()*()*() wishing you a happy birthday paw ()*()*()

Nawashukuru nyote kwa kunipongea kwa safari yangu kuelekea uzeeni.
Ama kwa hakika jana ilikuwa siku njema kabisa kwani nilikuwa najaribisha pampers as you know enzi zileee tulikuwa tunatumia nepi (wengine gagulo).

Nashukuru kwa wishes zenu na baraka. Tunabakia kuwa familia moja hata kama tunatofautiana kimawazo na kiitikadi. Hata mapacha hutofautiana.

Nashukuru sana (nakosa maneno muafaka ya kuweka hapa)

Ahaaaa! Kumbe ni kweli, HAPPY BIRTHDAY PAW.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
With a new year of your journey, shall come more challenges, opportunities and greater success. May God bless you. Happy Birthday.

 
  • Thanks
Reactions: Paw
Wakuu naona Happy Bnirthday nyingi kwa Paw, jamaa hana hizo huyu. Fanya madudu yeye atakupa BAN tu!

Happy Birthday Paw!!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Happy birthday! Uishi miaka mingi yenye afya bora!:juggle:
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Ngoja na mimi nimtakie happy birthday ili akinipa Ban niwe na lakujitetea. happy birthday Paw.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Nawashukuru nyote kwa kunipongea kwa safari yangu kuelekea uzeeni.
Ama kwa hakika jana ilikuwa siku njema kabisa kwani nilikuwa najaribisha pampers as you know enzi zileee tulikuwa tunatumia nepi (wengine gagulo).

Nashukuru kwa wishes zenu na baraka. Tunabakia kuwa familia moja hata kama tunatofautiana kimawazo na kiitikadi. Hata mapacha hutofautiana.

Nashukuru sana (nakosa maneno muafaka ya kuweka hapa)
Sasa mkuu makubaliano yetu vipi si ulisema wakati unasherekea bethdei ya utanikabidhi umodereta halafu upumzike kwa muda tafadhali PAW usije ukanifanyia kama JK alivyowafanyia Chadema.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
happy bday mkuu. leo nikujiachia tu..hamna ban wala nini...paw mwenyewe ndo hivyo ni katoto kako kanalilia nyonyo sijui kamejikojolea tayari. wakati ananyonya ngoja niendelee kuharibu huku..hahhaaaa...!!mia
 
  • Thanks
Reactions: Paw
tanzania yetu ya leo tunahitajii kina PAW wengi mno...
watu wasioo ogopa kuchukua maamuzi hata kama kuna lawama na makosa
lakini any decision is better than indecision....happy b day paw....
 


"Paw my Pal (kwa kulazimisha...lol) and my best Mod"


Naamini kua kazi za Mods ni kubwa na nyingi pia…
Zipo in varieties kila kipengele na Ugumu wake…
thou hatuwezi tambua for sie kama Members hatuelewi hasa nini kinafanyika;

Pamoja na hayo kuna kipengele ambacho ni maarufu…
kila member afahamu FIKA kuhusu Ban… Kazi ambayo ni moja ya kazi/jukumu lako
(hasa mtu anapokua uncontrollable) Kazi yako waifanya kwa moyo mmoja as much
as it is hard for you na most hawaelewi how it is/feels to be in your shoes….
Hio ni moja ya sababu I had admired you…
Your Hard Work and Msimamo.



Paw… Genuinely remain the way you are ever….
And on this Special day which happens every day of your life may you Prosper,
Rejuvenate and become more Superior in all your Great Qualities….
Mwenyezi Mungu Akubariki na Kukuneemesha na Pia kukujalia Maisha marefu…



Pal… It is an Honour to Wish you a Happy Birthday Whether you like it OR Not.


:A S-rose::A S-rose::A S-rose:...HAPPY BIRTHDAY PAW...:A S-rose::A S-rose::A S-rose:


Najaribu kupata picha...
Coment za Lipualipua...
Madhila wanayopata watu toka kwa Paw...
Malalamiko ya wadau, kule jukwaa la chini toka mwisho kuhusu huyuhuyu Paw...
Mwisho wa siku kumbe Paw ni best mod kwa AshaDii?
Mas'kini roho yangu mie...
BTW: HBD Paw...
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Roulette adhabu yake ni kubwa hadi mie mwenyewe naogopa.

Sitaki kuiongea ongea ili nisije nikaahirisha, naifanya kwa kumshtukiza.

Andaeni michango ya kumpeleka India


Duh!! Kongosho wee Mkali eeeh?? No wonder Boss siku hizi hana ubavu wa roaming.....lol...:spy:


Hii hoja naifungulia thread monday. Mi nina like 100, nimesha toa 1000, huo ni ustaarabu kweli?

Looking forward to this.... :tongue:

Kongosho wasituchonganishe ndugu yangu. hii thread ya Birthday ya Paw tusiweke hasira ndani yake maana ni ujumbe wa mwaka mzima tunaweka hapa. AshaDii, yaishe dear. Tafadhali, msifanye mambo kama hatujaeda shule nawaombeni.
Kama kuna mtu alie haribu ni The Boss mwenyewe (na wewe Alter ulie yaleta humu)


I love the sound of the above....lol... Thou last sentence mmmh! JF never boring....
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Similar Discussions

Back
Top Bottom