women! I hate women!

Bishanga toka lini???? Namuambia@erick52 juu ya hili ili aje akusikie kama una hoja, akishindwa nampa kazi Asprin ili anusuru jahazi.

Chanzo nini afrodensi kakuudhi??? Biblia inatufundisha samehe saba mara sabini, hebu samehe ili wakija akina AshaDii madhari iwe shwari kabla ya Kongosho kuja kukupasha!!!!
 
Last edited by a moderator:

mkuu,take my word,hawa viumbe sio wa kuamini kabisa,i am telling you,mwanamke wa kuamini ni mamako aliyekuzaa tu,mkeo sio mama yako.
 
Last edited by a moderator:
toka lini???? Namuambia@erick52 juu ya hili ili aje akusikie kama una hoja, akishindwa nampa kazi Asprin ili anusuru jahazi.

Chanzo nini afrodensi kakuudhi??? Biblia inatufundisha samehe saba mara sabini, hebu samehe ili wakija akina AshaDii madhari iwe shwari kabla ya Kongosho kuja kukupasha!!!!

Madhara ya kupigwa vibuti haya...!

I love them women.... All of them.
 
Last edited by a moderator:
mkuu,take my word,hawa viumbe sio wa kuamini kabisa,i am telling you,mwanamke wa kuamini ni mamako aliyekuzaa tu,mkeo sio mama yako.

Ayaaaa! Ushafumania?

Nani kakumegea, Nyani Ngabu au?

Pole muzee.... Ndo ukome na ujue kuwa kila mla vya watu na vyake huliwa.
 
Last edited by a moderator:
wakati Bishanga akitamka wazi kuwa anakereka na wanawake....
watu8 kwa sauti naimba....

"Najituliza kwake kasuku eeh
Sitaki maneno sitaki matata
Ninachopata kinanitosha uuh
Kasuku mwana uuh, uendelee eeh
..................................................."
 
hate_girls.gif

Kuanzia leo sitaki kusikia habari ya wanawake,nasema staki.
Ole wako uniulize kwa nini,staki nasema staki,period.
 
Ayaaaa! Ushafumania?

Nani kakumegea, Nyani Ngabu au?

Pole muzee.... Ndo ukome na ujue kuwa kila mla vya watu na vyake huliwa.
@nyani ngabu ana ubavu wa kuingia anga zanu? subutu yake.....sakapoko yule kula yake lala yake anategemea mfuko wa bishanga...kudadadadeki.
 
Dont do something parmanently stupid just because you are temporarily upset!!nukuu toka kwa mwanajf nimemsahau....mkuu hasira zikiisha najua hutarudi hapa kuconfess
 
wakati Bishanga akitamka wazi kuwa anakereka na wanawake....
watu8 kwa sauti naimba....

"Najituliza kwake kasuku eeh
Sitaki maneno sitaki matata
Ninachopata kinanitosha uuh
Kasuku mwana uuh, uendelee eeh
..................................................."
Hayajakukuta wewe....subiri.
Ushawahi kumnunulia mwanamke gari kisha ukapigiwa simu kuwa hilo gari limeonekana coral beach hotel ukimpigia anakwambia eti yuko riverside kwenye kikao cha harusi? Hawa viumbe hawa!
 
Back
Top Bottom