Wimbo mpya wa Darassa ft Ben Pol - Muziki (Official Music Video)

Hii nyimbo kazi kubwa kaifanya producer wa hiyo beat, nikisema nigawe ktk asilimia producer 60%,ben pol 20% na darasa 20%.Maproducer kunahaja ya kuungana kutetea maslai yao la sivyo watabakia kuwa masikini wenye vipaji huku wasanii wakipiga ela.
 
Huu wimbo ni Dis track!!!
maana verse nyingi zimejaa majungu majungu
ila hiphop ni mziki wa majigambo hatushangai hilo!!
sema darasa kaimba majungu sana kwakweli!!!
ila uzuri waTanzania nao akawakuta wamechoshwa na kik mshenzi za bongofleva ndio maana kasepa nao!!!
wananogewa sana na "Acha maneno ,weka mziki"


ni sawa na kuwaimbia walevi pombe ni tamu! lazima wakubebe
 
napost uzi huu huku nikiskiliza wimbo wa darasa 'muziki' lakini sijauelewa mara kuna mchuzi, no excuse. ambaye ameueleea unamaansha nini anambiee
sio kuna mchuzi ni huna mchuzi no excuse yaan huna hela hamna kuomba omba
 
Screenshot_2016-12-05-08-25-10.jpg
kavunja rekod week moja view laki nane
 
Hii nyimbo kazi kubwa kaifanya producer wa hiyo beat, nikisema nigawe ktk asilimia producer 60%,ben pol 20% na darasa 20%.Maproducer kunahaja ya kuungana kutetea maslai yao la sivyo watabakia kuwa masikini wenye vipaji huku wasanii wakipiga ela.
ni kweli aiseee,,,hivi producer yupi katengeneza huu wimbo?
 
Msanii darasa umetisha na nyimbo yako Muziki,ni nyimbo bora ya mwaka hata kama hakwanii tuzo yoyote
Darasa ni mkalii,nimeshawishika kusikiliza nyimbo zake za toka aanze mziki
Labda atapewa tuzo ya heshima
 
3c7b1196e6a4a4f61faef39d89d1c77b.jpg

Japokuwa kaibia beats toka kw zigo remix na mashairi kwa Salome lakini ngoja hiyo ya darasa ft Ben pol-Muziki inachezwa [HASHTAG]#Trace[/HASHTAG].
Congrats [HASHTAG]#Darasa[/HASHTAG].
Mbona hata ngoma ya zigo beat iliibwa toka kwenye ngoma ya "celebrity girlfriend "
After all hajaiba Ile ni swagga za dance hall!
Mashairi hajakopi!
Ngoma ni kali so kupigwa trace ni kitu cha kawaida!
Na itapigwa hadi MTV
 
Nyimbo hii kiukweli inabamba sana pongezi kwa Darasa na Ben Pol hii nyimbo ni funga mwaka nimeona kupitia clouds 360 dreva wa Costa Dodoma amefungulia nyimbo hii kwa sauti kisha kaanza kucheza mzuka ulivyompanda akaachia steering kisha kapanda kwa abiria akanza kata mauno kama chambua karanga huku akiangalia abiria Costa ikiwa kwenye mwendo noma sana hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom