BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,177
- 2,281
Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu. Angalia ujumbe huo wa HALOTEL walionitumia wakati hata hiyo huduma sijui, na nikituma SMS ya KUJIONDOA inakataa. Ni huzuni na mateso sana.