Wizara ya Elimu Wasaidieni Wanafunzi Mzumbe Wanateseka Sana!!

teh teh teh haaa haaa sina mbavu, watz wengi wanafikiria kupitia tundu la kunyia sio ubongo. hivi kwa akili yenu haswa Malecela ndiye aliyeandika hayo? hivi mimi siwezi kujiita Edwin Mtei nikaandika lolote humu? Malecela anajua wapi pa kusemea na Ikulu muda wowote anaingia,humu Jf ni kwa kina Slaa anayejibishana na kina "Mbwa Kachoka" "Nawashwa" "sokwe mtu"
 
Tatizo hilo sio la wanafunzi wa mzumbe pekee, vyuo vyote havina hostels za kutosha na utaratibu wa maisha ndio huo kwa miaka kadhaa sasa. Wanafunzi wanaishi sio tu kwa gharama kubwa, bali katika mazingira duni. Umesahau sakata la wapiga kura wako wa ifm waishio kigamboni? Wanaoibiwa na kulawitiwa pia na polisi wakinyamazia kama hawaoni?

Serikali yako sikivu walau itasikia sauti yako nene na kuifanyia kazi sala hii, natumaini.

By the way, nadhani vyuo vikuu viko chini ya wizara ya sayansi na elimu ya juu na sio wizara ya elimu.

Hapo bado hujatupia picha ulizopiga na wadada wa Mzumbe. Mradi wako unalipa bana!
 
teh teh teh haaa haaa sina mbavu, watz wengi wanafikiria kupitia tundu la kunyia sio ubongo. hivi kwa akili yenu haswa Malecela ndiye aliyeandika hayo? hivi mimi siwezi kujiita Edwin Mtei nikaandika lolote humu? Malecela anajua wapi pa kusemea na Ikulu muda wowote anaingia,humu Jf ni kwa kina Slaa anayejibishana na kina "Mbwa Kachoka" "Nawashwa" "sokwe mtu"
Duh!! Analysis ya MSOMI
kama alivyo kwenye Avatar. Msomi anawateteta wasomi kama ifuatavyo:
Tazama kwenye "red". Hawana pa kuishi? Pesa nyingi
sana
halafu anataja elfu 12! Mwalimu
mmoja!
halafu inafuatia na
generalization, WANAWAFELISHA
makusudi. Halafu Neno makusudi
halihitajiki hapa kama kweli wanawafelisha
 
- Jana nilikutana na baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, nimeshitushwa sana kusikia kwamba wamefikia mahali wanapokuja kuanza Chuo wanakuwa hawana pa kuishi na kulazimika kutafuta vyumba nje ya Chuo, na nyumba nyingi za karibu na Chuo zinamilikiwa na baadhi ya Waaalimu wa Chuo hicho ambao wanawatoza pesa nyingi sana za kodi kuna Mwalimu mmoja ambaye anawatoza kodi ya Shillingi Elfu 12 kwa siku. Halafu kila wanafunzi hawa wakijaribu kulalamika kwa viongozi wa Taifa, waalimu hao wakiwajua huwa wanawafelisha shule makusudi ili wasiharibu mradi wao huo, I mean this is beyond ustaarabu wote Duniani.

- Wizara ya Elimu please wasaidieni hawa wanafunzi, najua kwamba kuna mashirika mengi sana amabayo yanaweza kujenga mabweni mapya pale kwenye eneo la Chuo hiki, kwa sababu jana nilipokuwa pale nimeona kuna maeneo mengi sana makubwa na ninajua NSSF, LAPF au PFP wanaweza sana kulisimiamia hili la ujenzi wa mabweni, sio sawa kwa wanafunzi kupitia mateso ya ajabu kama haya kupata elimu leo mwaka 2013.

Le Mutuz in Morogoro.

