Wimbo mpya wa Darassa ft Ben Pol - Muziki (Official Music Video)

Nyimbo hii kiukweli inabamba sana pongezi kwa Darasa na Ben Pol hii nyimbo ni funga mwaka nimeona kupitia clouds 360 dreva wa Costa Dodoma amefungulia nyimbo hii kwa sauti kisha kaanza kucheza mzuka ulivyompanda akaachia steering kisha kapanda kwa abiria akanza kata mauno kama chambua karanga huku akiangalia abiria Costa ikiwa kwenye mwendo noma sana hii.
USAHIHI
1.wimbo huu
2.huu wimbo
3.wimbo huu
 
1481168964205.png
 
Huo mkono alovoukunja 1M ni bado sana yeye ni member wa fraternity brotherhood
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom