Wizi wa Kampuni za Simu na vinywaji Tanzania

Mkuu Mfuatiliaji,

wakati unafanya analysis yako sidhani kama ulikuwa na leaflets za tariff ya kila kampuni ya simu mkononi mwako.I doubt it!

Analysis nzuri though! waweke na Zain kwenye huo mnyambulisho maana bei zao ni kama za Voda koma koma,nukta nukta!
 
Wakati Vodacom wanaingia katika mpango wa 'CHIZIKA',tayari tiGO na ZAIN walikuwa hewani na 'Extreme' na Jirushe'.hivyo waliingia kama shinikizo.Lakini cha ajabu sasa ukitaka kuchizika ni lazima uruke siku moja yaani kama umejiunga alhamis basi ijumaa huwezi kujiunga na wanakwambia jaribu kesho.na hajatuambia wateja wao kama huduma hii itakuwa inapatikana kwa mtindo huo.
Wakuu sana,naomba tuwaulize hili watoa huduma hawa.
 
VODA CUSTOMERS

This is a fact, you may verify yourself. Written by Voda customer who is tied of voda

Calling Voda to Voda is Tshs 360 per minute. Calling from Voda to other networks in the country is Tshs 560 per minute. Voda SMS to all networks is Tshs 60 per sms.

Ok,

Calling Tigo to Tigo Tshs 300 per minute. Calling from Tigo to other networks in the country is Tshs 360 per minute. Tigo sms to all networks is Tshs 45 per sms.

Calling Zantel to Zantel is Tshs 250 per minute. Calling from Zantel to other networks in the country is Tshs 275 per minute.

Just by looking above assuming calling/usage time is constant, Tigo customers would spend more than 40% or 50% (depending on other packages listed below) less compared to Voda customer whereas Zantel customer would spend less than 55% compared to voda customer.

Assume Voda customer use 100,000 per month, then Tigo would use less than Tshs 60,000 whereas Zantel customer would use just some shs above 40,000.

For a voda customer spending Tshs 50,000 per month, Tigo customer would spend a range of Tshs 20,000 to 30,000 per month, whereas Zantel customer could spend even less.

Other packages!

Tigo has extreme call package whereby you subscribe Tshs 1500 and you call all Tigo number from 6.00am to 6.00 pm. Comparatively Voda has the same service called Chizika but you NEVER be able to subscribe whenever you want-if you think I am joking try *147# and dial (which is a way to subscribe to free unlimited call for 12hrs from 6.00am) to see if you will get through. Definitely you will be told to try again tomorrow! You will be very lucky if you get through. Friends have been saying for every 1000 people one gets through! Anyway Vodacom does not want you to know this service because they have not even advertised it. Have you heard or seen chizika advert anywhere if it is not only one found along Ali Hassan Mwinyi road in Dar es Salaam ?
For your information with Zantel you can call zantel customers for 24hrs with only Tshs1500. only that zantel customers are not as many.

Tigo has sms extreme package whereby you subscribe Tshs 500 and send sms to ALL networks for 12hrs from 6.00am. Voda despite of charging Tshs 15 more on every sms, it does not give any releaf package in this area. Zain (not Zantel) has the same package by subscribing Tshs 400. It is not my intention to bring in Zain now since its calling cost is almost like voda's

With Tigo you can call for one shilling from 6.00pm to 5.59am to tigo to tigo. So from extreme call you enjoy during the day, in the evening you have another relief. Huree! Voda has almost the same relief but this one starts at 10.00pm to 5.59am. Despite of that "dead night time" you have to try yourself to see if you can get through a call. It is not easy even you have an emergency!

With Tigo you can call tigo subscribers for one shilling from Friday 6.00 to Monday 5.59am! By that Time, voda customers are calling voda subscribers for normal rate Tshs 360 and non voda subscribers for Tshs 560! ALAS VODA!

Even with Zain (Celtel), one is far better off compared to voda!

Some rumors created which make people not to shift.

1. Voda has very extensive network and is reliable! Fact check: If you are based in Dar or another city and you call most networks with certainty from Tigo, Zantel or Zain then the above rumor is cheating people! If voda was reliable it could be reliable when you subscribe to chizika and when you make even emergency call from 10.00pm.

