Australia Open Final:R Federer vs Marin Cilic

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,759
107,939
Leo saa 1100EAT mkongwe Roger Federer atakuwa dimbani kuwania grand slam ingine kuongeza rekodi zake. Federer alianza tennis ya kulipwa mwaka 1998, miaka 20 iliopita na mpaka leo bado yuko juu, kwasasa ni namba 2-duniani.

Vijana wapya waliokuja baada yake naona mmoja mmoja wanachemsha na kumuacha mkongwe huyu akielekea kustaafu vizuri. Novak Djokovic, Radael Nadal,Andy Murray naona maumivu yamewaandama sana na hivi karibuni hawafanyi vizuri.
Roger Federer ndio bingwa mtetezi, leo anajaribu kushinda taji hili kwa mara ya sita.
Karibuni Melbourne Park-Melbourne Australia tuangalie fainali ya grand slam ya kwanza ya msimu wa tennis.
 
Roger Federer has won his 6th Australia Open trophy and 20th grand slam of his illustrious carrier, by beating Marin Cilic 3-2
 
Kwa hapa bongo kama nina kipaji cha mchezo huu wa Tennis wahusika ni wapi. Nahitaji kuwaona ili wanijumuishe katika timu yao kufikia malengo.
Roger Federer has won his 6th Australia Open trophy and 20th grand slam of his illustrious carrier, by beating Marin Cilic 3-2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom