Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,654
- 65,840
Mimi huo umasikini uniue tu! Mtu unaibaje kitu msikitini jamani? Mtu amekuja kuswali wewe unamuibia kama sio ushetani ni nini?Siku ya eid ndiyo wengi wanaibiwaga viatu,,,na wengine wanavaa vyako wanakuachia ndala zilizochoka.
aani mtu unaswali unapiga jicho kwenye viatu,watu wezi
Mimi niliibiwa viatu vyangu vizuriiii kwenye Maulid nilikuwa darasa la 3/4. Hadi leo nimekoma kuvaa viatu vizuri msikitini, Eid nitavaa nguo zangu nzuri na ndala sina habari.