Kwa kuwa Mzee Le Mutuz Mzee wa Mbululas amenena hilo litatekelezwa vinginevyo serikali yetu bora iongozwe na wachache sana kuliko idadi iliyopo halafu anatokea mtu mwingine nje ya ulingo kuona hilo. Hongera Malecela
 
By the way, nadhani vyuo vikuu viko chini ya wizara ya sayansi na elimu ya juu na sio wizara ya elimu.
Kwanini kuchangia humu lazima?vyuo vikuu umesema vko chini ya wizara gani? We ndo mblla!
 
Tatizo hilo sio la wanafunzi wa mzumbe pekee, vyuo vyote havina hostels za kutosha na utaratibu wa maisha ndio huo kwa miaka kadhaa sasa. Wanafunzi wanaishi sio tu kwa gharama kubwa, bali katika mazingira duni. Umesahau sakata la wapiga kura wako wa ifm waishio kigamboni? Wanaoibiwa na kulawitiwa pia na polisi wakinyamazia kama hawaoni?

Serikali yako sikivu walau itasikia sauti yako nene na kuifanyia kazi sala hii, natumaini.

By the way, nadhani vyuo vikuu viko chini ya wizara ya sayansi na elimu ya juu na sio wizara ya elimu.

kwani kuchangia humu ni lazima?umesema vyuo vikuu viko chin ya wizara gani vile? Watch out!
 
By the way, nadhani vyuo vikuu viko chini ya wizara ya sayansi na elimu ya juu na sio wizara ya elimu.
Kwanini kuchangia humu lazima?vyuo vikuu umesema vko chini ya wizara gani? We ndo mblla!

Mkuu we ndo uko mbali kabisa na kinachoendelea Tanzania, vyuo vikuu viko chini ya wizara ya elimu na siyo wizara ya sayansi na teknohama.
 
Kwanza unajiaibisha mwenyewe kusema hivyo wakati ni mjumbe wa CCM ktk serikali sikivu,mambo mengi mnajitakia wenyewe ndio maana tutaendelea kuwachukia na chama chenu mpaka kesho,mie nimekuja hapa naambiwa VC amemaliza muda wake lakini mpaka leo yupo,nimeanza masters ujinga ule ule hamna mabweni tunaambiwa kuna hostel nje kumbe ni miradi yenu tu,pesa zinakuja kwa ajili ya kujenga hostel lakini zinarudi,hapa unamlaumu nani kama sio serikali,kwanini pesa ije halafu irudi?baba yako alikuwa mwandamizi ktk chama na serikali lakini ni hadithi tu wakati hiki chuo wamepita viongozi kibao wa chama na serikali wengine wamepewa mpaka degree bila kuingia class unadhani watakemea maovu?Tafakari
 
Mhhhh wewe unasomea Masters kweli? ulichoandika hakilingani daraja uliloko maana uwezo wa kufikiri mdogo,utaweza kufanya research kweli au ndio nyie mnaofanyiwa? maana jambo dogo kama hili huwezi kulichambua na kutolea ufafanuzi,hujiulizi ni kweli Malecela kaandika au mtu tu kaamua kujiandika hivyo? mhhhh kaaaazi kwelikweli kama nayesomea masters hao shule za kata wakoje? duuu kiyama hiki
Kwanza unajiaibisha mwenyewe
kusema hivyo wakati ni mjumbe wa CCM ktk serikali sikivu,mambo mengi
mnajitakia wenyewe ndio maana tutaendelea kuwachukia na chama chenu
mpaka kesho,mie nimekuja hapa naambiwa VC amemaliza muda wake lakini
mpaka leo yupo,nimeanza masters ujinga ule ule hamna mabweni tunaambiwa
kuna hostel nje kumbe ni miradi yenu tu,pesa zinakuja kwa ajili ya
kujenga hostel lakini zinarudi,hapa unamlaumu nani kama sio
serikali,kwanini pesa ije halafu irudi?baba yako alikuwa mwandamizi ktk
chama na serikali lakini ni hadithi tu wakati hiki chuo wamepita
viongozi kibao wa chama na serikali wengine wamepewa mpaka degree bila
kuingia class unadhani watakemea maovu?Tafakari
 
