women! I hate women!

Kamanda, hivi ulidhani natania kila nisemapo mke wa jamaa ni demu wangu?

Komredi, kuanzia sasa ntakuwa sichukulii maneno yako kimasihara.

Ila unaonaje ukiachana na mke wa huyu mtu baada ya kujifungua? Naona dalili za mtu kujinyonga hapa.
 
Hayajakukuta wewe....subiri.
Ushawahi kumnunulia mwanamke gari kisha ukapigiwa simu kuwa hilo gari limeonekana coral beach hotel ukimpigia anakwambia eti yuko riverside kwenye kikao cha harusi? Hawa viumbe hawa!

umekutana na kiruka njia(drama queen) mkuu....hao ni pasua vichwa kinoumer
 
mkuu,take my word,hawa viumbe sio wa kuamini kabisa,i am telling you,mwanamke wa kuamini ni mamako aliyekuzaa tu,mkeo sio mama yako.

Mkeo ni rafiki yako lakini siyo ndugu, bil ya shaka utakuwa umeonja upande wa pili wa shilingi ya mapenzi. Pole Bishanga hayo ndiyo maisha. Ni upepo tu utapita.
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu hayo yote ni mapito, pambana nayo na uyashinde:eyebrows::eyebrows: nafikiri umenipata hapo Bishanga
 
Hayajakukuta
wewe....subiri.
Ushawahi kumnunulia mwanamke gari kisha ukapigiwa simu kuwa hilo gari
limeonekana coral beach hotel ukimpigia anakwambia eti yuko riverside
kwenye kikao cha harusi? Hawa viumbe hawa!

Heh! Yaani hilo tu? Si alienda kum-pick shost waende wote kwenye kikao? Wivu tu!
 
Kuanzia leo sitaki kusikia habari ya wanawake,nasema staki.
Ole wako uniulize kwa nini,staki nasema staki,period.

ile exile niliyokupa ndo inakufanya uwachukie ma beijing vumilia huu mwezi ukiisha nita consider ombi lako la mara moja kwa wk.na ukisusa wenzio wala
 
mie mama yangu aliniambiaga mapema...sisi tuheshimuni kama mama zenu tuu lakini sie niwabaya sana..tunaweza haribia maisha yenu
 
Back
Top Bottom