Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

Siku ya eid ndiyo wengi wanaibiwaga viatu,,,na wengine wanavaa vyako wanakuachia ndala zilizochoka.

aani mtu unaswali unapiga jicho kwenye viatu,watu wezi
Mimi huo umasikini uniue tu! Mtu unaibaje kitu msikitini jamani? Mtu amekuja kuswali wewe unamuibia kama sio ushetani ni nini?

Mimi niliibiwa viatu vyangu vizuriiii kwenye Maulid nilikuwa darasa la 3/4. Hadi leo nimekoma kuvaa viatu vizuri msikitini, Eid nitavaa nguo zangu nzuri na ndala sina habari.
 
Pole sana, wahuni waliiba viatu vya sikukuu. Hawafai kabisa.

Ova
 
we ni zumbukuku kweli, mtu from no where afike msikitini kuiba kobazi! Huoni kuwa ni miongoni mwa waumini wa dini hiyo? Acha ujinga, wezi ni hao hao waumini
Viatu vinawekwa nje wewe huingii navyo msikitini so kila mtu wa dini yeyote anaweza kuiba.Huwezi ku assume tu kwamba aliyeiba ni wa dini fulani.Ukiwa unatumia ubongo kufikiri ungelielewa hilo.Hata mtoto mdogo anaweza kulielewa hilo.Au taa tu zimewaka na wapangaji hamna?
 
Back
Top Bottom