Mmmmmh Le mutuz, vyuo vyote nchini ukiacha UDOM havina mabweni ya kutosha. Serikali nayo kila kukicha inaongeza udahili. Hivyo ikatoa maagizo wafanye watavyojua ili kuhakikisha wanafunzi wanaoongezwa kwenye udahili wanapata pa kulala. Ndo maana mpango wa hostel binafsi ukahasishwa kwa wawekezaji binafsi na Mzumbe ikiwemo. Uongozi wa Mzumbe umeshaongea na mifuko zaidi ya miwili ikiwamo LAPF, PSPF, NSSF juu ya ujenzi wa mabweni na michoro ipo tayari. Tatizo kubwa ni kwamba serikali yetu imekataa kutoa udhamini kwenye mifuko hiyo kama ilvyofanya UDOM. Kwa hiyo uongozi wa Mzumbe hauna tatizo, Bali tatizo lipo juu, wizara ya elimu na wizara ya fedha.
 
- Jana nilikutana na baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, nimeshitushwa sana kusikia kwamba wamefikia mahali wanapokuja kuanza Chuo wanakuwa hawana pa kuishi na kulazimika kutafuta vyumba nje ya Chuo, na nyumba nyingi za karibu na Chuo zinamilikiwa na baadhi ya Waaalimu wa Chuo hicho ambao wanawatoza pesa nyingi sana za kodi kuna Mwalimu mmoja ambaye anawatoza kodi ya Shillingi Elfu 12 kwa siku. Halafu kila wanafunzi hawa wakijaribu kulalamika kwa viongozi wa Taifa, waalimu hao wakiwajua huwa wanawafelisha shule makusudi ili wasiharibu mradi wao huo, I mean this is beyond ustaarabu wote Duniani.

- Wizara ya Elimu please wasaidieni hawa wanafunzi, najua kwamba kuna mashirika mengi sana amabayo yanaweza kujenga mabweni mapya pale kwenye eneo la Chuo hiki, kwa sababu jana nilipokuwa pale nimeona kuna maeneo mengi sana makubwa na ninajua NSSF, LAPF au PFP wanaweza sana kulisimiamia hili la ujenzi wa mabweni, sio sawa kwa wanafunzi kupitia mateso ya ajabu kama haya kupata elimu leo mwaka 2013.

Le Mutuz in Morogoro.

Le mutuz, una bifu na mzumbe? Mbona SUA, UD, IFM haki ni hiyo hiyo. Pia una mawazo ya kizamani. Hakuna mwalimu anayeweza kumfelisha mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye hoja za uhakika kwenye majibu yake. Hawa wana ruhusa hata ya kukata rufaa endapo hawajaridhika na matokeo achilia mbali mitihani yao kusahishwa na wahadhiri wa nje. Wambie wanafunzi wasome siyo kuwajengea fikra potofu za kufelishwa na wahadhiri. Kwanza hapa Tanzania wewe umesoma chuo kipi?
 
- Jana nilikutana na baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, nimeshitushwa sana kusikia kwamba wamefikia mahali wanapokuja kuanza Chuo wanakuwa hawana pa kuishi na kulazimika kutafuta vyumba nje ya Chuo, na nyumba nyingi za karibu na Chuo zinamilikiwa na baadhi ya Waaalimu wa Chuo hicho ambao wanawatoza pesa nyingi sana za kodi kuna Mwalimu mmoja ambaye anawatoza kodi ya Shillingi Elfu 12 kwa siku. Halafu kila wanafunzi hawa wakijaribu kulalamika kwa viongozi wa Taifa, waalimu hao wakiwajua huwa wanawafelisha shule makusudi ili wasiharibu mradi wao huo, I mean this is beyond ustaarabu wote Duniani.