2. Remember, you don't travel so much in the interior parts of the country. If you are sure of been where you are for 11months of the year without going to interior parts of the country, then you don't need voda. You can reach interior people with whatever network they may be through Zantel, Tigo or even Zain with much cheaper rates.

Advise:

1. We don't have to fool. We are incurring much much much higher cost by been voda subscriber compared to Tigo, Zantel and somewhat Zain friends! I don't think if there will be any person on earth except fool who will be happy and comfortable to pay higher rate for less! This is what voda customers we are getting!

2. Corporate customers who pay for their employees airtime could save up to 40% or 50% if encourage their employees to shift to cheaper networks. Company may leave airtime rates (they give to employees) at where they are and they are will minimize to a great deal number of complaints on air time increases by employees. If you are giving your employee an airtime of Tshs 50,000 in Voda and he/she complains, with Tigo, Zantel or even Zain (somewhat) complaints will be very very minimal!

Englisher

'English is not my mother land'
 
Wakati Vodacom wanaingia katika mpango wa 'CHIZIKA',tayari tiGO na ZAIN walikuwa hewani na 'Extreme' na Jirushe'.hivyo waliingia kama shinikizo.Lakini cha ajabu sasa ukitaka kuchizika ni lazima uruke siku moja yaani kama umejiunga alhamis basi ijumaa huwezi kujiunga na wanakwambia jaribu kesho.na hajatuambia wateja wao kama huduma hii itakuwa inapatikana kwa mtindo huo.
Wakuu sana,naomba tuwaulize hili watoa huduma hawa.
...Ulijuaje? Uliwauliza wakakwambia kuwa Chizika lazima uruke siku moja??
 
Kipanga,si tu suala la kuuliza lakini matendo yao yanaonesha.Kama wewe ni mteja wa vodacom basi jaribu kujiunga na chizika kwa siku mbili mfululizo na utaelewa maana yake.
 
Kuna mtu alikuwa mpakani mwa zambia na tanznaia anasema kwamba kule zantel ni bure unapiga unaongea unavyotaka
 
Jana jioni simu yangu ilikuwa na hela ya kutosha nikampigia mtu simu mala nikasikia simu kukatika, nikajaribu tena nikaambiwa niongeze salio! nilishtuka nikajaribu kupiga huduma kwa wateja kuulizia kilichotokea ikashindikana. Mpaka sasa nikiwapigia napewa maelekezo mengine. Je inawezekana wizi wa namna hii unfanyika bila wateja kujua? Tuchunguze
 
Gembe is right. Wananchi wanaibiwa bila kujua!

Kuna michezo ya hivi sana. Raia wengi hawashtukii suala hili kwani hela inayokatwa mara nyingi ni kama Tshs 45/= hivi. Sasa piga hela hiyo kwa wateja kama 2,000,000 wa kampuni nzima utakuta wameshavuna 90,000,000.

tiGO wameanzisha EXTREME, Zain wakaiga, na sasa VodaCom, wanawakamua watanzania 1,500 kwa kutwa nzima kwa kulonga bila malipo ya ziada tiGO kwenda tiGO, Zain to Zain and VodaCom to VodaCom na jaribu kuhesabu kuwa walau wateja 800,000 nchi nzima wanaweka hiyo EXTREME hivyo utakuta wanakamua 1,500 x 800,000 kwa huduma hiyo per day. Bado hawapunguzi gharama za upigaji simu kwenda networks nyingine. Hili siwalaumu wao lakini TCRA wanatakiwa kutueleza watanzania faida kubwa yote hii wanayoipata toka kwa makampuni ya simu wanalifanyia nini taifa, ndizo zinajenga barabara hizi mbovu zinazonesa kama godoro na zenye manundu kama ukurutu kwenye miamba?

Hapana, watanzania wafunguke macho, kuna usanii tunaofanyiwa na si makampuni haya pekee pia na mamlaka husika. Ukienda kutaka kufungua kituo cha radio utaishia kuambiwa FREQ zimeisha labda uende Mtwara!

We can't take this anymore! I join Gembe on this... TCRA vunjeni ukimya, punguzieni watanzania mzigo, simu sio starehe, ni huduma muhimu kwao... Si anasa hata kidogo... Masikini wengine wanabakia kutegeshea mitambo ya tiGO ichemshe waweze kufurahia kuongea na ndugu zao wa mbali!

