Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,090
Jamani kwani lazima kila Muongozo ujibiwe, mara wanaharakati wanauliza mara wabunge wanauliza, mara wanajamii Forum hata yasipojibiwa Bunge litamaliza muda wake, na Watanzania wataendelea kuishi. Tumeshazoea vurugu hizo za nani mkubwa nani msemaji sanaHata kama ni tume, hoja za Lissu kuhusu uhalali wa wajumbe bado zinataka majibu.