- Wizara ya Elimu please wasaidieni hawa wanafunzi, najua kwamba kuna mashirika mengi sana amabayo yanaweza kujenga mabweni mapya pale kwenye eneo la Chuo hiki, kwa sababu jana nilipokuwa pale nimeona kuna maeneo mengi sana makubwa na ninajua NSSF, LAPF au PFP wanaweza sana kulisimiamia hili la ujenzi wa mabweni, sio sawa kwa wanafunzi kupitia mateso ya ajabu kama haya kupata elimu leo mwaka 2013.

Le Mutuz in Morogoro.

We Le mutuz hapo kwenye rangi nyekundu siku nyingine uwe makini ili uendane na jina la Baba yako vinginenyo wewe utabaki kuwa mbulula tu.
 
Waendelee kusubiri kwa sasa gvt iko busy na Udom kwanza. Last yr kulikuwa na blocks karibu 15 za watu 500@ hazina wakaaji katika college za social, humantz na edu na bado majengo yanasimikwa kila kukicha. Huku baadh ya room zina mtu mmoja/wawili wakati wenzao wanaminyana 8@room. Gvt hebu kuweni makini katika hili yale majengo pale dom yanatosha jamani ebu tazameni na vyuo vingine...

Aisee Lilambo umeandika jambo la msingi sana, lakini hawatafanya kama ulivyoshauri
 
Hili kaka W. J. Malecela mbona ni tatizo la vyuo vyote...? Kwa kuwa umeanzia na mzumbe jaribu kupita na vyuo vingine uangalie makazi ya wanafunzi utaona kuwa ni tatizo la nchi yote.
 
Last edited by a moderator:
- Jana nilikutana na baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, nimeshitushwa sana kusikia kwamba wamefikia mahali wanapokuja kuanza Chuo wanakuwa hawana pa kuishi na kulazimika kutafuta vyumba nje ya Chuo, na nyumba nyingi za karibu na Chuo zinamilikiwa na baadhi ya Waaalimu wa Chuo hicho ambao wanawatoza pesa nyingi sana za kodi kuna Mwalimu mmoja ambaye anawatoza kodi ya Shillingi Elfu 12 kwa siku. Halafu kila wanafunzi hawa wakijaribu kulalamika kwa viongozi wa Taifa, waalimu hao wakiwajua huwa wanawafelisha shule makusudi ili wasiharibu mradi wao huo, I mean this is beyond ustaarabu wote Duniani.

- Wizara ya Elimu please wasaidieni hawa wanafunzi, najua kwamba kuna mashirika mengi sana amabayo yanaweza kujenga mabweni mapya pale kwenye eneo la Chuo hiki, kwa sababu jana nilipokuwa pale nimeona kuna maeneo mengi sana makubwa na ninajua NSSF, LAPF au PFP wanaweza sana kulisimiamia hili la ujenzi wa mabweni, sio sawa kwa wanafunzi kupitia mateso ya ajabu kama haya kupata elimu leo mwaka 2013.

Le Mutuz in Morogoro.
L e mutuz hapo kwenye RED
ni kwamba si kweli wanalipa 12000 kwa siku yaani ukipiga hesabu ya haraka haraka ni kuwa kwa semista 1 ambayo ni sawa na miezi 4 siku kama120 ukitafuta hesabu utapata 1,440,000 pesa ambayo ni kubwa sana kwa mwanafunzi kulipa ...labda hyo unaoongelea kwa watu wa masters wanaochukua nyumba nzima but pia ile ni biashara so kuna uhuru wa kuchagua na sio lazima kama mtu anaona hawezi gharama anatafuta sehemu ingine but also hilo ni tatizo la vyuo vyote na sera ya vyuo vikuu vingi ni kutoa elimu na sio accomodation labda ningekuelewa kama ungesema lecture room hazitoshi
 
