Darassa,Ommy Dimpoz, Alikiba na Diamond

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,584
DARASA, OMMY, ALI K NA DIAMOND

Kajiandae team "diamond hufanyi muziki ila ni ujanja ujanja tuu"

DARASA "Acha maneno weka muziki imba unachopenda ukitaka kucheza cheza muziki"

KIBA (Akitaman sana kuwa kama diamond)

DARASA Funga mkanda, kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba

OMMY DIMPO _"Diamond ananunua viewers yule"

DARASA _"Unataka kukimbia na hauna break, what do u expect ??"

TEAM KIBA _"Ali kiba bwana mkali wa kuimba live hadi bas"

DARASA "Vitu vingine havitakagi ujuaji, unaweza jikuta unatandikia mtu jamvi"

DIAMOND _"Sijui ni kipi nmewakosea walimwengu, et jamn nifanye nini nionekane mwema??"

DARASA _"Pasua miamba, pasua anga si unasemaga chambua kama kalanga"

Uwiiiiiiii!! darasa amemteteaje mi ningeshindwa mbona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom