Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
Tutaomba tu hizo kazi, mi nasubiri za BoT. Nimechoka kuwa mlalahoi na mpiga kelele JF. Time kula matunda ya uhuru.
Join Date : 2nd November 2010
Posts : 6
Thanks0Thanked 4,294,967,295 Times in 4,294,967,295 Posts
Rep Power : 0
Naona JF sasa inapoteza image iliyojijengea kwa muda murefu!Huu ni upuuzi na sijui ina maana gani,inachefua sana na kuondoa kabisa maana ya thanks!!
Acha ww,huyu mtu kachakachua,thanx 4,294,967,295 while there are only 41069 members it means assuming thanx were evenly distributed he was thanked 104,579.3 timez in his posts and 11,619.9 times in a single post this is ridiculously not possible,just to show how ridiculous this thing is,we as members for what like 3 o 4 yrs na post zote hizo there are only 2,157,342 posts en counting,this means the thanx he got were 1990.9 times the total posts in Jf,dude can this happen, almost 2000x all posts, usichanganye na topics,i'm talking about posts,topics na coments. Invisible,mods fatilia hii bamutu!Acheni wivu wajameni mpeni hongera msimsemee akanyan'ganywa thanks zake. Halafu hapo kwenye red sio kweli jamaa ana zaidi ya milioni nne angalia vizuri ingekuwa milioni nne ingekuwa inaishia kwenye rangi ya zambarau 4,294,967,295
1: Kwa interview zote kufanyika Dar wakati kunawatu wengine hawana uwezo wa kwenda Dar na hawana hata ndugu Dar je akiitwa kwenye interview atafikia wap?, na atakula wap? nauli anaweza pata lakin bado ni shida kwa masikini.
Mkuu fikiria tena na tena werevu wa kuweka pesa za kufanyia interview dar na pengine kazi ukapata baada ya 5yrs, pia kumbuka chuo unakopeshwa na bodiNyie wa Tanzania acheni ujinga, mnataka hata kazi mletewe nyumbani kwenu? Yaani mtu ashindwe kuwekeza pesa ya kujisafirisha na kuishi Dar ili apate kazi? Kwani hata hicho chuo kikuu kipo kila kijiji nchini? aaaghrr ndio maana wakenya wanatucheka sana.