Wito wa kwaresma vijana wa leo ni kizazi cha nyoka! tabia mbovu mbovu zinatumaliza kiuchumi

Asilimia kubwa ya kilichosemwa na mleta mada ni ukweli mtupu....

Watanzania tunahitaji sana sana kubadili mindset zetu.

Hali ndo inazidi kuwa mbayaaa! Mi nashauri hawa customer care maboss zao wangekuwa wanajifanya wateja mara 1, moja. Kama TIGO SHOP M CITY NI 000000000000000000! Yani mteja huelekezwi, ukipew token namba unafika dirishani ndo wanakwambia nenda kule, ukitoka wanakwambia chuku token namba upya! HAWJIELEWI! Kazi kukusanya 500 zisizo na RECEIPT!!!!!!!!!1 SHAME ON YOU TIGO HASA MANAGER WA M CITY.

Cheap labor inawacost sanaaaa.
 
lara 1 dAily nakupenda mum asante kwa kukumbusha mpenzi nina bro wangu huyo ni mnoko hatari yeye ni mhasibu wenzake walipanga wapige yeye akagoma wenzie wakazichota kiliposanuka wote wakafukuzwa kazi akakosa kotekote.

Afu badala wawaibie WAWEKEZAJI/WAKOLONI MAMBO LEO uakuta wanataka kukuibia wewe MTEJA!!!!!!!!!!? Yaani anchota maji nchi kavu kupeleka baharini.
 
Kijana wa kawaida tu..ataka kuishi maisha ya SUPERSTAR itawezekanijee? Vijana tujitambue....!! kila kitu na gharama zake!
 
True 100% lara1 vijana tujitume kufanya kazi kwa bidii tutafanikiwa, ila wengine ili apate promotion anapeleka umbea kwa boss.
 
True 100% lara1 vijana tujitume kufanya kazi kwa bidii tutafanikiwa, ila wengine ili apate promotion anapeleka umbea kwa boss.

huwa promotion za kiboya sana.
kufanya kazi kiupapett haina maana hata kidogo na mtu asitemee kuwa na mafanikio ya mbali ki umbeya umbeya
 
Unavyoipa promo soccer city kama kiwanja cha maana vile au una hisa na Mushi?
 
@lara1 umezungumza vitu vya maana sana, japo sisi vijana wengi hatupendi kusikia ukweli na wala hatutaki kujifunza.....
 
hiyo point yako ya kwanza mi ndo inanikera, kiukweli kuna baadhi ya watu ni wavivu kazini. wana boa sana, wengine hawana lugha nzuri kwa wateja(kama ofisi zao zinahudumia wananchi). big up mkuu
 
Lara 1, umechana sana, umenikosha!

Kila cku nafkiria nchi hii Tanzania ili tuendelee LAZIMA tudevelop cultural model yny dira!

Self awareness miongoni mwetu ni tatizo sana, tumejawa na negative attitudes, so pessimistic!

Ofisini pipo so lazy adi boss awastue, mbaya zaid hata ndoto binafsi zpo kitheory zaid!

NAMSUBIRI RAISI ATAKAE TENGENEZA MFUMO THABITI WA KIUTAMADUNI ILI TAIFA HILI NALO LIENDELEE!!!
 
Back
Top Bottom