TCRA, what's up?

hapa umenena mkuu! tunaliwa na wajanja
 
Nimetembelea miji mingi asia, moja ya nchi niliokaa ni India, ukipiga simu kutoka India to Tz kw dakika moja ni sawa na Rupia 10(1 us dollar= 48 rupia) kwahiyo dk tano 5 sawa na rupia 50 ambazo ni sawa 1 dollar ambayo ni sawa na 1350 tz shillingi. Jee dakika 5 tz ukipiga kwa kutumia hawa wezi wetu yaani Tigo, Zantel, Voda,ZAN inakost shillingi ngapi? si asaw kupiga tz kwa tz tu?Kunanini hapa watz au sisi ndio tunaozibwa macho kila upembe. wanakuja kuchuma na kuondoka kwetu
 
Tanzania bei ovyo kwa sababu hakuna Fiber connection, tunatumia sataleite kwa mawasiliano ya nje ya nchi. Hiyo bei ya India ni ya kampuni gani? Maana hizo bei ni ndogo sana kuliko hata Skype.
 
Tanzania bei ovyo kwa sababu hakuna Fiber connection, tunatumia sataleite kwa mawasiliano ya nje ya nchi. Hiyo bei ya India ni ya kampuni gani? Maana hizo bei ni ndogo sana kuliko hata Skype.
kampuni zote, leo hii nimetumia nikiwa india. tatizo ikiw mgeni huapti simcard kiurahisi mpaka upeleke passport
 
Umeshawahi kupiga simu na kukuta simu yako inakata , ukiangalia unagundua hela imekwisha kabla ya muda uliofikiri?Ni mara ngapi imekutokea?Na je umeshawahi kufikiri ni wangapi wametokewa na jambo hili?Ukweli ni kuwa jambo hili si bahati mbaya kwani hutokea karibu kwa kila mtumiaji wa simu bila kujali mtandao.

Muda umepita toka TIGO walete huduma ya shilingi 1 kwa sekunde na baadaye tigo thumni.Labda kwa makusudi au kutoa matangazo yasiyojitosheleza huduma hizo zimejaa mizengwe.Ukiwa na sh100 usifikiri utaongea sekunde 100 ndipo simu ikatike,thubutu!utaongea dk kama 85 simu itakatika na ukiangalia salio limeisha.Hii hutokea km unataka kuongea mpaka salio liishe.Lakini pia mi sijawahi sikia tigo wakisema kama thumni inaanza saa 4 usiku mpaka 12 jioni.Ukipiga simu muda huo(12jioni-4usiku) hela itakatwa zaidi ya mchana,si sh1 kwa sekunde tena.Kama huamini jaibu.Maumivu zaidi huja pale unapotaka kuongea na "huduma kwa wateja",lazima ukatwe sh 100. Mfano nimekwata kimakosa sh75 kweli ntatumia sh 100 kuomba nirudishiwe sh 75?ni wazi nitachagua kutopiga ili kuokoa upotevu wa sh 25 zaidi,umeelewa?na yule mzalendo atakayepiga atakutana na ahadi zilezile za mwaka juzi kuwa ushauri wako utafikishwa tofauti ni kuwa sauti ni ya mtu mwingine.

Kama unatumia VODACOM au ZAIN usifikiri umepona?mtindo ni uleule bali unaibiwa kwa promosheni tofauti tu.Tofauti kubwa ni kuwa huku "huduma kwa wateja" ni bure ingawa nao watakupa ahadi hewa kuwa tatizo lako limefika.Wengi hatutambui wizi huu kwa kuwa ni wa fedha kidogo tu.

Nimetumia zaidi tigo kwakuwa ni mtandao ninaoutumia zaidi lkn mitandao karibu yote ina fanya huu udhalimu katili.Naomba polisi wavalie njuga swala kwani ni wizi dhidi ya jamii na ni fedha nyingi sana ukifanya "sum up".NI LINI WATANZANIA TUTAANZA KUFANYIA KAZI MAMBO YANAYOTUGUSA KILA SIKU NI KUACHA KUWA WATU WA KUSEMA TU?
 
Back
Top Bottom