women! I hate women!

Kuanzia leo sitaki kusikia habari ya wanawake,nasema staki.
Ole wako uniulize kwa nini,staki nasema staki,period.

Bishanga mshukuru Mungu hukukutana na polisi jamii, hujui kuwa huyo mwanamke ni muke ya mtu. . . dedikesheni yako "kila mla vya mwennzie na vyake pia huliwaa"
 
Last edited by a moderator:
Hayajakukuta wewe....subiri.
Ushawahi kumnunulia mwanamke gari kisha ukapigiwa simu kuwa hilo gari limeonekana coral beach hotel ukimpigia anakwambia eti yuko riverside kwenye kikao cha harusi? Hawa viumbe hawa!

aahahahhaahhhhhahah kumbe ni kale kavitz!ahahahhahahhaha Bishanga unalo leo!
kwani we ulifikiri gari ndo mpango mzima gari unanunua na bado wenzio wanapigia humo humo
chezeya abiria wa siti ya mbele na kimini cha dereve weye!ahahahhahhahah
UTAJIBEBA LEO!
 
Last edited by a moderator:
Hayajakukuta wewe....subiri.
Ushawahi kumnunulia mwanamke gari kisha ukapigiwa simu kuwa hilo gari limeonekana coral beach hotel ukimpigia anakwambia eti yuko riverside kwenye kikao cha harusi? Hawa viumbe hawa!

ndo maana ukaitwa babu jinga! gari ya watu wawili iweje wapande 100?
 
Back
Top Bottom