Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

Huwa namsikitikia sana Willy yeye anafikiri kujukana kwa utendaji bora kama kina Zitto, January unatokana na kujulikana JF.
 
ha, ha Kama William Malecela akichaguliwa kuwa mbunge basi...Nitahama Tanzania na kuwa raia wa Kenya...William Pumba tupu...kwanza ana jazba, anaropoka sana yaani overall ni zero.
 
Dada kuna mengine? Mbona bunge letu limejaa wabunge wanatoa pumba tupu na waropokwaji kuzidi William na huja fikiria kuhama? Mtazamo wangu nadhani uropokwaji wa William unaweza kuwa changamoto sana kuliko hawa watoa pumba waliojazana ndani ya bunge.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mropokaji na mtoa pumba bungeni......still loading......choose the best of the worst.
 
Willy Malecela kwanini usitumie ile user name yako sahihi badala yake unaitumia hii ya bandia ili kujipigia debe? Unajishushia credibility yako hapa jamvini. Ni ushauri tu lakini

Watu kwa kupenda sifa mtu anajianzishia thread kwa kuji-promo.

Kumbe na wewe umegundua ajabu anatumia ID bandia lakini uandishi wake ni ule ule hahahaha, ila amenisaidia angalau nimejua Gamba Jipya ni nani.

Naona Le Baharia ameingia na ID yake nyingine kujipa ujiko Gamba Jipya= Willy J M

mambo ya multiple IDS?

Napenda kuwafahamisha kuwa mimi Gamba Jipya, sina uhusiano wowote na Bwana Willy, kitu kilichopo hapa ni kuwa mimi ni muumini wa siasa/uongozi wa vijana, na mara ninapoona kijana wa Kitanzania mwenye nia njema kabisa akiwa na ari na shauku ya kupanda ngazi ili awe kiongozi ili baadaye asaidie mustakabali wa Taifa hili huwa nampa sana support yangu.

Ni vijana wangapi hapa jamvini wanaweza kwenda vijiji ground zero kujaribu kuongea/kusikiliza na kukusanya kero za watanzania wenzake na pale anapokuwa na uwezo kuwasaidia ama yeye mwenyewe ama kuwasilisha kero hizo sehemu husika, wangapi wanafanya au wamefanya hivyo?..kuna wengine mnaishi hapo Dar es Salaam lakini hata kwenda Bagamoyo ground zero kujionea maisha na kusikia kilio cha Mtanzania wa kawaida ili baadaye ujue ni kwa kiasi kipi unaweza saidia watanzania wenzako hamjafanya, huyu jamaa ameweza kuonyesha njia, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, tubadilike, tuache chuki, wivu, uvivu na majungu, Nenda ground zero kama kina Zitto, Mnyika, Kibanda, January etc, kukaa nyuma ya laptop yako kamwe hakuta saidia ujenzi wa taifa hili.

Turudi kwenye kujadili hoja na si vioja vya kuandama watu.

Mwenyezi Mungu awabariki sana, Nadhani sasa tuko pamoja kwa maslahi ya Taifa
 
Ila kweli @le baharia. Nakumbuka ulienda hadi huko unakokuita ground zero maeneo ya Mtera, hivi ulitoa msaada gani vile?
Halafu post hii sijaona ha ha ha ha.. Vipi unaogopa kushtukiwa nini? Usihofu great thinkers washasanda sema wanakupotezea tu. Nimependa ulivyomaliza kwa jina la Mungu.
Ha ha ha ha....
 
William na Gamba Jipya ni watu wawili tofauti, japo wote wanaishi Marekani, namfahamu Gamba Jipya personally na William vilevile, kama Mods wangeruhusu ninge disclose jina halisi la Gamba Jipya jukwaani.
 
Gamba jipya umeshemsha,mbali ya uandishi wako kufanana na Willy naona hata rangi ya maandishi(blue) mnafanana! Acha kujipa promo
 
mmh hapo ndugu umechemsha. usiwe kama mtatiro kutumia id nne nne nakujitafutia umaarufu kwa kujipostia post za kujifagilia
 
Naona unamshari mtoto ABUNUASI akampigie chapuo mtoto wa KALMEKENGE.kaz mzuri likini ka ukijua R,CHUGA si kwa mswati
 
- Gamba Jipya thaanks a lot ndugu yangu, tupo wote Mkuu wangu nitakuwepo Arumeru wala usiwe na wasi wasi na UBARIKIWE SANA MKUU WANGU, kwa sasa nipo Dar lakini nitakuwa huko soon.

- Kama ninavyosema siku zote kumbe ukishawatembelea wananchi Vijijini yaani Ground Zero, experience inakubadilisha sana unakua na mtizamo tofauti sana wa kutoropoka ropoka, as opposed na kushinda kwenye laptop nje ya nchi kwenye snow na baridi, huku Ground Zero ni another ballgame you know!ha! ha! ha! ha! ha! ha!

William.
 
- Gamba Jipya thaanks a lot ndugu yangu, tupo wote Mkuu wangu nitakuwepo Arumeru wala usiwe na wasi wasi na UBARIKIWE SANA MKUU WANGU, kwa sasa nipo Dar lakini nitakuwa huko soon.

- Kama ninavyosema siku zote kumbe ukishawatembelea wananchi Vijijini yaani Ground Zero, experience inakubadilisha sana unakwua na mtizamo tofauti sana wa kutoropoka ropoka, as opposed na kushidna kwenye laptop nje ya nchi kwenye snow na baridi, huku Ground Zero ni another ballgame you know!

William.

We mzee!! sikumbili hzi FB sijaona pumba zako..vp..baada ya ziara yako kijijini nini kinafata?? mambwepande ulipita??? alafu usione sifa kujipa promo kwa kujianzishia thread..akina zitto na january hawatafuti sifa kwa kutumia social networks kama akili yako inavokutuma..vp lile bonanza la serengeti dodoma??
 
- Mkuu heshima yako sana, unajua baada ya kuwaona wananchi wakiteseka na maisha inakwua vigumu sana kwangu kujibu hoja zisizokuwa na tija kwao wananchi niliowaona, na huwa sio tabia yangu kujibu nonsense so utanisamehe sana hayo mengine sina muda wa kukujibu cause hayawezi kuwasaidia wananchi niliowaona huku Vijijini anything!

William.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom