Sijui kwanini, ila nimefurahi mtenda anapotendwa! Salute Nyani Ngabu!
Namta mbaya wangu,
Anayenikorofisha,
Siku nikimkuta,
Mambo yatakuwa moto....
Source: nimeisahau
tatizo unafall in love na magubegube tu
yanakuhuu??
Ahsante mkuu,na ole wake nimkamate,nitamwitia polisi jamii.
Embu tuhamie PM,please.
Hawana mana hawa,you spend a fortune on them kisha wanaishia kukuzengua tu.
mi simwonei hata huruma,
kilichomfanya aniache na watoto yeye
akamiliki nyumba za wajane ndo nini
tena bahati yake amejitambua mapema.