Tatizo ni Viwanda vya Kununua scraper Kumilikiwa na Watu walioiweka serekali Mfukoni!! Sheria zote za Nchi Zinaparalize!!
Lakini nafikiri ni kukosa ustaarabu, umaskini, elimu ya kujitambua, ubinafsi na dhiki ya baadhi ya watu katika nchi.
Maeneo ya ngong nchini kenya hadi mapori ya kisames, oletepesi, olesakut hadi magadi utakuta kuna mabomba ya
chuma yako juu ya ardhi, hayajafukiwa lakini hakuna anayeyagusa miaka na miaka. Ingekuwa bongo si balaa!