Nawashukuru nyote kwa kunipongea kwa safari yangu kuelekea uzeeni.
Ama kwa hakika jana ilikuwa siku njema kabisa kwani nilikuwa najaribisha pampers as you know enzi zileee tulikuwa tunatumia nepi (wengine gagulo).
Nashukuru kwa wishes zenu na baraka. Tunabakia kuwa familia moja hata kama tunatofautiana kimawazo na kiitikadi. Hata mapacha hutofautiana.
Nashukuru sana (nakosa maneno muafaka ya kuweka hapa)
Najaribu kupata picha...
Coment za Lipualipua...
Madhila wanayopata watu toka kwa Paw...
Malalamiko ya wadau, kule jukwaa la chini toka mwisho kuhusu huyuhuyu Paw...
Mwisho wa siku kumbe Paw ni best mod kwa AshaDii?
Mas'kini roho yangu mie...
BTW: HBD Paw...
Though...but I do appreciate his job. Hapo kwenye dash tupaache! Leo tusheherekeeRejao nimefurahi kukuona mahala hapa.... And you know why.... I bliv you are well and good.
safi sana!Mphamvu... Umepata picha gani sasa? lol.... Naomba msome The Boss hapo then atleast waweza elewa why namkubali, thou niseme kweli sijaona ni vipi imehusishwa na Lipualipua....
safi sana!
Nadhani unajua jinsi ilivyo vigumu kumweleza mtu picha asiyoiona.
Lipualipua nimekuhusisha nae kwa kuwa ni mgomvi wako wa karibuni, though naweza kuwa nimekosea muktadha wa kumhusisha.
Comment ya TB nimeisoma, I sense some reality inside it...
Roulette mwenyewe president wa fan club ya PAW... :flame:Nimekupata.... Kama kweli umemsoma Boss natumai umeelewa. A lot of members tend to think kua Paw anashadadia saana Ban na he enjoys giving them... Which daima nilikua napinga. I believed daima kua it was hard on him/her too... ila tu sababu hatuangalii both sides of the Coin. Na for the Record napenda Mods Weengi, ila tu Paw is kind of a friend pia... Achana na Roulette ambae pia I love and appreciate....
Nimekupata.... Kama kweli umemsoma Boss natumai umeelewa. A lot of members tend to think kua Paw anashadadia saana Ban na he enjoys giving them... Which daima nilikua napinga. I believed daima kua it was hard on him/her too... ila tu sababu hatuangalii both sides of the Coin. Na for the Record napenda Mods Weengi, ila tu Paw is kind of a friend pia... Achana na Roulette ambae pia I love and appreciate....
Roulette mwenyewe president wa fan club ya PAW... :flame:
Haya bwana!And here comes Chairman wa fan club ya RR.
The Extra-Ordinary, The man himself... Mphamvuuuuu...!!!
Roulette mwenyewe president wa fan club ya PAW... :flame:
Magnifico!
Ila umeniudhi sehemu moja, unapojifanya hujui jinsi(sio jinsia) ya Paw, nimeshindwa ku-hilight hapo ulipoandika him/her.
Be frank bana, why so much pretending?
GREAT!!! At present naona members waongezeka kwa kasi kwenye "Fun Club ya PAW" You as a president everything will be smoothe. Imebaki kitu kimoja.... Inabidi tumtafutie PAW someone to release some stress in him.....lol... If you know what i mean. Kikubwa iwe chini ya carpet.....eep: