Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu.
Mkuu Ab-Titchaz nimekukubali picha ni nzuri na kwa mtiririko unaoeleweka asante sana mkuu.
Unajua baba ndie kocha wao hapendi kuwepo kwa sababu hapendi kuwa upande mmoja ndio maana hufunga safari mapema sana asishuhudie kinachoendelea hata kuangalia kupitia luninga huwa hapendi. Kwani akiwa ndani media watamumulika tu kama akinyanyua mkono kumsupport mmoja wapo. Hata ukiangalia vizuri mama alikuwa mkimya zaidi ya siku zote.Mkuu Ab-Titchaz,
Ahsante kwa picha hizo nzuri.
Hawa wasichana ambao ni ma-genious ni moto wa kuotea mbali na watakuwepo kwa muda kidogo katika ulimwengu wa tennis.
Nimesikitika tu kwamba baba yao nae hakuwepo safari hii kwa mara ingine tena lakini mama alikuwepo.
Jamaa ananguvu sana leo haitabiliki mpaka sasaMpira anaoupiga Roddick ni 160m/h. Very powerful.