Mmmmmh Le mutuz, vyuo vyote nchini ukiacha UDOM havina mabweni ya kutosha. Serikali nayo kila kukicha inaongeza udahili. Hivyo ikatoa maagizo wafanye watavyojua ili kuhakikisha wanafunzi wanaoongezwa kwenye udahili wanapata pa kulala. Ndo maana mpango wa hostel binafsi ukahasishwa kwa wawekezaji binafsi na Mzumbe ikiwemo. Uongozi wa Mzumbe umeshaongea na mifuko zaidi ya miwili ikiwamo LAPF, PSPF, NSSF juu ya ujenzi wa mabweni na michoro ipo tayari. Tatizo kubwa ni kwamba serikali yetu imekataa kutoa udhamini kwenye mifuko hiyo kama ilvyofanya UDOM. Kwa hiyo uongozi wa Mzumbe hauna tatizo, Bali tatizo lipo juu, wizara ya elimu na wizara ya fedha.

Nikupongeze DEAE, maandishi yako yanaonyesha umefanya utafiti
 
We Le mutuz hapo kwenye rangi nyekundu siku nyingine uwe makini ili uendane na jina la Baba yako vinginenyo wewe utabaki kuwa mbulula tu.

Haya matatizo hajaanza leo na yapo siku nyingi tatizo na Viongozi wetu wa mfano wa akina Le Mutuz. Hawa viongozi hawajuwi sisi walalahoi tuna matatizo gani wao kazi ni kubuni misamiati kila siku MKKUKUTA, MKURABITA, MATATIZO SUGU....sasa BIG RESULT NOW.

Prof. Mbwette alipokuwa kiongozi wa Vision 2000 pale UDSM nilibahatika kuwakilisha wenzangu kwenye moja ya vikao vyake. Tulijaribu kumshawishi kuwa Chuo/Serikali zijenge kwanza lecture rooms, library mpya, mabweni nk ( kuongeza vifaa kwanza) ndo waongeze idadi ya wanafunzi. Wapi bwana hatukusikilizwa na tukaonekana sisi ni wapenda fujo na hatutaki wenzetu wasome. Katika kutoa malalamiko yetu tuliandaa KUNJI ili tusikike.

Serikali kwa kuitumia RTD iliandaa kipindi cha Mazungumzo baada ya habri na issue kubwa wanafunzi wa chuo kuku hawataki wenzao wasome, CCM ikandaa maandamo kutupinga kama kawaida yao.

Mwaka uliofuata Wanafunzi wakafurika Seminar Rooms za kubeba wanafunzi 25 zikabadilika na kuwa za wanafunzi 150, wanafunzi wakaanza kupata semina kwa kuchungulia madirishani. Kwa wanafunzi wa Sayansi( kumbuka wengi wamesoma sekondari na kufanya mitihani ya Alternative to practicals)wakaanza kufanya Practicals kwa makundi ya wanafunzi 20 kwa benchi moja kabla ya hapo ilikuwa wanafunzi 2. Kwa upande wa malazi ndo ikawa mwanzo wa wanafunzi kuanza kulala hall 12 " Kwa Brigadia Hemed" babamkwe ya Nape, maeneo ya Igesa, Ubungo na kadhalika.

Kwa ujumla matatizo ya malazi ni makubwa mno na yanawanufaisha walimu na mabepari uchwara wa magamba...Masha alikimbilia kujenga hostel yake pale SAUT Nyegezi badala ya kusaidia kufanya harambee na kusaidi kujengwa angalau bweni moja...yeye akaona matatizo ya wapiga kura ndo mtaji wake. Nili bahatika kutembele hostel moja ya wanafunzi wa St.John pale Dodoma...hostel ina milikiwa na mtu binafsi , ipo uswahilini vyumba vidogo kama choo cha Guest za vijiji maana Sheraton choo ni Room nzuri, na vyumba vyenyewe ni full Iron sheet iliyo chomelewa !!!!!

Le Mutuz...hapo ndo mlipo tufikisha yaani Magamba hivyo usitushangae ndo tunavyo soma, na kuishi. Wewe uko Upanga ukila pensheni ya Mzee kwa jasho letu. Umesoma chuo kizuri ughaibuni na division 4 yako....Kwahiyo kwako ni TBARARE
 
Back
Top Bottom