Wimbo gani wa zamani uliupenda

...ilikua asubuhii na mapema jua.....(sijui nini na nini hapo...sikumbuki)
ndipo nilipatwa na mshituko usosemekana mama!
kwenye daraja la salender magari mawili yamegongana maamaaa!..
wazee endeleeni!
 
halafu nyumbani kuna mbuzi watatu na mmoja mnamchinja kwa x-mass

Achaa mkuu usinikumbushe mkuu.
Wapishi wa pilau wa ukweli walikuwepo enzi hizo.Tena pilau inapikwa k'koo harufu Unaikuta buguruni.
Pilau imejaa mitimiti kibao enzi hizo.
 
...ilikua asubuhii na mapema jua.....(sijui nini na nini hapo...sikumbuki)
ndipo nilipatwa na mshituko usosemekana mama!
kwenye daraja la salender magari mawili yamegongana maamaaa!..
wazee endeleeni!
kaka sijui mtuzi ila remix amefanya mr.paul
 
Achaa mkuu usinikumbushe mkuu.
Wapishi wa pilau wa ukweli walikuwepo enzi hizo.Tena pilau inapikwa k'koo harufu Unaikuta buguruni.
Pilau imejaa mitimiti kibao enzi hizo.
na ukishiba unashiba haswa....sometimes mpaka nawaza niende kujenga kijijini nini
 
...ilikua asubuhii na mapema jua.....(sijui nini na nini hapo...sikumbuki)
ndipo nilipatwa na mshituko usosemekana mama!
kwenye daraja la salender magari mawili yamegongana maamaaa!..
wazee endeleeni!
Yan we ni Kilaza kila kona Lol
Ni Zuwena.....
 
Soukous Star---Rozi

kuna kipande cha kiswahili kwenye huu wimbo kiliimbwa kimakosa na mwanamuziki aitwae Shimita. Aliimba hivi"ningekuwa na pesa ningeuza ndege twende kuishi juu karibu na mweze" Alikuwa anamaanisha hivi "ningekuwa na pesa ningenunua ndege twende kuishi juu karibu na mwezi" Ile albam waliitoa mwaka 1994 na ilirekodiwa HOLLYWOOD (Audio and Video)ndio maana ilikuwa na ubora wa hali ya juu sana. Ngoja nitaje line up ya kutisha ya wanamuziki walioshiriki kwenye hiyo albam. Waimbaji! Yondo Sister,Lucien Bokilo, Balou Kanta na Shimita. Gitaa la besi!Ngoma Lukito. Gitaa la solo! Lokassa ya Mbongo. Gitaa la rythm! Saladin Feliza.
 
Cheusi mangala OTTU
miziki asili yake wapi REMMY (RIP)
Solemba DDC
Dunia sasa imani imekwisha Marijani
 
Mashemeji wangapi, mimi nimechokaaa............
tena najiuliza sana, wanatokea wapi.............
wanitia mashaka, nakuwa na wasiwasi.........
unaniweka roho juu imani nawe imeshanitoka.....
(hivi siku hizi mtu ukianza kujiuliza hivi si utakuwa kichaa?)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom