Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

Napenda kuwafahamisha kuwa mimi Gamba Jipya, sina uhusiano wowote na Bwana Willy, kitu kilichopo hapa ni kuwa mimi ni muumini wa siasa/uongozi wa vijana, na mara ninapoona kijana wa Kitanzania mwenye nia njema kabisa akiwa na ari na shauku ya kupanda ngazi ili awe kiongozi ili baadaye asaidie mustakabali wa Taifa hili huwa nampa sana support yangu.

Ni vijana wangapi hapa jamvini wanaweza kwenda vijiji ground zero kujaribu kuongea/kusikiliza na kukusanya kero za watanzania wenzake na pale anapokuwa na uwezo kuwasaidia ama yeye mwenyewe ama kuwasilisha kero hizo sehemu husika, wangapi wanafanya au wamefanya hivyo?..kuna wengine mnaishi hapo Dar es Salaam lakini hata kwenda Bagamoyo ground zero kujionea maisha na kusikia kilio cha Mtanzania wa kawaida ili baadaye ujue ni kwa kiasi kipi unaweza saidia watanzania wenzako hamjafanya, huyu jamaa ameweza kuonyesha njia, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, tubadilike, tuache chuki, wivu, uvivu na majungu, Nenda ground zero kama kina Zitto, Mnyika, Kibanda, January etc, kukaa nyuma ya laptop yako kamwe hakuta saidia ujenzi wa taifa hili.

Turudi kwenye kujadili hoja na si vioja vya kuandama watu.

Mwenyezi Mungu awabariki sana, Nadhani sasa tuko pamoja kwa maslahi ya Taifa

Unamdanganya nani?.......wewe FMES na hili GAMBA JIPYA....LE MUTUZ....BAHARIA....how could you have all these aliases?
 
- Mkuu heshima yako sana, unajua baada ya kuwaona wananchi wakiteseka na maisha inakwua vigumu sana kwangu kujibu hoja zisizokuwa na tija kwao wananchi niliowaona, na huwa sio tabia yangu kujibu nonsense so utanisamehe sana hayo mengine sina muda wa kukujibu cause hayawezi kuwasaidia wananchi niliowaona huku Vijijini anything!

William.

Kwani toka lini wewe majibu yako yakawasaidia wananchi zaidi ya kuuza sura tu ooh nchi 4 ulaya wiki mbili dar?? msaada upi hasa uliowahi utoa kwa wananchi mbaka uweze kusimama na kutamba kiasi hicho ati huna muda?? ila muda wa kuandika pumba fb unao si ndio??
 
Unamdanganya nani?.......wewe FMES na hili GAMBA JIPYA....LE MUTUZ....BAHARIA....how could you have all these aliases?

- Jina langu ni William John Malecela, picha yangu ile pale juu kushoto, kudanganya sio tabia yangu na si kosa lako inaonyesha umedanganywa sana kwenye maisha that humuamini mtu tena hata kama mimi akiweka jina na picha yake bado unalia lia tu kuwa ni uongo, ndio maana tunasema hili taifa tunahitaji kulibadilisha sana wananchi tuweze kuaminiana japo kidogo tu!

- By the way nini hoja yako kwa wananchi na taifa, maana mimi siwezi kukusaidia kunijadili jadili kila siku, jadili taifa bro!kwamba ninahitaji kuji-rpomote na majina ya bandia sio tabia yangu otherwise karibu sana mkuu! ha! ha1 ha!

William.
 
- Gamba Jipya thaanks a lot ndugu yangu, tupo wote Mkuu wangu nitakuwepo Arumeru wala usiwe na wasi wasi na UBARIKIWE SANA MKUU WANGU, kwa sasa nipo Dar lakini nitakuwa huko soon.

- Kama ninavyosema siku zote kumbe ukishawatembelea wananchi Vijijini yaani Ground Zero, experience inakubadilisha sana unakua na mtizamo tofauti sana wa kutoropoka ropoka, as opposed na kushinda kwenye laptop nje ya nchi kwenye snow na baridi, huku Ground Zero ni another ballgame you know!ha! ha! ha! ha! ha! ha!

William.

