()*()*() wishing you a happy birthday paw ()*()*()

Sikuiona hii aisee...
Happy birthday Paw, May you enjoy this special day. I wish you peace, harmony and a lots of love for this coming year. May your projects materialize and your dream come true (so you can dream some more... :) )
happy-birthday-love-paw-fave-mod-132286304396.png
 
Sweetie tena ni mpenzi saana wa shots za tarquilla (bia itakua kama anapasha tu....lol) Naomba usimfanye atoe uchanga wake kwa kum-provoke... Give him a Break Love he deserves it..... (Alafu nenda page ya 10 ya PA hapa... Kongosho mkorofi....lol)

Have seen it all sweetie, ila sasa jamani ukilana kipofu ndo hadi umshike mkono?

kwa kabila letu mpenzi, ukizaliwa tu lazima ulambishwe choya ila tujue kabisa kama DNA ni ya kwetu au la:poa
 
Kweli tumevamiwa mchana kweupe

hadi like ban, buji atakuwa victim number wani

Nataka kuwe na sheria mpya JF "uchoyo sio afya. Kila atakae kua mchoyo wa kushukuru na kukubali michango ya wengine kwa kuwagongea LIKE atapigwa ban la siku tatu ili apate muda wa kutafakari kuhusu tabia yake ya uchoyo."OVER.
 
Wee kweli ni kiboko, umeniibia property yangu for good 10days, afu unachochea nipate ban ili uendelee kutesa naye?

My ghost will haunt you

Kongosho kumbe muoga wa Ban eeeh? ndo maana humbani Roulette kabisa umenibananisha mimi.... Boss nilimuacha na Roulette siku mbili... hio haitoshi kusema there is something fishy?? instead wani bana mimi Dah! (shaking in my socks)
 
Sikuiona hii aisee...
Happy birthday Paw, May you enjoy this special day. I wish you peace, harmony and a lots of love for this coming year. May your projects materialize and your dream come true (so you can dream some more... :) )
View attachment 42595

Me NOT Paw... BUT me LOVE This...... My fave Mod.... (of course Roulette i don't like kanikosanisha na Kongosho Mazima)
 
Nataka kuwe na sheria mpya JF "uchoyo sio afya. Kila atakae kua mchoyo wa kushukuru na kukubali michango ya wengine kwa kuwagongea LIKE atapigwa ban la siku tatu ili apate muda wa kutafakari kuhusu tabia yake ya uchoyo."OVER.

Mi ningependa tujadili ule "uchoyo mwingine"........:shut-mouth::censored::A S-coffee:
 
  • Thanks
Reactions: Paw
utashtakiwa kwa "matumizi mabaya ya madaraka" LOL

happy birthday Paw (again)

Sheria yake iko jikoni. . . kila kitu kinafanyika kikatiba.

HB PAW...tusamehe kwa uchakachuaji, sisi ni waathirika na dawa bado haijapatikana.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Have seen it all sweetie, ila sasa jamani ukilana kipofu ndo hadi umshike mkono?

kwa kabila letu mpenzi, ukizaliwa tu lazima ulambishwe choya ila tujue kabisa kama DNA ni ya kwetu au la:poa

Mpenzi THANK GOD umepita pale.... labda sasa ataacha nipumzike kwa Amani.....lolz :cheer2:
 
Roulette adhabu yake ni kubwa hadi mie mwenyewe naogopa.

Sitaki kuiongea ongea ili nisije nikaahirisha, naifanya kwa kumshtukiza.

Andaeni michango ya kumpeleka India

Kongosho kumbe muoga wa Ban eeeh? ndo maana humbani Roulette kabisa umenibananisha mimi.... Boss nilimuacha na Roulette siku mbili... hio haitoshi kusema there is something fishy?? instead wani bana mimi Dah! (shaking in my socks)
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Nataka kuwe na sheria mpya JF "uchoyo sio afya. Kila atakae kua mchoyo wa kushukuru na kukubali michango ya wengine kwa kuwagongea LIKE atapigwa ban la siku tatu ili apate muda wa kutafakari kuhusu tabia yake ya uchoyo."OVER.
Hii hoja naifungulia thread monday. Mi nina like 100, nimesha toa 1000, huo ni ustaarabu kweli?
 
Nilikukataza kuongea sana na Laizer mbona hausikii wewe...halafu huyu Kaizer naona sasa...ngoja

Haaha. . . acha wasiwasi hapa tupo kiprofesheno zaidi.
Embu kwanza ongea na Kaizer akwambie huo uchoyo anaotaka uwepo kwenye katiba alafu unitonye.
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Similar Discussions

Back
Top Bottom