Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,939
- 20,399
Namwona Sir Alex Ferguson ndani ya centre court akiangalia huu mtanange.
Wapo wengi hata Ballack, mshambuliaji wa Chelsea na wengine.
Namwona Sir Alex Ferguson ndani ya centre court akiangalia huu mtanange.
Hii inaweza kwenda mpaka masaa manne.What a final! masaa mawili sasa yamepita.
Mpaka hapo Roddick kajitahidi sana.Andy Roddick anasawazisha na mambo ni set 2-2. Kwa hio kuanzia sasa tuna-expect unexpected.
Mkuu hii itafika tie break na Roddick atashindaFederer ana advantage ya kushinda hii set ya tano kwa kuanza kuserve mwanzo