Bro Willy habari njema sana hii, nadhani itakuwa vizuri sana katika kujaribu kuangalia mstakabali wa siasa za nyumbani, na hakika Arumeru utajifunza na kujionea baadhi ya mambo.

Maslahi ya Taifa mbele daima
 
Kwani toka lini wewe majibu yako yakawasaidia wananchi zaidi ya kuuza sura tu ooh nchi 4 ulaya wiki mbili dar?? msaada upi hasa uliowahi utoa kwa wananchi mbaka uweze kusimama na kutamba kiasi hicho ati huna muda?? ila muda wa kuandika pumba fb unao si ndio??

- Yaap ni kweli sana mkuu wangu nilitokea New York, nikaendesha gari mpaka Washington DC, nikaruka mpaka Paris na Zurich, nikaenda Spain, Italy, na UK, nikaja Dar, nikaenda Vijijini Dodoma, halafu sasa nimerudi Dar ninajitayarisha wkenda Zainzibar, nikuridi Arumeru, unakaribishwa sana na wewe jiunge nami twenda tuone wananchi Vijijini, otherwise mtu aliyezoea kuandika pumba huwa rahisi sana kwake kuamini kwamba watu wengine ni pumba kama yeye! ha! ha! ha!

- Nipo jengo la IPS sasa hivi kwenye ofisi ya mshikaji wangu sana Dick Amri, kama upo karibu hapa njoo nipo hapa kwenye ofisi yake ya kubadili pesa za kiigeni, karibu sana tuongee taifa letu! nipo hapa kwa muda kabla sijaenda kumuona Waziri Kagasheki, so karibu nipo bro!

ha ha ha ha! TGIF.. u've made my day! sasa..ha ha..hivi kwenye familia yenu mna mchanganyiko wa kihaya kidogo??? am jus curious u know..aixee

Aah........Dick Amri msalimie sana.....hajaacha magumashi?
 
Bro Willy habari njema sana hii, nadhani itakuwa vizuri sana katika kujaribu kuangalia mstakabali wa siasa za nyumbani, na hakika Arumeru utajifunza na kujionea baadhi ya mambo.

Maslahi ya Taifa mbele daima

- Gamba tupo wote bro, nimekusikia sana wala usiwe na wasi wasi mimi ni saafi sana na mwendo ni ule ule mdundo taifa mbele majuzi nilikuwa na Wabunge wengi wa Chadema kwenye kikao I was impressed na Mbunge wa Nyamagana sikujua kwamba jamaa ni kichwa vile duh! na Mheshimiwa Leticia Nyerere baab kubwa sana, Mkuu nipo in the game sasa tutafutane bro tuone mikakakati vipi!

Much REspect!

William.
 
- Yaap ni kweli sana mkuu wangu nilitokea New York, nikaendesha gari mpaka Washington DC, nikaruka mpaka Paris na Zurich, nikaenda Spain, Italy, na UK, nikaja Dar, nikaenda Vijijini Dodoma, halafu sasa nimerudi Dar ninajitayarisha wkenda Zainzibar, nikuridi Arumeru, unakaribishwa sana na wewe jiunge nami twenda tuone wananchi Vijijini, otherwise mtu aliyezoea kuandika pumba huwa rahisi sana kwake kuamini kwamba watu wengine ni pumba kama yeye! ha! ha! ha!

- Nipo jengo la IPS sasa hivi kwenye ofisi ya mshikaji wangu sana
Dick Amri, kama upo karibu hapa njoo nipo hapa kwenye ofisi yake ya kubadili pesa za kiigeni, karibu sana tuongee taifa letu! nipo hapa kwa muda kabla sijaenda kumuona Waziri Kagasheki, so karibu nipo bro!

William.

hahahahaha!!!! sasa hapo kwenye RED ndiyo wabongo wanapoumiaga huwa hawataki kukubali ukweli, soon utaona watu wanakurupuka na kudai kuwa unajipa promo sana, kumbe hizo ni schedule za kawaida sana.
 
- Jina langu ni William John Malecela, picha yangu ile pale juu kushoto, kudanganya sio tabia yangu na si kosa lako inaonyesha umedanganywa sana kwenye maisha that humuamini mtu tena hata kama mimi akiweka jina na picha yake bado unalia lia tu kuwa ni uongo, ndio maana tunasema hili taifa tunahitaji kulibadilisha sana wananchi tuweze kuaminiana japo kidogo tu!

