Shehe Dkt. Sule: Kinachowaunganisha Waislamu na Wapalestina ni Msikiti wa Al Aqsa siyo Ardhi. Wakristo hawahusiki kwa lolote!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Shehe Dkt. Sule amesema Waislamu watawatetea Wapalestina katika swala la Israel kwa sababu Msikiti wa Al Aqsa ni mali ya Waislam siyo Wayahudi

Dkt. Sule amesema kwa sasa Msikiti wa Al Aqsa unamilikiwa na Wayahudi lakini wanaoswali mule ndani ni Waislamu jiulize kwanini!

Shehe Dkt. Sule amesema Wayahudi waache propaganda Ukweli ni kwamba Ibrahim alivyotoka Iraq na kuhamia Caanan aliowakuta Watu ambao ni Wapalestina na baadae akaanza kununua Mashamba na hata Yerusalemu ilikuwa ni Shamba

Itaendelea.....

Mlale Unono 😀
 
Mmekalia maneno tu. Wasaidieni waislamu wenzenu Wanachezea kipigo cha Nguruwe pori.
 
Hakuna Wakristo Israel.
Wako Wayahudi.
Shehe Soma.
أقرأك أيها النبي
 
Shehe Dkt. Sule amesema Waislamu watawatetea Wapalestina katika swala la Israel kwa sababu Msikiti wa Al Aqsa ni mali ya Waislam siyo Wayahudi

Dkt. Sule amesema kwa sasa Msikiti wa Al Aqsa unamilikiwa na Wayahudi lakini wanaoswali mule ndani ni Waislamu jiulize kwanini!

Shehe Dkt. Sule amesema Wayahudi waache propaganda Ukweli ni kwamba Ibrahim alivyotoka Iraq na kuhamia Caanan aliowakuta Watu ambao ni Wapalestina na baadae akaanza kununua Mashamba na hata Yerusalemu ilikuwa ni Shamba

Itaendelea.....

Mlale Unono 😀
Kwa hiyo mwenye makosa ni Ibrahim au Mungu aliyemtoa huko na kuja kumpa hapo. Cc wakristo tumeaswa kuwabariki waisrael na kuwatendea kwa wema. Tunachojua kwa mujibu wa Bible caananites wote waliangamizwa kwasababu ya laana.
 
The U.S. government estimates the total population at 8.9 million (midyear 2022). According to the country's Central Bureau of Statistics (CBS) classification system (2021 data), approximately 73.8 percent of the population is Jewish, 18 percent Muslim, 1.9 percent Christian, and 1.6 percent Druze.13 May 2023
Kwani wayaudi ni wakristo...?

Mlale Unono
Akuanza kununua mashamba la bali alinunua kiwanja cha kuzikia kwa wenyeji,hoja ya msingi iburahimu alipo hamia palesita kutoka Iraq na mkewe waliwakuta watu ambao ndio wapalestina waleo
 
Mmekalia maneno tu. Wasaidieni waislamu wenzenu Wanachezea kipigo cha Nguruwe pori.
Unafuta njia ya kukataa ukweli bila hoja,kufa kulala bhana hata wewe sio muda mrefu utaitwa mfu hata hao unao wasifia kuwaua waisilamu nao pua zao zimeangalia chini
 
Kwa hiyo mwenye makosa ni Ibrahim au Mungu aliyemtoa huko na kuja kumpa hapo. Cc wakristo tumeaswa kuwabariki waisrael na kuwatendea kwa wema. Tunachojua kwa mujibu wa Bible caananites wote waliangamizwa kwasababu ya laana.
Wakirito awajatajwa na biblia sababu yesu hakuacha watu wanao itwa wakirito mashariki ya kati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom