email ya Gmail, bofya kitufe chenye mduara wa blue, kisha bofya kitufe chenye mduara mwekundu.

google sheet.PNG

Hapo tayari utapata SHEET ambayo utaweza kujaza ukiona mkoa au nchi yoyote maadam una internet. Na kila mwisho wa mwezi na mwisho wa mwaka utaona taarifa mbali mbali tulizoeleza hapo juu kama hivi:

Jumla ya siku.PNG

Utaona hapo juu mauzo ya kila siku yanajijumlisha yenyewe

Bidhaa 5 bora.PNG

Mstari mwekundu ni jumla ya mauzo kwa mwezi husika kwa kila bidhaa. Na kulia mwisho kabisha ni neno TOTAL inakaa jumla ya mauzo kwa mwezi

Mstari wa blue ni top 5 ya bidhaa zilizofanya vyema kwa mwezi husika

Tuishie hapa kwa leo
Kwa ushauri wowote wa kibiashara ,
wasiliana nasi kwa 0713 039 875
 
View attachment 2844758

Hapo tayari utapata SHEET ambayo utaweza kujaza ukiona mkoa au nchi yoyote maadam una internet. Na kila mwisho wa mwezi na mwisho wa mwaka utaona taarifa mbali mbali tulizoeleza hapo juu kama hivi:

View attachment 2844762
Utaona hapo juu mauzo ya kila siku yanajijumlisha yenyewe

View attachment 2844763
Mstari mwekundu ni jumla ya mauzo kwa mwezi husika kwa kila bidhaa. Na kulia mwisho kabisha ni neno TOTAL inakaa jumla ya mauzo kwa mwezi

Mstari wa blue ni top 5 ya bidhaa zilizofanya vyema kwa mwezi husika

Tuishie hapa kwa leo
Kwa ushauri wowote wa kibiashara ,
wasiliana nasi kwa 0713 039 875
Post zenye akili hizi
Ukweli usemwe
Haya ndiyo mambo ya kujengana tunayotaka
 
Back
Top Bottom