- By the way nini hoja yako kwa wananchi na taifa, maana mimi siwezi kukusaidia kunijadili jadili kila siku, jadili taifa bro!kwamba ninahitaji kuji-rpomote na majina ya bandia sio tabia yangu otherwise karibu sana mkuu! ha! ha1 ha!

William.

Le Mutuz,
It was just a gag....usifungue udobi mdomoni....nakuja hapo kwa Dick kukupa hi.......
 
ha ha ha ha! TGIF.. u've made my day! sasa..ha ha..hivi kwenye familia yenu mna mchanganyiko wa kihaya kidogo??? am jus curious u know..aixee

- tizama ulikoanzia mpaka sasa umefikia kwenye kabila la Wahaya! ha! ha! ha! ha! ha! sasa Wahaya wamekukosea nini bro? Wakuu unajua ninakuwa bize sana muda wa mtandao ninakosa leo nimebahatika nilipita hapa ofisi ya mshikaji wangu ndio kaniachia, sasa please uliza maswali muhimu badala ya ngonjera, cause nikimaliza hapa itachukua muda tena kupata mtandao, nipo Ground Zero uliza maswali muhimu people, na tupo wote one page you know!

Much Respect!

William.
 
ha ha ha ha! TGIF.. u've made my day! sasa..ha ha..hivi kwenye familia yenu mna mchanganyiko wa kihaya kidogo??? am jus curious u know..aixee

Sasa turudi kwenye hoja mkuu, naona sasa umekubali kuwa Willy yuko level tofauti na wewe, hahaha

Turudi kwenye hoja za ujenzi wa Taifa, maswala ya safari zake na kama anamix ya kihaya unaweza kuyafungulia thread kule kwenye "chit chat" haha...
 
hahahahaha!!!! sasa hapo kwenye RED ndiyo wabongo wanapoumiaga huwa hawataki kukubali ukweli, soon utaona watu wanakurupuka na kudai kuwa unajipa promo sana, kumbe hizo ni schedule za kawaida sana.

- Gamba Jipya niliamua siku nyingi sana kuwa muwazi, na mkweli huwa sina cha kuficha wala agenda za siri siri za ujinga ujinga, ninasema hivi sasa hivi nipo hapa IPS kwa mshikaji wangu wa looongtyme Dick Amri kama upo karibu njoo tuonane in 30 minutes ninaondoka n inaenda Wizara ya nje kumuona Waziri Mdogo, mwenye tatizo ajibebe ila that is me William!

William!
 
There are currently 41 users browsing this thread. (14 members and 27 guests)

Niliwaeleza hapo mwanzo kuwa hawa jamaa ni watu wawili tofauti..

- Sijawahi kuwa na huo muda wa ujinga ujinga, ok people ninaondoka sasa tutaonana tena niukiupata mtandao tena kama leo! Si unajua bongo huku mtandao ni ishu! ha! ha! ha! ha!

Much Respect People!

William acha madharau, huduma za mitandao bongo ni bwerere, au simu yako ya mchina haina signal?
 
- Sijawahi kuwa na huo muda wa ujinga ujinga, ok people ninaondoka sasa tutaonana tena niukiupata mtandao tena kama leo! Si unajua bongo huku mtandao ni ishu! ha! ha! ha! ha!

Much Respect People!

William.

Mutuz kazi njema kaka, endelea kukusanya kero za watanzania wenzetu na angalia ni kwa jinsi gani kero hizo zinaweza kutatuliwa, hata kama itakuwa kuzifikisha kwenye idara husika.

Tutawasiliana, Ubarikiwe sana kaka.
 
Duh aisee leo Willy Malecela Allias Gamba Jipya umenipa raha sana, you real make my day kwa jinsi ulivyokuwa ukijiuliza na kujijibu mwenyewe with two different IDs. Different IDs, one people! You are a very clever boy!
 
Acha kumshauri uharo mwenzako...hivi mnadhani watanzania tunataka kuongozwa kama nchi ya kifalme? Mgombea Baba yake alikuwa mbunge,kampeni manager baba yake alikuwa mbunge,waziri nk,mama yake mbunge...shit!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom