Wimbo gani wa zamani uliupenda

bubu ataka kusema. Ila Amigo ukipigwa hata kama niko sokono nasimama naanza kukata mayenu
 
Vp na ile SONG ya "MPENZI LUTA?"
Baadhi ya mistari!
Mpenzi luta nasikita shelieee,yoyo kuishi tena na wewe,yoyoyo vituko vyako vimezidi!!
 
songi la ukweli FirstLady1...dah yaani kwa hilo songi hata naweza kukadiria umri wako

si unajua tena Excellent mambo yetu miaka ya 60
msichana wa sura nzuri kitu gani kinakufanya usiolewe,elimu unayo ya kutosha

hata ng'ambo.....
hebu kadiria
bye
 
Mwisho wa mwezi ya Eddy Shegy vp?
Mwisho wa mwezi mwisho wa mwezi una rahaa mamaee...mwisho wa mwezi ukifika una rahaa zakeee....utaona watu wengi wana nyuso za furaha...kwa vile wana pesa..pesa hee!wengine hotelini..wengine madukani..wengine kwenye mitumbaa ni raha tuuuu!mwisho wa mwezi ukifika ukifikaee..abiria chunga mzigo wako mamaaa...mwananyamala postal..manzese..k,koo..tandika shule ya uhuru kakaee ogopa kanya boya!
E bwana ndio.
 
Vp ile song ya "MARASHI YA PEMBA"???
Nasikia nikuzuriii...jioni kuna upepo...eti unanukiaaaa marashi ya karafuuu.
 
1.Yamenikuta-GWM ft 2 Proud(Mr II aka Sugu)

2.Keep their Heads ringing--Dr Dre

3.Paparazi---xzibit

4.Hell on the earth---Mobb Deep

5.Shook One Pt 2 --- Mobb Deep
 
..oyee krismas oyee, noele baba! Tukacheze kamanyola na marquis ooo! Krismas oyee dah hili songi wadau ni tamu mno hasa ifikapo nyakati za mwisho wa mwaka krismas inakaribia halafu umetune tbc taifa enzi hizo redio tanzania kweli huwa inanikumbusha miaka ya utoto wangu bila nguo mpya sijaenda church, natafuta cd yake pgata kwa fisi ntanunua
 
si unajua tena Excellent mambo yetu miaka ya 60
msichana wa sura nzuri kitu gani kinakufanya usiolewe,elimu unayo ya kutosha

hata ng'ambo.....
hebu kadiria
bye
heheheh we umefanana na msichana kwenye hiyo video jamani,hata avatar yako yenyewe inaonyesha
 
Vp ile song ya "MARASHI YA PEMBA"???
Nasikia nikuzuriii...jioni kuna upepo...eti unanukiaaaa marashi ya karafuuu.
Nipae angani...nikatishe bahari...juu kwa juu nione,harafu nitue pemba...marashi nipokee pemba hoo pemba........
Dah.
 
Naupenda Georgina.....
Pia Mtaa wa saba huwa nakumbuka maisha na rafiki zangu enzi za school
 
..oyee krismas oyee, noele baba! Tukacheze kamanyola na marquis ooo! Krismas oyee dah hili songi wadau ni tamu mno hasa ifikapo nyakati za mwisho wa mwaka krismas inakaribia halafu umetune tbc taifa enzi hizo redio tanzania kweli huwa inanikumbusha miaka ya utoto wangu bila nguo mpya sijaenda church, natafuta cd yake pgata kwa fisi ntanunua
teh teh umenikumbusha mbali,enzi hizo kila sehemu ilikuwa green,kuna miti,maji na chemchemi kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom