Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

😂😂😂Wahuni wamezipenda kobazi
waja na ndala za 3000/= waondoka na kobazi za 35000/=
Haya utayapata masjid tuu 😁
Watu siku hizi hawaogopi nyumba za ibada.Wakati twosome Muslim school(shule ya kiislamu),tulikuwa jirani na kanisa kubwa tu,eneo la kqnisa,ilikuwa tunaliheshimu sana,wanafunzi ilikuwa hata kukaa kwenye ganzi za kuingia kanisa,tulihesabu tunamkoseq Mungu kwenye nyumba ya ibada.Na huko shule,waalimu walikuwa wanatusisitiza,kuheshimu nyumba za ibada,yakiwemo makanisa.Hivi sasa eneo hilo la kanisa,limezungukwa na wamachinga,hata hawajali kama hiyo ni nyumba ya ibada.
 
lakini kuvaa kiatu cha elfu 30 kukiacha nje inataka moyo sana.

tunaoingia guest tunajua ni kwanini ukarimu si kipaumbele kwa kila binaadam.
kule wanaweka ndala za kulia tupu au miguu yote lakini zimeharibiwa hazifai😂😂.

kuna watu wamezaliwa ni wadokozi tu,hata akiwa hospital anaweza iba bomba la sindano.
 
Mi huwa nashangaa sana mtu kukesha makanisani na misikitini kuomba eti Mungu akupe ulinzi katika familia yako na mambo yako mengine wakati huyohuyo Mungu ameshindwa kulinda nyumba zake mpaka zinatembelewa na vibaka.
Kibaka ataiba leo na kesho atarudi kuswali/kusali huku Mungu akimzoom tu.
 
Kwanini kuibiana viatu katika msikiti?
Hii tabia ikomeshweeeee

Kwani ni lazima kila mtu aende kavaa kobazi?

Tazama video chini
View attachment 2891743
Kuna mpemba alikua ananileteaga sendrozi sijui aliendaga wapi.
Ukimpa elfu 12 tuu anakuamhiabinatosha jipe mfuko wangu.
Yaani shida yake umrudishie mfuko basi akaweka mzigo mwngine
 
Kijana kaingia msikiti lakini matendo yake yakanitia shaka, ikabidi nimuulize jina lake nani akajibu 'anaitwa Richard'..

Hawa wakina Richard wanazo taarifa za wezi wa viatu.. WAULIZWE
 
Back
Top Bottom